Malema awahamasisha wanajeshi kudai haki zao.

Namuunga mkono

Kama ilivyo kawaida ya madikteta wa Africa watatishia kumshtaki kwa uhaini. Kibaraka Zuma(shame of Africa) anatumia kila mbinu ili yeye aendelee kuwa Rais kwa kuoa wake wengi na kunywa damu na jasho la maskini wengi huku akiwa sponsored na mabeberu

Leo amewaambia "Your Commander in Chief (President Zuma) is engaged in other things. You are a lesser priority. All of us are a lesser priority,I don't know what is a priority to him, maybe getting married every year. He specialises on that one."
 
Kijana Malema kweli ni mwanasiasa machachari, tatizo lake kubwa ni kuwa hana dira ya nini anachotaka kufikia. Kwenye majukwaa utamsikia anakemea ufisadi, ilhali anaishi kwa ufisadi. Imeripotiwa mara kadhaa kuwa Julius Malema aka Juju alilazimisha kupewa tenda ya ujenzi kwenye kampuni anayoimiliki. Kashfa hii inatanabaisha kuwa Juju alishikiza kukiukwa kwa sheria za manunuzi ya umma ili kujinufaisha binafsi. Kashfa hii ni sawa sawa na mengi anayoyakemea, lakini sivyo anavyoishi. Sijui ndio tuseme Afrika haina tena viongozi wanaoishi wanayoyahubiri ama ni nini. Mbaya zaidi wengi wanaomSIFIA Juju wanavutiwa na namna anavyomlipua Comrade JZ, bila kujua kuwa Comrade JZ ni 'smart' sana. Ikumbukwe JZ ndiye alikuwa bosi wa intelligence ya ANC na Umkontowesizwe enzi ileeee....!! Pamoja na uwezo na ushawishi mkubwa alionao Juju kwenye siasa za Mzanzi, sidhani kama ataweza kumzuia Zuma kuendelea kuwa raisi kwa awamu nyingine tena...!
Amandla Afrika National Congress!
 
Malema anatumiwa na CHADEMA kuivuruga Afrika Kusini....ha ha ha ha ha ha ha!
 
Nafurahishwa sana na ufahamu wako wa Malema. Hata hivyo the fact remains Malema hamuwezi Zuma.

Kama umefuatilia ile link mbona Zuma aliwakumbuka walomsaidia kwenye kampeni ya urais na siyo Malema?

Kingine ni kwamba ili uweze kuwa rais ni lazima upate support ya nchi za magharibi na umeona pale kwenye link jinsi Zuma alivyoorganise timu yake

Mwisho kulikuwa na watu wawili ambao inasemekana wangekuwa tishio kwa Zuma mwezi December huko Mangaung namely Nkosazana Dlamini Zuma na Motlante. Alichofanya Zuma ni kuhakikisha Nkosazana anapata ukatibu wa AU kwa gharama zote. Ashampangua adui wa kwanza. Huyu Motlante ndiyo tegemeo la Malema ukizingatia wote wanatoka Limpopo lakini hana ujanja wa kumshinda Zuma

Kwa nyongeza tu ile cabinet reshuffle Zuma aliifanya last time ilikuwa ni kujizatiti kwa kuwaweka maswahiba wake karibu come Mangaung December meeting
Politics is a game of chance sijasema malema atamshinda au kumng'oa zuma moja kwa moja ama kirahisi bali nilitaka tu kuweka angalizo kwamba malema sio mtu mwepesi kama wengi tunavyodhani na zuma analitambua hilo,na pia ni rahisi kwa malema kutengeneza mtandao utakaomsumbua sana zuma kwa kushirikiana na kundi lililokua la mzee mbeki ambalo halijaridhishwa mpaka sasa na ushindi wa zuma dhidi ya kipenzi chao mbeki na limegoma kutoa ushirikiano kwa mbeki na serikali yake na wengine walienda mbali zaidi kwa kuanzisha chama mbadala ambacho kulikua na tetesi kwamba kinaungwa mkono na mzee mandela.

