Sasa huyo ndiyo mzee wa kuenziwa, tatizo kingunge anatafuta mtu wa kumlea baada ya kiongozi kikwete, wazee kama kingunge ni wengi sana na ni wazee wadili tu.
Sasa huyo ndiyo mzee wa kuenziwa, tatizo kingunge anatafuta mtu wa kumlea baada ya kiongozi kikwete, wazee kama kingunge ni wengi sana na ni wazee wadili tu.
Ukiona ndugu(CCM) wanagombana shika jembe ukalime.CCM siyo vyama vya upinzani vya bongo(Vitega uchumi).
kingunge anataka uwaziri wa fedha, amalizie hasira za kunyang'anywa ubungo
Mkuu na wengine hawa huku lazima kieleweke tu
View attachment 255994
Naiona ccm ikisambaratika taratiibu na kuelekea kuzimu kisiasa