Anti, naona tumeenda mbali kidogo na mada...
Hapa tunazungumzia zaidi huyu mama kugeuza sheria za nchi yake kwa kubadili homosexual acts kutoka katika "unatural and indecent acts" kwenda kua jambo la kuruhusiwa. Kwa hiyo ningependa tuendelee na kipengele cha kwanza zaidi, sio zile zingine (if you don't mind)
Sijafurahia the way anajaribu kutumia misaada kama justification ya kukubali kua homosexuality is a right (right to chose the sexuality we want). Hapa I agree with you, empowerment is a process, na mtu hawezi kua empowered kwa namna US na UK wanataka kulazimisha. waache Africans tu-deal na mambo yetu at our own pace. But this struggle must continue untill all humans a free and equal.
Haki na sheria nani kazitunga? Si mwanadamu... Hivo haki na sheria zilizopo katika vitabu vya dini havina uzito na wala sio za kuzingatiwa kama zilizo katika vitabu vya sheria za ku monitor tabia ya mwanadamu? Kulala na kaka yako sio offence? Mbona basi hao hao ambao wana promote homosexuality wao wanaona ni offense? Hairuhusiwi kuoana na Sibling wako hivo it means hata having sex publically known ni offence na unaweza kabisa funguliwa mashtaka.
Ok ukisema ni taboo katika jamii fulani fulani.... kwa nini wao wasiendelee na hio tabia bila kuhusisha kukandamiza Africans ku adapt hilo la homosexuality? I know you know histoy ya gays Uingereza... The way walitengwa na jamii, na the way walinyanyapaliwa hadi wakasema wamelaniwa na ugonjwa wa AIDS ni kwa ajili tu ya Homosexuals... Wala hata sio zamani sana ni kama tu within 30 years ago. Ina maana kila ambalo mwanadamu atapitisha na kuweka kua ni sheria lisimamiwe in the name of human rights?
Sasa kwenye taboo/legal: Kama unasema binadam ndio wanajenga sheria, basi kubali kua binadam wanao uwezo wa kupangua hizo sheria. Ikiwa sheria inanyanyasa wananchi, na sheria hiyo iwepo au isiwepo haina madhara kwa wanainchi wengine, basi sheria hiyo inapaswa iondolewe. Think about it bila bias: homosexual wanatupunguzia nini kama taifa? kumbuka they don't only live to have sex, they are human beings with all the functions in the society. but kila siku they live in fear and danger just because they chose 'the wrong" sexuality. wrong because it is said so, bila kuonesha ubaya wake kwa jamii uko wapi. Is this fair? take your time and think about this...
Mwali are you saying kua dildos, fellation na fingering ni sawa na na the act of kuingiliwa nyuma? I believe not... dildos kama zinatumika na mdada kujiridhisha katika njia ya kawaida anapo kua na hamu hali mwenza wake hayupo naona it is ok. fellatio inakua tu kama aina fulani ya utundu wa mchezo katika shughuli kama ilivo fingering as long as imelenga njia ya mbele. I have no problem kutafuta alternative ya kujiridhishe uweze cum kwa njia sahihi... na ndio maana naturally maeneo ya cumming yameumbwa yapo front door na sio back door....
Kipengele cha pili kinahusu kulinganisha anal sex na oral sex/masturbation. Hapa nadhani kila mtu yuko huru kufikiria anacho taka, na tunaweza bishana hadi kesho sidhani kama utaweza kuni-convince kua using a dildo is more 'natural' than having anal sex.
Maana ya kutumia Kinga si ni kwa ajili ya kuepusha vitu kama magonjwa.... kuweka magonjwa pembeni, Do you think people really use condoms? Hawatumii Mwali... Na ukitaka kujua hio njia sio sahihi hata mtu achezewe vipi hakuna ute uliowekwa naturally ujitokeze kuwesha kupenywa... lazima utumie artificials sababu it is not natural....
Kipengele cha tatu kinahusu anal sex yenyewe. I wouldn't want to go in detail here... May I just suggest that you deepen your knoweledge about anal sex? Kumbuka, kuna heterosexuals wengi wanashiriki anal sex na hawatengwi na jamii for choosing "the wrong hole". only ikiwa same sex ndio inakua sababu ya kunyanyaswa, kutengwa na sometimes kuuwawa.
If sex was to be 100% "natural", why is the sex industry prospering so much? with all these original toys and funny accessories?