Narudia kusema kwamba malema si mtu wa kupuuzwa,ataisumbua sana timu ya jz kwa kuwa anaujua udhaifu mwingi wa jz hasa ikizingatiwa kwamba malema ni kijana alietengenezwa na jz mwenyewe katika harakati zake za kuukwaa urais,na ameshiriki na kutumika kwenye mbinu nyingi chafu na safi za jz dhidi ya mahasimu wake kisiasa,malema na jz wanajuana niseme kiufupi tu,pia usisahau malema ana support pia ya mama winnie mandela,mama ambae ana nguvu na ushawishi mkubwa sana kwa kina mama wa afrika kusini,sasa ukichanganya nguvu za malema kwenye uvccm ya ANC na nguvu za mama winnie kwenye UWT ya ANC ni wazi jz na mtandao wake wana kazi ya kufanya,thanx god malema si mashuhuri sana kwa azungu kutokana na yeye kupendelea sera kama za mugabe,kuwasaidia wazawa kupata nguvu za kiuchumi
 
Malema yupo kama Zitto sema Zitto siyo mpayukaji. Malema anajifanya anatetea wanyonge wakati yeye ni filthy rich! Ana mansion in a rich people place inaitwa Sandton Jo'burg. Na jimbo analotoka hilo la Limpopo ndi jimbo maskini kuliko yote Afrika kusini

Kwa upande wake Zitto anajifanya kutetea wanye kipato cha chini wakati nyuma ya pazia anapiga mahela ya kufa mtu. Huku anajifanya anaishi maghorofa Tabata Bima. Tafakari ule mshahara tu wa wabunge kweli Zitto angeshindwa kufyatua matofali ya mfuko mmoja matofali arobaini au ndo he is trying to ingratiate himself with the poor to win their support?
Anachokifanya malema ni process ya UAMSHO kwa wasouth wajitambue ili waweze kunufaika na fursa za kiuchumi zilizopo kwenye nchi yao,wakubwa ndio hawataki kwa kuwa wanamuona kama anawaamsha waliolala,wao wangependa wananchi waendelee na usingizi bila kujitambua na kuwaacha wao na familia zao wakiendelea kuneemeka kwa kutumia utajiri mkubwa wa afrika kusini,msikilize kwenye hiyo video inayosema mind ur own business utamuelewa,kajieleza vizuri sana
 
Kijana Malema kweli ni mwanasiasa machachari, tatizo lake kubwa ni kuwa hana dira ya nini anachotaka kufikia. Kwenye majukwaa utamsikia anakemea ufisadi, ilhali anaishi kwa ufisadi. Imeripotiwa mara kadhaa kuwa Julius Malema aka Juju alilazimisha kupewa tenda ya ujenzi kwenye kampuni anayoimiliki. Kashfa hii inatanabaisha kuwa Juju alishikiza kukiukwa kwa sheria za manunuzi ya umma ili kujinufaisha binafsi. Kashfa hii ni sawa sawa na mengi anayoyakemea, lakini sivyo anavyoishi. Sijui ndio tuseme Afrika haina tena viongozi wanaoishi wanayoyahubiri ama ni nini. Mbaya zaidi wengi wanaomSIFIA Juju wanavutiwa na namna anavyomlipua Comrade JZ, bila kujua kuwa Comrade JZ ni 'smart' sana. Ikumbukwe JZ ndiye alikuwa bosi wa intelligence ya ANC na Umkontowesizwe enzi ileeee....!! Pamoja na uwezo na ushawishi mkubwa alionao Juju kwenye siasa za Mzanzi, sidhani kama ataweza kumzuia Zuma kuendelea kuwa raisi kwa awamu nyingine tena...!
Amandla Afrika National Congress!

