Malawi to overturn homosexual ban

Hii mada sidhani kama inahusu kama ushoga ni mila au sio mila ya kiafrika. Swala nilionavyo ni je, tukubali wazungu watupangie maamuzi yetu kutokana na hiyo "misaada" wanayotoa? Leo wanasema kama serikali za Africa hazitakubali kuruhusu ushoga basi watakata "misaada", je kesho watasemaje kama tutakubali kila wasemalo eti ilimradi tunataka "misaada"?

Ni fikra potofu kwa mwafrika kudhani eti kuvaa suti na tai ni ishara ya ustaarabu!

Niliposikia kauli ya Cameroon huko Perth nilishukuru mungu sana because that is exactly the kind of push that we need to sort out our mess. Solutions za matatizo yetu ziko hapa hapa na sio kwa wazungu. But day in day out watu wanatembeza bakuli.

And if I had my way ningewaambia hawa wazungu wawape leaders wetu miezi mitatu 3, 'redifine your morals and accept homosexuality mara moja otherwise, katafute cheque kwingine'. Hii ndio dawa inatakiwa. Push them to the edge tuone kama watasafirisha wanyama hai au wataacha kukusanya kodi.
 
Ni hatua nzuri, although ilitakiwa ifanywe kwa ajili ya haki za homosexuals na sio kwa jili ya kutamani misaada.

Chochote unachofikiria kuhusu homosexuality sio haki kabisa kumfunga mtu kwa ajili hiyo, serikali haina haki kuwachungulia watu wazima wanafanya nini chumbani kwao.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Aina ya viongozi ambao wanatawala Afrika..poor Afrika i feel sorry for you...Mama mjinga sana huyu, mwanzoni niliwambia huyu mpuuzi mkubwa ni kibaraka wa Wazungu, hawezi kujitaftia njia ya kuiongoza Malawi ila kwa misaada tu...stupid!!
 
Gavana, soma vizuri title ya post yako. Kuna neno 'abuse' meaning mmoja wa washiriki katika tendo hilo hakuridhia. Hapa hoja ni watu wawili wazima wameamua kwa ridhaa yao wenyewe wenyewe.

Pili, sio kila mtu ni mkatoliki, au sio kila mtu anaamini mambo ya mungu. Wako watu wenye dini na wako wengine wasio na dini yoyote. You can not force your faith kwa watu wengine or even use it as a benckmark to judge others.
 
Last edited by a moderator:

Nimekufahamu vizuri sana , hao mashoga huwa wanaanzwa toka wadogo na mwisho ndio huwa ni vigumeu kwao kuwacha

Mimi nilikutana na jamaa kutokea Croatia ambaye ni shoga na nilipomuuliza kwa nini yuko hivyo alijibu alikwenda Germany tokea mdogo kusomea upadri na kule ndiko jamaa wazee wa kanisa walianza kumtafuna , alipoanza kuwa open na kuanza kuzitoa siri wakamfukuza chuoni. hapo hakuna natural kuna artificial
 
What's artificial? Kwamba huyo mtu wako hakuwa na feelings zozote kwa watu wa jinsia yake? Na amebadili nini hasa kutoka natural kuwa articificial? Kwa mfano, wako wanawake wanaofanya breast implants ili kuongeza ukubwa wa maziwa yao, hapo tunaweza kusema kuna 'artificial' lakini kwa huyu rafiki yako sijaelewa what part of his body did he alter?

Au kama umefuatilia watu wanaotumia ugoro, wapo wanaoweka 'granules' mdomoni (nje kidogo ya meno) lakini wako wengine wanavuta (sniff). Lakini wote wanawinda the same pleasure ya raw-tobacco, the only difference ni kwenye means wanazotumia. Ni yupi kati hao utasema ni natural au ni artificial maana both wana mdono, meno, pua lakini kila mmoja anamua kutumia sehemu moja over the other.

Hivyo hivyo kwenye hii topic ya sexual preference, normal people wana both sides, and kila mtu anajua which side inampa maximum sexual pleasure. Sasa, hii defination ya natural inakuwaje?
 
hakuna kiumbe ambaye hutaka kuf...wa.. mwenyewe kitu hicho labda umekiona wewe .

vijana huanzwa kupigwa burashi , mpaka wanapokuwa wakubwa na uhuru wa kusema ndio wengine utawasikia kutoa hizo siri n awengine ndio hulemaa katika hizo business
 
Anti, naona tumeenda mbali kidogo na mada...
Hapa tunazungumzia zaidi huyu mama kugeuza sheria za nchi yake kwa kubadili homosexual acts kutoka katika "unatural and indecent acts" kwenda kua jambo la kuruhusiwa. Kwa hiyo ningependa tuendelee na kipengele cha kwanza zaidi, sio zile zingine (if you don't mind) Sijafurahia the way anajaribu kutumia misaada kama justification ya kukubali kua homosexuality is a right (right to chose the sexuality we want). Hapa I agree with you, empowerment is a process, na mtu hawezi kua empowered kwa namna US na UK wanataka kulazimisha. waache Africans tu-deal na mambo yetu at our own pace. But this struggle must continue untill all humans a free and equal.

