Malawi to overturn homosexual ban | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malawi to overturn homosexual ban

Discussion in 'International Forum' started by Askari Kanzu, May 18, 2012.

 1. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  18 May 2012 Last updated at 16:19 GMT
  Malawi to overturn homosexual ban, Joyce Banda says

  [​IMG]
  Joyce Banda is doing her best to get donor funding restored to Malawi

  President Joyce Banda has said she wants Malawi to overturn its ban on homosexual acts - the first African country to do so since 1994.

  Two Malawian men were sentenced to 14 years in prison in 2010 after saying they were getting married.

  Several Western leaders have recently said they would cut aid to countries which did not recognise gay rights.

  Mrs Banda took power last month after her predecessor, Bingu wa Mutharika, died of a heart attack. She has since reversed several of his policies, including devaluing the currency, in a bid to get donor funding restored.

  Many donors cut aid under Mr Mutharika, accusing him of economic mismanagement and political repression.
  In her first state of the nation address to parliament, Mrs Banda said: "Some laws which were duly passed by the august house... will be repealed as a matter of urgency... these include the provisions regarding indecent practices and unnatural acts."

  Full story BBC


  Umasikini ni utumwa!
   
 2. fmlyimo

  fmlyimo JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Control oil, you control nations.
  Control the food, you control the people.
  "Henry Kissinger"
   
 3. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  tatizo la viongozi waliozoea kuishi maisha yao kwa kusaidiwa ndo hili. Nchi zina resources za aina zote lakini wao bado wanafikiria kwamba bila misaada hatuwezi kufanikiwa. Huu ni upumbavu wa western education tunayopewa,haitufundishi kuwa self independent. Watu tuna mafuta,dhahabu,shaba,ardhi yenye rutuba,maji kila kona,vivutio vya utalii lakini kila siku tupo nje ya nchi kuomba misaada. Kuzaliwa mweusi ni kama laana fulani hivi!
   
 4. Nelsweeter

  Nelsweeter Senior Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anatuangusha wanawake huyu bibi
   
 5. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  its so sad that we as africans are ready to sell our souls, traditions and culture for a few bucks from the west...what a shame
   
 6. bona

  bona JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  you can easily tell who is stupid, the former president worked for IMF, he was an economist, you dont need university degree to know kushusha thaman ya pesa yako ni kuchimba kabuli kwa uchumi wa nchi yako, cjui ana fani gani huyu mazeri ila from her first move its very worrying moments for malawians! misaada haiendelezi nchi we mama acha kujivua nguo kwa kukubali ndoa za jinsia moja!
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  May 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  I respected and acknowledged Bakili Muluzi on how he had handled the case and his firm stand against foreign intrude on the matter; as much as the subjects were later on freed. I wonder with this pace if we as Africans will have any true ethnic values to call our own in the future...
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Huyu mama single yake ya kwanza anaanza na haya?
  Oh poor Africa how long will you carry on being dependent on whites
   
 9. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Umaskini wa kujitakia wa mataifa ya Afrika yenye raslimali kede kede ndiyo unaosababishia tukubaliane na haya masharti ya kipuuzi.
   
 10. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Joyce Banda amemkatalia hata Omar al Bashir asikanyage Malawi kwenye mkutano wa AU Julai. Banda amemwomba radhi Bashir kwa kuchukua uamuzi huo kwa sababu kama Bashir akikanyaga Malawi wazungu watakata misaada.

  Sudan's Omar al-Bashir not welcome for Malawi's Banda
  4 May 2012

  Malawi's new President Joyce Banda has said she does not want Sudan's President Omar al-Bashir, accused of war crimes, to attend a summit in July.

  She says she fears the "economic implications" if Mr Bashir attends the African Union meeting in Malawi.

  Her predecessor, Bingu wa Mutharika, who died last month, last year defied calls to apprehend Mr Bashir.

  "Let the AU decide on his position. He [Bashir] should forgive us this time as we are struggling to fix the economy," the Reuters news agency quotes her as saying.

  BBC
   
 11. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #11
  May 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Maskini madame Banda.... Anaonesha weakness zake kwa uwazi mno. That is way too over transparent. Hio lifting up the gay ban ni tosha kabisa kuplay with as a bargaining chip in the economy sector in relation with the donors. Going to the extrems of banning Mr. Bashir's attendence on such a major International meeting is an official mark that she a kaput to whatever is demanded of her by her own stamp of desperation.... Sad.
   