Last edited by a moderator:
Politics is a game of chance sijasema malema atamshinda au kumng'oa zuma moja kwa moja ama kirahisi bali nilitaka tu kuweka angalizo kwamba malema sio mtu mwepesi kama wengi tunavyodhani na zuma analitambua hilo,na pia ni rahisi kwa malema kutengeneza mtandao utakaomsumbua sana zuma kwa kushirikiana na kundi lililokua la mzee mbeki ambalo halijaridhishwa mpaka sasa na ushindi wa zuma dhidi ya kipenzi chao mbeki na limegoma kutoa ushirikiano kwa mbeki na serikali yake na wengine walienda mbali zaidi kwa kuanzisha chama mbadala ambacho kulikua na tetesi kwamba kinaungwa mkono na mzee mandela.

Narudia kusema kwamba malema si mtu wa kupuuzwa,ataisumbua sana timu ya jz kwa kuwa anaujua udhaifu mwingi wa jz hasa ikizingatiwa kwamba malema ni kijana alietengenezwa na jz mwenyewe katika harakati zake za kuukwaa urais,na ameshiriki na kutumika kwenye mbinu nyingi chafu na safi za jz dhidi ya mahasimu wake kisiasa,malema na jz wanajuana niseme kiufupi tu,pia usisahau malema ana support pia ya mama winnie mandela,mama ambae ana nguvu na ushawishi mkubwa sana kwa kina mama wa afrika kusini,sasa ukichanganya nguvu za malema kwenye uvccm ya ANC na nguvu za mama winnie kwenye UWT ya ANC ni wazi jz na mtandao wake wana kazi ya kufanya,thanx god malema si mashuhuri sana kwa azungu kutokana na yeye kupendelea sera kama za mugabe,kuwasaidia wazawa kupata nguvu za kiuchumi

Mbeki na Malema haziivi kabisa

Winnie na Malema sawa lakini sioni kama Winnie has much influence in the politics of SA lately alikuwa anaongozana naye hata mahakamani lakini amesaidia nini?

Kumbuka kwenye chaguzi zilizopita DA imeinuka kwa kasi sana. Wakijikoroga tu ANC basi watajutia. Helen Zille sasa anadance kama Zuma kwenye majukwaa kuwavutia Wasouth weusi

Kama kuna kitu cha kuinyima raha ANC ni kupamba moto kwa DA na siyo Malema

Mwisho, kama nilivyosema awali Zuma alitaka urais na uwezo wa kushawishi alikuwa nao na ndo maana akaupata. Kwasasa sijaona mtu tishio

Unaweza kuwa sahihi kama vipi I-BOOKMARK HII TOPIC NA TUWE TUNAKUTANA HAPA MARA KWA MARA KUJADILI HARAKATI ZAKE UKIZINGATIA DECEMBER NDO MPANGO MZIMA NA SIYO MBALI
 
Poa twende pamoja tu,kiufupi politics ni mchezo usiotabirika,adui yako anaweza kuwa rafiki,hao DA kulikua na taarifa mwishoni mwaka jana walikua na mazungumzo na malema kujaribu kumshawishi ajiunge nao,hiyo haiji hivihivi ni kwamba DA walikua wanajua nguvu za malema and as a political party unahitaji watu wa aina ya malema,unajua malema anachowashinda wapinzani wake ni kitu kidogo sana,anajua watu wa chini wa south ambao wako wengi wanahitaji nini na yeye anachofanya as i said ni procees ya UAMSHO na vitu anavyoongea ni rahisi kueleweka na watu wake-anazungumzia weusi kunufaika na fursa za kiuchumi zinazopatikana south africa na hata utajiri wake bado anasema sio tatizo kwani weusi nao wanastahili kuishi vizuri kwa kutumia fursa zilizopo nchini,why weupe tu?sasa utaona anayoyazungumza yalivyo mepesi kueleweka kwa watu wa kawaida,kiufupi anajua kufanya siasa
 
Back
Top Bottom