Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Umetumwa?!!
Mimi ninajitambua,siyo msukule kama wewe unayeshinda lumumba kwa kulamba viatu vya wakubwa zako
Umetumwa?!!
Umetumwa?!!
Mkuu na wengine hawa huku lazima kieleweke tu
View attachment 255994
It is true, waache wafu wajizike wenyewe.amesema hayo akiwa wapi? tuseme wao watapigana UKAWA watapita katikati
Huyo mzee nae vipi jamani asije anamsema kingunge na wengine ili yy agombee
Kingunge anataka rushwa tu yeye hawezi kuwachagulia watanzania Rais leo hii kasahau Mwl. Alimkataa Lowasa
Act mnamtangaza lini kiongozi mkuu?
Hiyo hekima Membe kaiokota lini?
Membe huyu huyu aliyesema akiwa rais kuna watu wajiandae kuhama nchi.
Ma mdogo unawashwa na zito ww,kila ukicomment lazima umtaje zito,kama umetokea kumzimikia longa nae ukimya hautakusaidia
Haya haya sasa !
View attachment 255993
Mwanasiasa mkongwe wa CCM mzee John Malecela amemshangaa mzee Kingunge na kumuita Yuda na msaliti, ndumilakuwili na mchochezi na hana shukrani hakumbuki alichofanyiwa na serikali ya Kikwete huyu Kingunge.
Anakusanya ushuru stendi ya Ubungo na maeneo mengine ya mji hela anazokusanya kila siku anampa nani au aliwashawahi kutoa msaada wowote kwenye kituo cha kulea watoto yatima? Mzee Malecela amesema Kingunge aache kabisa kuwachagulia mtu anayefaa kuwa Rais kazi hiyo ipo mikononi mwa CCM kwenye mkutano mkuu hata CHADEMA, CUF hufanya hivyo kwenye vikao vyao maalumu.
Mzee Malecela amesema kura ya veto iliyomtoa manyoya yeye wakati anagombea Urais ndio itakayotumika kuangalia mgombea mwenye Sifa zote zinazohitajika kwa Tanzania ya sasa na nyingine pia awe msafi, mpole, mchana Mungu mwenye maadili.
Malecela amesema Rais hawezi kupatikana kwa kelele za watu, porojo na maigizo; muda ukifika kila Mgombea atabeba msalaba wake.
Kwa matendo waliyoyafanya kugawa watu kwa kuwanunua kwa uchu wa madaraka, mbegu hiyo ni mbaya sana kwa Taifa kwani kuna uwezekano Taifa lilitagawanyika tusipokuwa makini na wasaka urais kwa nguvu.
Ma mdogo unawashwa na zito ww,kila ukicomment lazima umtaje zito,kama umetokea kumzimikia longa nae ukimya hautakusaidia
Halaf huu mchezo umekolea wa watu kuwalisha maneno watu, mara sitta, mara mwakyembeafu watu mnajua kuwawekea maneno wenzenu?
mwachen baba wa watu Malecela apumzike zake ale mafao yake msimuwekee maneno mdomon
wala yy sio kichaa ama mjinga kama ulivyandika apa
Kingunge kapigika kweli anahitaji msaada wa mafisadi kuishi.
....
....Mtaikumbuka Katiba ya Warioba
Zzk- mzee wa mwandiga,hukumuona ?
Duu we kwel ndondocha,hapa mume wako ndo kakusaidia kuandika??gasho kweli wewe