Good Guy
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 3,822
- 1,434
Baada ya msako wa muda mrefu wa ndege iliyopotea katika mazingira ya kutatanisha flight MH370, wiki kama mbili nyuma meli za China zilipata 'signal' yenye frequency ya 37.5KHz ambayo ni range inayotumika kwene kifaa hicho kutuma taarifa kwa watafutaji (pings). Lakini hawakutaka kwanza kutangaza moja kwa moja kua signal hizo source yake ni MH370 maana inawezekana ikawa ni kifaa chochote cha baharini ndo chanzo. Baada ya uchunguzi zaidi na kuipata hio signal kwene meli zaidi ya tatu, wamefanikiwa kuhakiki kua ndio ni kweli flight MH370 ndio chanzo chake, na inatokea umbali wa takriban kilomita 4.7 chini ya bahari. Pia waziri mkuu wa Australia asubuhi ya leo aliongeza kusema kweli sasa wana wigo mdogo wa kupata point ndege ilipo kwenye uso wa bahari, maana wameshapata tayar eneo dogo husika ilipo lakini bado kina cha bahari kinafanya zoezi hilo kua gumu kidogo!!!..------------PICHA ZA MATUKIO YANAYOENDELEA LIVE KATIKA ENEO HUSIKA!!------------
.
.....Australia's Prime Minister Tony Abbottt talks to the mayor of Shanghai Yang Xion......