 12. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #12
  May 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Atakapokuja kujing'amua atajilaumu (and it will surely be too late!)
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  May 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Kujing'amua ni kazi sana Askari... They will give her what she wants... and wipe out any mashaka remaining kuhusiana na wao. Anaonekana kama vile she is kind of absolute in decision making, too early to say but still evident. Lets wait and see movie inakoekea...
   
 14. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  AshaDii nadhani tatizo la hao wanyasa vile vile ni kupenda uzungu kupindukia (kwa mfano kucheza ngoma ya lipenenge na kaptula, soksi, shati jeupe na tai shingoni kwenye vumbi). Hii imekuwepo tangu enzi za Dr. Hastings Kamuzu Banda ambaye alipaliliwa na waingereza hadi kujiona yeye ni mmoja wao. Sijawahi kuona mwamko wa kisiasa toka kwa wamalawi ambao nimekutana nao, zaidi ya wachache kama marehemu Kanyama Chiume. I might be wrong but that is the way I see it!
   
 15. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  ogopa sana kumwamini activits ambao wameingia kwenye siasa kupitia mgongo wa utetezi wa haki za binadamu. This is typical! Anataka kuendelea kutetea hata ujinga. Bush mbona ameua sana watu? Au kwa sababu alikuwa anawafanyia hivo waarabu? Somtime huwa nawakubali waarabu kwa kugoma kuendeshwa na hawa nguruwe japokuwa utajiri wanautoa kwetu. Kuzaliwa na ngozi nyeusi ni laana fulani!
   
 16. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #16
  May 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Nchi kama Malawi, Tanzania, Zambia na Botswana ni baadhi ya nchi chache Africa ambazo wananchi wake waliwekewa mazingira ya kuonesha kua wao things of interest in the nation ni yale tu ambayo yanahusiana na their immediate welfate... Wahakikishe wanafanya kazi, they provide for their family na kufutatilia mengine kama entertainment za football ama mengine. Politics ilikua inaongelewa na wazee tu! Na ni kitu ambacho kinahusu viongozi wa nchi.... This mentallity has cost us...

  Hivo Askari Kanzu you are not wrong... thou inaenda ina change tokana na hali za maisha kua mbaya zaidi. At present Tanzania tupo vizuri zaidi kimwamko wa Siasa kuliko hata Malawi.... ambao kama sisi wa Tz ama Wa Zambia wameanza mda sio mrefu kujua kua Siasa ni part ya kila mmoja na everyone has the right to know, be updated and speak their belief. Ukitaka uelewe hii tunaangalia majirani zetu Kenya na attitude yao towards politics.... then unapata picha.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #17
  May 19, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mi namuunga mkono...
  How can you say that homosexuality is "unnatural act and indecent practices"?
  Hizo sheria zimekaa kinyume na haki za binadam na zinatakiwa kukanushwa.
  However, this should not be done "in a bid to get donors funds reatored",
  it should be done because it is part of the jus cogens.
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  May 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Nyalotsi mie naamini muarabu na Mzungu hawana tofauti... Wao ni kitu kimoja. Tofauti yao ni kua Mzungu ni mnafiki na Intelligent kuweza tumia huo unafiki wake kupata atakacho. Muarabu hana unafiki.... hio ndio imem Cost. Mzungu hapendi race nyingine zaidi ya mtu mweupe... racism haitakaa iishe no matter wasomi wengine wanasemaje! Pamoja na kusema kua Mzungu hapendi mtu mweusi, yeye ni mnafiki na kaweza weka conditions ambazo zinamjengea mtu mweusi kujua kua nae ni mtu sawa na yeye wawapo pamoja....

  Kwa warabu that is another case Nyalotsi.... Jamaa wana roho mbaya mno! Ni wabaguzi na bahati mbaya sana what they want wanataka iwe by force, hawana simile... hawana patience kama mzungu kuweza pata kitu in the long run kwa njia ya brain washing.... Nasema hili sincerely.... Siku mwarabu atakua na nguvu ya U.S hapa duniani... The earth will stand still.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  May 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Mwali are you saying homosexuality is decent? Are you saying it is a natural act? Please on what basis?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #20
  May 19, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Mimi naona labda Deskmate atufafanulie hiyo natural act anavoitafsiri yeye na mwalim wake wa baioloji. hehehe

  Bek to ze topik: Huyu mama inaonekana hafai hata kuongoza kunguru seuze binadam. Wamama kama hawa ndio wanaoupa nguvu ule msemo wa " Mwanamke sehem yake ni jikoni"
   
Loading...