Malcolm X Audio Speeches

Malcolm X Audio Speeches

Mtali

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Posts
4,042
Reaction score
3,458
Wandugu habarini za leo. Nahitaji kupata audio za speech za Malcolm X mpigania haki za watu Weusi. Naombeni msaada mahali napoweza kuzipata. With Respect to you all.....

Mtali
 
Wandugu habarini za leo. Nahitaji kupata audio za speech za Malcolm X mpigania haki za watu Weusi. Naombeni msaada mahali napoweza kuzipata. With Respect to you all.....Mtali

Mkulu inaweza kuwa ngumu kidogo,WHY:

Malcom X pamoja na wenzake wa "Nation of Islam" ikiongozwa na Elijah Mohamad bila kumsahau Loius Fharakan walikuwa waki-preach violence zaidi as compared to Martin Luther King, Jesse Jackson na wengineo.

Kwa tafsiri nyingine kuna baadhi ya black americans wanamwona mpaka leo Martin Luther King Jr. kama kibaraka wa wazungu kutokana na falsafa yake ya "non-violence" ambayo alijifunza kutoka kwa Mohandas Karamchand Ghandi aka Mahatma Ghandi wa India...

Hivyo jamii ya blacks imegawanyika kuna wale ambao walifahamika kama "Field slaves" akina Malcom X na wenzake pamoja na ancestors wao na "Home slaves" akina King na wenzake waliokulia kwenye nyumba za wazungu kama watumishi wa ndani na ndiyo maana wakaweza hata kwenda shule na kupata hizo doctorates, hivyo hawajuia adha ya kuchapwa bakora kule mashambani na kupigwa risasi...

Kimsingi, Malcom X alikuwa hakubaliani na falsafa ya Dr. King....hivyo alimwona King kama kibaraka...tu...ALITAKA WEUSI WALIPE KISASI.....JINO KWA JINO.....

Historia ya blacks struggle in amerika ni complex kidogo.....

"WENYE DUNIA YAO HAWATAKI MAFUNDISHO YA MALCOM X WAFAHAMIKE" alikuwa militant zaidi

Nakushauri, fuatilia habari za hawa wafuatao: Booker T. washington, Fredrick Douglas, W.E.B Du bois bila kumsahau Mzee mwenyewe Marcus Garvey ambaye alikuwa tajiri sana(Picha yake Bob Marley alikuwa anaweka nyuma ya bendi yake kila wanapo-perform, ukiacha ile ya Haile selassie, kuna jamaa moja jeu
si hivi na kofia). Hao wote ni waafrika na wanaheshimika kuliko huyo Malcom x or Dr. King...WHY, kwa sababu ndiyo walio-lay foundation ya struggle....

Marcus garves alianzisha falsafa ya "back to africa" na alikuwa na anamiliki meli kubwa na zilifahamika kwa jina la "black star". Baada ya Lincoln ku-abolish utumwa wengi walirejea kwa kutumia meli hizi za Garvey na walifikia Liberia...ndiyo maana mpaka leo pale monrovia mpaka rangi ya taxi inafanana na rangi ya taxi ya New york, Marekani leave alone bendera yao kama nchi kwa maana wali-copy na ku-paste almost mambo mengi...na ndiyo sababu wakoloni walipofika afrika walishindwa kuitawala Liberia kwani wale watu walikuwa ni wale watumwa waliotoka marekani hivyo "they were enlighted"

Kiongozi muda hautoshi ningekupa zaidi....cheers

Mtali, hii hapa tovuti ya uhakika yenye audio speech za mkali Malcom. ukishabonyeza hizo linki audio inadownload moja kwa moja kwenye kompyuta yako. unaweza kuzisave pia na kusikiliza muda wowote unaotaka. zipo nyingi mpaka nikaipenda hii tovuti
. wakaribishe na wengine waje kudownload. Sharing is caring :typing:
 
Last edited by a moderator:
Man unaenda mbali saana, unamchanganya muhitaji, kila mmoja alikuwa na mchango wake kulingana na wakati alio ishi, Mchango Mr X nao ni mkubwa pia. Hata Bob Marley unae mtaja alipata kuwa maarufu zaidi alipojifungia na kuchimba library ya Mr X. Hapo ndipo ilibozaliwa Survival album.
 
Sijaenda mbali kiongozi
Huyu ndugu yetu anahitaji kufahamu struggle nzima(nimepanua scope) na siyo leo anaomba taarifa za malcom x kesho aje na kipande kingine cha MARCUS GARVEY

BTW , huwezi kumlinganisha malcom x wala king na watu kama kina FREDRICK DOUGLAS ..naomba muhitaji atafute habari za hao watu....achana na kina bob marley...taarifa zao zipo barabarani kila mtu anazijua...
 
duu' umetiririka sana mkuu, vp kuhusu haile selasie? Natamani uendelee tu'
 
Thank you very much guys.... you made most of my day. I appreciate Ur concern. God bless U all with positive contribution and on the other hand Thanx kwa walio kejeli na kutukana maana wameonesha busara zao na namna walivyolelewa. I count on U all.
 
Msafara wa Mamba: kenge, mijusi na vinyonga wamo!
 
Thank you very much guys.... you made most of my day. I appreciate Ur concern. God bless U all with positive contribution and on the other hand Thanx kwa walio kejeli na kutukana maana wameonesha busara zao na namna walivyolelewa. I count on U all.

Msafara wa Mamba: kenge,mijusi na vinyonga wamo!
 
anayesema Malcom X shoga, huyo hamjui kabisa. huyo alikuwa strong. ni mtu aliyepambana ki-sawasawa. hiyo ndiyo ilifanya wazunguwaanze kumzushia huo uzushi ambao ndugu yangu naye kaingia mkenge wa kuuamini. aliishi kwa kutimuliwa timuliwa hadi maye akaingi katika tabia ya ukibaka kabla kisha ndio akatangaza maopambano na wazungu kabla ya kuingia rasmi katika imani ya uislam. Binafsi Nimesoma sana historia yake. nampenda, namheshimu, namkubali. aliuawa kwa kupigwa risasi 16. Munug amrehemu
 
Sijaenda mbali kiongozi
Huyu ndugu yetu anahitaji kufahamu struggle nzima(nimepanua scope) na siyo leo anaomba taarifa za malcom x kesho aje na kipande kingine cha MARCUS GARVEY

BTW , huwezi kumlinganisha malcom x wala king na watu kama kina FREDRICK DOUGLAS ..naomba muhitaji atafute habari za hao watu....achana na kina bob marley...taarifa zao zipo barabarani kila mtu anazijua...

Mkuu vipi kuhusu Harrieth Tubman?
 
Wandugu habarini za leo. Nahitaji kupata audio za speech za Malcolm X mpigania haki za watu Weusi. Naombeni msaada mahali napoweza kuzipata. With Respect to you all.....

Mtali

kaka mi ninazo nyingi kama ukiweza nitafute au download kwenye kickasstorrent ndo nilipozipata pamoja na vitabu vyenye izo speech..nenda www.kat.ph search malcolm x chagua utaona izo download via utorrent.
 
Back
Top Bottom