Noted niece..

Sasa kwenye taboo/legal: Kama unasema binadam ndio wanajenga sheria, basi kubali kua binadam wanao uwezo wa kupangua hizo sheria. Ikiwa sheria inanyanyasa wananchi, na sheria hiyo iwepo au isiwepo haina madhara kwa wanainchi wengine, basi sheria hiyo inapaswa iondolewe. Think about it bila bias: homosexual wanatupunguzia nini kama taifa? kumbuka they don't only live to have sex, they are human beings with all the functions in the society. but kila siku they live in fear and danger just because they chose 'the wrong" sexuality. wrong because it is said so, bila kuonesha ubaya wake kwa jamii uko wapi. Is this fair? take your time and think about this...

Sheria ni kwanini zinawekwa Mwali? Ni sababu ya ku monitor wanadamu walau kutenda yale ambayo yamekubalika ni right and proper kwa ajili ya jamii husika. Na hayo makubaliano yanatokana na kwamba majority ya hiyo jamii yanakubali thou kuna minority ambayo huenda tofauti na at the end of the day wanakua considered ni wahalifu… Sikatai kua hilo swala limepitishwa huku nchi za Kimataifa, ni ya kwao hayo, BUT do they have to force it in nations whose majority of its people consider it a taboo? Reliant on the name of kunyanyaswa? Kwa wale ambao wanataka kitu kipitishwe ndani ya maslahi yao hata kama ni against the law nao pia wataona wananyanyaswa. Ubaya katika jamii upo Mwali… kuporomoka kwa maadili, a catastrophe sasa hivi….

Kipengele cha pili kinahusu kulinganisha anal sex na oral sex/masturbation. Hapa nadhani kila mtu yuko huru kufikiria anacho taka, na tunaweza bishana hadi kesho sidhani kama utaweza kuni-convince kua using a dildo is more 'natural' than having anal sex.

You are rite.. Ila you should note: Dildo is not natural yes, na wala it does not qualify comparing it with anal sex. Ungetolea kwa kugusia mfano wa kula chakula then maybe we would have gotten somewhere...

Kipengele cha tatu kinahusu anal sex yenyewe. I wouldn't want to go in detail here... May I just suggest that you deepen your knoweledge about anal sex? Kumbuka, kuna heterosexuals wengi wanashiriki anal sex na hawatengwi na jamii for choosing "the wrong hole". only ikiwa same sex ndio inakua sababu ya kunyanyaswa, kutengwa na sometimes kuuwawa. If sex was to be 100% "natural", why is the sex industry prospering so much? with all these original toys and funny accessories?

Mwali my niece, I believe my knowledge on anal sex is as deep as it can get... To me hata married couple wanao practice anal sex are in the wrong and I had mentioned this before huko nyuma, kua sasa hivo tunapozungumzia homosexuality we have to go deeper, sababu the number of homosexuals may even be equal to the number of bisexuals... Ni sawa na kusema kuiba hairuhusiwa na waweza kamatwa na kutiwa ndani. Ila wewe sio mwizi hadi ukamatwe unaiba ama kuwe na uthibitisho...

Upande wa kusema kua wao wanalazimisha not for reasons of the choosen hole but kunyanyaswa... In a way it is some kind of a promotion for it. Atlease that is how I see it..
 
AshaDii, si mtu anazaliwa, anakuwa mkubwa bila kufanya modification yoyote anapendelea watu wa jinsia yake. Hajafanya sugery, wala hajaenda kwa mchungaji, just natural flow za feelings zake, sasa utasemaje kama sio natural? Kwa mfano wewe unavutiwa na watu wa jinsia nyingine from day go - naturally au ulifanya something:)

Ukisema hivo FJM ni sawa na kusema hivo vitu viliumbwa kwa ajili ya haja ndogo na having sex is not right. The body parts za kike na kiume ziliumbwa kwa ajili ya hilo tendo na ndio maana kuna fluids, na ndio maana akaubwa mwanaume akiwa na kitu ambacho kuweza timiza haja zake ni lazima aweze muingia mtu (not just any hole); na ndio maana akaumbwa mwanamke with an entry.
 
Last edited by a moderator:
Banda will soon come to grips with the truth. The west is broke. Stone Broke and it is time the Likes of Banda stopped wasting time seeking cheap popularity with the west. Africa needs roads , electricity, water , and such infrastructure that would help Africans increase their productivity.

The west will keep introducing **** such as support for gays in a bid to avoid funding Africa's development. So dear Banda, don't repeal laws to spite your predecessor. Lead the country.
 
Back
Top Bottom