Malaya

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
0
Mtoboasiri hivi unaishi dar au mji gani? Saa ya ukombozi ni sasa.....kinamama have declared freedom ......if you can buy they can as well buy.....
Niambie huo mtaa sasa hivi niende (ukichukulia WEWE huyo umenitilia fitna ili Kongosho aniteme). nataka NIKAUZE kibamia changu sasa hivi! Na nilivyo chacha!

Btw: Kungekuwa kuwa na opportunity ya wanaume kujiuza WEWE si ungeshajiuza zamani ili ukwepe kulipa deni la Bayport???
 
Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,334

Hahahahaha kumbe kelele zote unamtaka Kongosho? Mtoboasiri hivi una ubavu wa kumfikisha Kongosho, sio unawinda tembo kwa manati....
 
Last edited by a moderator:

galindas

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
985
1,000
Imebidi nicheke sana. Labda niulize, huyo anayeitwa malaya anafanya huo umalaya na nani na miti? Kama anafanya na mtu kwanini mmoja aitwe malaya na mwingine sio! Anayeuza na kununua mwili wote malaya. Labda tukiliongelea kwa definition sawa lakini ki vitendo wote wapo kwenye kapu moja.
 
Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,035
1,500
Hivi hujui Bishanga kaniuzia? Tena kwa bei chee sana

Niambie huo mtaa sasa hivi niende (ukichukulia WEWE huyo umenitilia fitna ili Kongosho aniteme). nataka NIKAUZE kibamia changu sasa hivi! Na nilivyo chacha!

Btw: Kungekuwa kuwa na opportunity ya wanaume kujiuza WEWE si ungeshajiuza zamani ili ukwepe kulipa deni la Bayport???
 
Last edited by a moderator:

wamogori

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
888
195
Haina maana kuwa kwa kuwa watu wakioana basi wote wataitwa waume au wake, vivyo hivyo mwanamke anayeuza mwili wake ni kahaba na yule anayetembea na wanaume wengi kimapenzi pasipo kujiuza ni malaya na kwa wanaume wanaotembea na wanawake wengi kimapenzi wao huitwa fuska.
 
CarlesSerra

Senior Member
Aug 21, 2012
105
0
Ni umalaya na nani Malaya? Malaya ni msichana au mwanamke ambaye anafanya mapenzi na mtu asiyekua si mumemwe wa hahalali. kuna namna tatau za umalaya nazo 1. Malaya wa kwanza ni yule ambaye hutafuta pesa kwa kila njia ya kwa kuuza mwili wake, ikiwa kwenye geto, baa au njiani ( bara barani). 2. Aina ya Malaya mwengine yule anayekaa au naishi na mtu si mumewe wanaishi kama mtu na mume. ama wa 3. Malaya huyu hana mtu maalamu wala hana haja ya pesa yeye akijiwa na hamu ya kutaka kufanya mapenzi atakayempata yeyote atakaye mridhisha siku ile ni sawa kwake.:heh:
wewe uko kundi gani kati ya hayo?
 
wakalisisi

Member
Apr 18, 2013
17
0
hii si maana halisi ya MALAYA. mala ya ni mwanamke au mwanaume na ni tabia ya mtu, maana ya malaya ni kuwa
na mpenzi zaidi ya m moja au kubadilisha wapezi ovyo
 
Top Bottom