Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,049
- 1,022
<br />tatizo lenu mnafikir kila mapinduzi ni faida..wengine wamenunuliwa na vibaraka..
<br />
We kila kitu vibaraka,kwani ccm ipo chini ya nani? vipi bwana acha ulevi huo; sisi sio wajinga kama wewe hadi tushindwe kuona uovu huu mkuu unaotendwa na CCM.