sijaelewa sasa ni lowassa au kingunge?
Huyu kamshindwa Lusinde yule kichaa atawezana na Lowassa kweli kwa mziki tuliouona jana! Hii ngoma ya magamba lazima ipasuke mwaka huu. Naona karata pekee waliyonayo wapambe wa Membe ni kumkata jina Lowassa kabla hajafika mbali, sidhani kama atakubali kwa nilivyoona jana
kuwa kambi la lowasa ni kuwa msaliti? ila kuwa kambi ya membe au wassira ndio SIO usaliti?! sielewi vile!
View attachment 255993
Mwanasiasa mkongwe wa CCM mzee John Malecela amemshangaa mzee Kingunge na kumuita Yuda na msaliti, ndumilakuwili na mchochezi na hana shukrani hakumbuki alichofanyiwa na serikali ya Kikwete huyu Kingunge.
Anakusanya ushuru stendi ya Ubungo na maeneo mengine ya mji hela anazokusanya kila siku anampa nani au aliwashawahi kutoa msaada wowote kwenye kituo cha kulea watoto yatima? Mzee Malecela amesema Kingunge aache kabisa kuwachagulia mtu anayefaa kuwa Rais kazi hiyo ipo mikononi mwa CCM kwenye mkutano mkuu hata CHADEMA, CUF hufanya hivyo kwenye vikao vyao maalumu.
Mzee Malecela amesema kura ya veto iliyomtoa manyoya yeye wakati anagombea Urais ndio itakayotumika kuangalia mgombea mwenye Sifa zote zinazohitajika kwa Tanzania ya sasa na nyingine pia awe msafi, mpole, mchana Mungu mwenye maadili.
Malecela amesema Rais hawezi kupatikana kwa kelele za watu, porojo na maigizo; muda ukifika kila Mgombea atabeba msalaba wake.
Kwa matendo waliyoyafanya kugawa watu kwa kuwanunua kwa uchu wa madaraka, mbegu hiyo ni mbaya sana kwa Taifa kwani kuna uwezekano Taifa lilitagawanyika tusipokuwa makini na wasaka urais kwa nguvu.
CCM watu wa ajabu sana,mbona mnanyukana wenyewe kwa wenyewe?busara iko wapi?itoshe tu kwa mgombea kutoa sera zake na kutangaza nia,acheni kutupiana mawe mchana kweupe,ndio kusema hata UKAWA wanaweza kutupiana mawe?Ni vyema kila mmoja akatangaza sera zake halafu mviachie vikao vya chama viamue nani anafaa,muungwana anakuwa na akiba ya maneno,kama mnaumbuana wenyewe kwa wenyewe hamuoni mnawarahisishia UKAWA kazi?Labda mnapigwa upofu au ndio mambo ya mnara wa Babel,tatizo ni urais tu?Rais ni mmoja tu,hamuwezi kuwa marais wote,hilo mkubali.
Wakinyukana wewe kinakuuma nini?
Teeeeh,teeeeh,teeeeh,vita yapanzi faraja ya kunguru kwani hujipatia msosi ki ulaini,hivyo ukawa wawe tayari kukabidhiwa injhiii
Wakinyukana wewe kinakuuma nini?
hAKUNA MUZIKI WOWOTE HIYO JANA. Watu wote pale walipelekwa kwa hela, posho, nauli kama ana muziki wowote aende bila kuwalipa watu tuone kama atapata watuHuyu kamshindwa Lusinde yule kichaa atawezana na Lowassa kweli kwa mziki tuliouona jana! Hii ngoma ya magamba lazima ipasuke mwaka huu. Naona karata pekee waliyonayo wapambe wa Membe ni kumkata jina Lowassa kabla hajafika mbali, sidhani kama atakubali kwa nilivyoona jana
Lowassa si rizki kwa taifa hili.
ccm si riziki, we have had them since independence and we have seen enough
That's true bali uelewe kuwa Lowassa si CCM.
Na pamoja na ku lean towards Ukawa bado sijaona figure ya kunconvince kuchukua hi hii.