Kumalizia ghorofa langu huku kigamboni
Kuongeza ofisi nyingine ya biashara na kumalizia boma kisilo kamilika mwaka uliopita ISHAALAH.
Inshallah nakutakia Kila la kheri na mtoto huko tumboniKila la heri kwenu ππ
Umeolewa?Hi people,
Heri ya mwaka mpya
Malengo yetu ya 2026 ni kupata mtoto wetu wa kwanza, napata mimba mwaka huu na kujifungua mwaka huu
Nachowaza ni kulea....sina experience ya kulea,sijawahi kukaa na mtoto mdogo kwa hata lisaa
Kingine nikiwaza kuchanika kei wakati wa kupush nachoka mimi
Kingine napenda utulivu,nikimpata mtoto anayelia lia sijui itakuwaje
Mambo ni mengi lakini yote kwa yote mwaka huu lengo kuu ni mtoto...nipo very excited actually
Wewe je?
Uzi bado....
View: https://youtu.be/Nm8d5ekU6Bs?si=rFwlEcjHFTpWTE8Q
Usiogope inshallah utapata dogo ambae alii sana usiku ukipata mtoto wa kiume muite Abel akiwa wa kike muite soliyana
Malengo yangu 2026 ni kumfungulia mkee wangu biashara. Sina malengo mengine
Kama mwanangu kafupi Kama mama yake ππKina Abel wanakuwaga wafupi π€¨
Wa kike tayari jina ninalo Jovannah
Amen broInshallah nakutakia Kila la kheri na mtoto huko tumboni
NdioUmeolewa?
Kama mwanangu kafupi Kama mama yake ππ
Abel Tesfaye amekuchanganya sana wewe umekuwa shabiki maandaziUsiogope inshallah utapata dogo ambae alii sana usiku ukipata mtoto wa kiume muite Abel akiwa wa kike muite soliyana
Maandazi Tena π πAbel Tesfaye amekuchanganya sana wewe umekuwa shabiki maandazi