Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Imekuwa ni nchi ya kwanza huko Bara Asia kujitoa mhanga kuwasaidia raia wa nchi nzuri ya Syria ambayo wanapata tabu ya vita ya wenyewe kwa wenyewe iliyodumu kwa muda mrefu sasa!
Nchi ya Malaysia itachukuwa wakimbizi 3000 na kuwapa vibali vya kufanya kazi moja kwa moja nchini humo, hongereni Malaysia, nilitegemea hatua kama hiyo ichukuliwe na nchi jirani kama vile Saudia, Qatar, &Co. lkn badala yake ndiyo wanazidi kuididimiza na kuingamiza nchi hiyo nzuri na yenye watu wazuri na walioelimika ya Syria!
Hata nchi ya Uhispania pia imejitolea kuchukuwa watu wazuri wa Syria 600!

Kundi la kwanza la Wasyria likiwasili nchini Malaysia!
Mungu Ibariki Syria na watu wake, na Ilaani Saudia, Qatar &Co.!