Plan A ya Malawi ilikuwa ni kwenda Mahakamani moja kwa moja, na plan A ya Tanzania ilikuwa ni vita moja kwa moja.Ni kweli mkuu...lakini anaposema amejitoa tu sababu Tanzania eti wamezindua ramani mpya..mara tunawa_harrasi wamalawi_kwa hiyo anatuambia ana plan' B' kudeal na hili tatizo,...ndio maana nasema asitishie watu wazima nyau...aje_atapata majibu yake.
Tuwachape tu hao
hata wao nadhani wameona hili na ndio maana wamestuka mapema...ila mwisho wa siku itakula kwao tuu nasikia membe keshawawahi kuwapeleka UN ..We said so. Nothing you can discuss with our recent government.
Mazungumzo kwa serikali ya JK maana yake ni kuchelewesha muda ili upepo upite lakini sio kutafuta suluhu ya kudumu.
Hawa wamalawi walikuwa hawamjui vizuri JK sasa wamemjua vizuri!
Plan A ya Malawi ilikuwa ni kwenda Mahakamani moja kwa moja, na plan A ya Tanzania ilikuwa ni vita moja kwa moja.
Hivyo good will between JK na Mama Banda ikazaa mazungumzo rasmi na kila mmoja kufuta plan A.
Sasa anachofanya JK ni sanaa ambayo amezoeia kuifanya bongo kwenye migogoro kama ya madaktari, walimu, wafanyakazi, kujivua gamba nk.
Sio rahisi kama unavyofikiri, jiulize kwanini DRC wanashindwa kuivamia Rwanda ambayo ni nchi ndogo sana?
Mkuu Elli katika suala la mgogoro wa mpaka na Malawi Rais Kikwete yuko sahihi.Linapokuja suala la nchi tuweke tofauti zetu za kiitikadi pembeni.
Mkuu huko tusijaribu kabisa, tutasambaratishwa mbaya!Hivi Rwanda na Burundi sio mikoa ya Tanzania yetu kweli?
Mkuu fafanua yuko sahihi kivipi?Mkuu Elli katika suala la mgogoro wa mpaka na Malawi Rais Kikwete yuko sahihi.Linapokuja suala la nchi tuweke tofauti zetu za kiitikadi pembeni.
wakuu mtaliweza hili,kuvamia malawi kupitia ziwa lao kama vile wakenya walifanya huko kismayo?tafakari !!
Kenyan troops in Somali beach assault - YouTube
wakuu mtaliweza hili,kuvamia malawi kupitia ziwa lao kama vile wakenya walifanya huko kismayo?tafakari !!
Kenyan troops in Somali beach assault - YouTube