macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,223
- 60,287
Mkuu hadithi ya mnara wa babeli kwenye bible ipo kitabu gani vile? Nikumbushe niipitie sasa hivi Mkuu.
Mwanzo: 11

Mkuu na wengine hawa huku lazima kieleweke tu
View attachment 255994
Mkuu inawezekana alimaanisha mafisadi,ndio itabidi wahamie uholanzi( the hague)
Lakini alisema kuna hadi waandishi wa habari kwenye orodha yake.
Anyway ngoja tuone hiki kimbunga kitaishaje.
Mkuu na wengine hawa huku lazima kieleweke tu
View attachment 255994
Kwa mwelekeo ulivyo ndani ya ccm kuna uwezekano membe akapitishwa na cc yao,kwani naona nape keshaenda kwenye jimbo la membe kutia nia ya ubunge
Malecela is useless, alishindwa hata na kibajajiView attachment 255993
Mwanasiasa mkongwe wa CCM mzee John Malecela amemshangaa mzee Kingunge na kumuita Yuda na msaliti, ndumilakuwili na mchochezi na hana shukrani hakumbuki alichofanyiwa na serikali ya Kikwete huyu Kingunge.
Anakusanya ushuru stendi ya Ubungo na maeneo mengine ya mji hela anazokusanya kila siku anampa nani au aliwashawahi kutoa msaada wowote kwenye kituo cha kulea watoto yatima? Mzee Malecela amesema Kingunge aache kabisa kuwachagulia mtu anayefaa kuwa Rais kazi hiyo ipo mikononi mwa CCM kwenye mkutano mkuu hata CHADEMA, CUF hufanya hivyo kwenye vikao vyao maalumu.
Mzee Malecela amesema kura ya veto iliyomtoa manyoya yeye wakati anagombea Urais ndio itakayotumika kuangalia mgombea mwenye Sifa zote zinazohitajika kwa Tanzania ya sasa na nyingine pia awe msafi, mpole, mchana Mungu mwenye maadili.
Malecela amesema Rais hawezi kupatikana kwa kelele za watu, porojo na maigizo; muda ukifika kila Mgombea atabeba msalaba wake.
Kwa matendo waliyoyafanya kugawa watu kwa kuwanunua kwa uchu wa madaraka, mbegu hiyo ni mbaya sana kwa Taifa kwani kuna uwezekano Taifa lilitagawanyika tusipokuwa makini na wasaka urais kwa nguvu.
View attachment 255993

FICTION TOPIC TO BE IGNORED/ MALECELA AIBUKIE WAPI ACHENI UONGO!!!/i
Mkuu sijakuelewa ,unamaanisha serikali yetu ni mbovu kiasi Kwamba haiwezi kutofautisha chama cha siasa na kitega uchumi cha mtu na hivyo kuangalia nani apate ruzuku na nani ni kitega uchumi asipateUkiona ndugu(CCM) wanagombana shika jembe ukalime.CCM siyo vyama vya upinzani vya bongo(Vitega uchumi).
Mimi nafikiri wapigakura wa Mtera ndio losers.[/QUOTE]malechela ni loser, kibajaji exposed him