Malcolm X Audio Speeches

Malcolm X Audio Speeches


Mkulu inaweza kuwa ngumu kidogo,WHY:

Malcom X pamoja na wenzake wa "Nation of Islam" ikiongozwa na Elijah Mohamad bila kumsahau Loius Fharakan walikuwa waki-preach violence zaidi as compared to Martin Luther King, Jesse Jackson na wengineo.

Kwa tafsiri nyingine kuna baadhi ya black americans wanamwona mpaka leo Martin Luther King Jr. kama kibaraka wa wazungu kutokana na falsafa yake ya "non-violence" ambayo alijifunza kutoka kwa Mohandas Karamchand Ghandi aka Mahatma Ghandi wa India...

Hivyo jamii ya blacks imegawanyika kuna wale ambao walifahamika kama "Field slaves" akina Malcom X na wenzake pamoja na ancestors wao na "Home slaves" akina King na wenzake waliokulia kwenye nyumba za wazungu kama watumishi wa ndani na ndiyo maana wakaweza hata kwenda shule na kupata hizo doctorates, hivyo hawajuia adha ya kuchapwa bakora kule mashambani na kupigwa risasi...

Kimsingi, Malcom X alikuwa hakubaliani na falsafa ya Dr. King....hivyo alimwona King kama kibaraka...tu...ALITAKA WEUSI WALIPE KISASI.....JINO KWA JINO.....

Historia ya blacks struggle in amerika ni complex kidogo.....

"WENYE DUNIA YAO HAWATAKI MAFUNDISHO YA MALCOM X WAFAHAMIKE" alikuwa militant zaidi

Nakushauri, fuatilia habari za hawa wafuatao: Booker T. washington, Fredrick Douglas, W.E.B Du bois bila kumsahau Mzee mwenyewe Marcus Garvey ambaye alikuwa tajiri sana(Picha yake Bob Marley alikuwa anaweka nyuma ya bendi yake kila wanapo-perform, ukiacha ile ya Haile selassie, kuna jamaa moja jeu
si hivi na kofia). Hao wote ni waafrika na wanaheshimika kuliko huyo Malcom x or Dr. King...WHY, kwa sababu ndiyo walio-lay foundation ya struggle....

Marcus garves alianzisha falsafa ya "back to africa" na alikuwa na anamiliki meli kubwa na zilifahamika kwa jina la "black star". Baada ya Lincoln ku-abolish utumwa wengi walirejea kwa kutumia meli hizi za Garvey na walifikia Liberia...ndiyo maana mpaka leo pale monrovia mpaka rangi ya taxi inafanana na rangi ya taxi ya New york, Marekani leave alone bendera yao kama nchi kwa maana wali-copy na ku-paste almost mambo mengi...na ndiyo sababu wakoloni walipofika afrika walishindwa kuitawala Liberia kwani wale watu walikuwa ni wale watumwa waliotoka marekani hivyo "they were enlighted"

Kiongozi muda hautoshi ningekupa zaidi....cheers


nakubali kiongozi.
Umeeleweka vzr mno
 
Ndiyo. Alikuwa shoga. Nenda google tafuta kuhusu u-gay wa Malcolm X.

acha kupotosha umma aisee.
hzo zenu ni skendo. Malcolm X alipitia uguni mwingi sana kama kuuza bangi, madawa ya kulevya, Ujambazi na usimamizi wa danguro.
ila hyo ya Ushoga haipo.
acha fix bhna
 
du, kwani alikuwa bwabwa? chakula cha watu? mboga? si riziki? mbonyezo?

hapo umedanganywa kijana.
Malcolm X alipitia uhuni mwingi kama kuuza bangi & dawa za kulevya, ujambazi, usimamizi wa danguro na ktl hayo ndiyo yaliyompelekea kufungwa miaka 10.
hlo la ushoga halipo huyo alokwambia hyo ana sababu zake binafsi muulize vzr
 
012d12ad233cb550fc1c3607703160d2.jpg

Malcom X with family left one
 
Back
Top Bottom