Malawi paper calls Kikwete a 'Bloodthirsty Leader'

Malawi paper calls Kikwete a 'Bloodthirsty Leader'

Status
Not open for further replies.
Kikwete amesababisha Tanzania iwe na ugomvi na jirani zake Malawi na Rwanda.

Kwa mara ya kwanza tumekuwa na maadui dhidi ya jirani zetu.

we ndo mjinga wa kwanza tena ungekuwa karibu ningekupiga makofi. wewe mwanaume kweli?? kosa la kikwete lipo wapi?? lazima tulinde interest za nchi hii sio za mama yako.
 
WADAU NIMEPITIA LEO GAZETI LA NYASA TIMES LA HUKO MALAWI NIKAKUTA JAMAA WANALAANI HOTUBA YA JK ETI ANATAKA KUWAPOKONYA ZIWA LAO KWA NGUVU HIVYO WANASHAURI JESHI LAO LILINDE NCHI YAO KWA SABABU WANATUMIA HELA NYINGI KUNUNUA SILAHA ZA KUWALINDA.

SOMA MWENYEWE HAPA:

NDUGU ZANGU WATANZANIA, LICHA YA UTOFAUTI WETU WA KISIASA NA KIFIKRA, NAOMBA KATIKA MASUALA YANAYOHUSU KULINDA NCHI YETU DHIDI YA UCHOKOZI WOWOTE TUWE KITU KIMOJA. MIMI SIDHANI KWAMBA HOTUBA YA KIKWETE YA JUZI ILITAJA NCHI YOYOTE NA WALA HAIKUWA NA UBAYA WOWOTE. HATA USHAURI ALIOMPA HUYO JAMAA ANAYEPANGA KUMHIT ULIKUWA MZURI WALA HAUKUWA WA KUCHOKOZA NA KULIKUWA NA UWEZEKANO WA KUPOKELEWA AU KUKATALIWA. MI NAMSHAURI JK NA SERIKALI YAKE WAANZE KUTAFAKARI MARA 100 JINSI YA KUONGEZA BAJETI KWA JESHI LETU IKIWA NI PAMOJA NA KUNUNUA ZANA BORA ZA KISASA. HATA KAMA TUNAWEZA TUSIINGIE VITANI LAKINI DALILI HIZI SIYO NZURI KWA AMANI YA NCHI YETU. LISEMWALO LIPO KAMA HALIPO LINAKUJA. WATANZANIA TUWE MAKINI.


××××××××××××××××

Tanzania fire must be met with fire on Lake Malawi row: Editorial

July 27, 2013

Tanzania is sabre-rattling and palpably and loudly beating the drums of war against peaceful Malawi over our jewel in the crown–Lake Malawi and this is beingchampioned by no lesser mortal than President Jikaya Kikwete-himself.

The occasion could not have been grander to whip up emotions and put nationalistic energies on a collision course for war against Malawi over Lake Malawi than the celebration of Tanzania hero’s day-on Thursday-when Kikwete told his compatriots that his armed forces are ready to protect the country against any foreign threats.

But-Kikwete’s outbursts and intimidation, coming at a time when Sadc mediation, led by former Mozambican president Joachim Chissano and former South African president Thabo Mbeki, should not be come as a surprise.

The warmongering is a simply a sign of the fact that-Tanzania knows it has no chance in hell of getting even an inch of Lake Malawi if a more civilised way of dealing with the matter is employed-hence the empty threats of using force to get half of our lake even when historical treaties governing the border say otherwise.

But as Chinua Achebe once intimated,-when a man threatens to defecate or indeed defecates into your house, you do not smile at him but simply break his neck.-Tanzania is threatening to do more and it is to take half of the house by force of violence.

But we, at-Nyasa Times, say this naked aggression should not be allowed to stand unchallenged and fire must be met with fire.

As so many sober-minded commentators have argued times without number, Malawi got a raw deal from the 1884-85 Berlin Conference during which European powers decided to partition Africa and its resources among themselves.

The country is simply grotesquely squeezed in the hand of some Colossus that are its neighbours that it cannot breathe through the unfair boundaries imposed on its people by European rulers that even separated families.

Yet despite this clear historical imbalance and injustice, Malawi has remained meek and peaceful throughout the years when the right course of action would have been attempts to destabilise its neighbours with a view to create more living space for its people.

But it seems this has been taken as a weakness by Tanzania and it has decided to throw its weight around to bully Malawi into submission by use of its so called military might to give up what truly belongs to us—Lake Malawi.

It is in this regard that we call upon our leaders in government for once to rise up and deal with this naked aggression once and for all.

We spend billions of kwachas every year running and equipping our army with modern hardware. Perhaps time has come for that investment to be put to productive use.

Army Commander General Henry Odillo is on record to have assured Malawians to sleep in peace over Lake Malawi, saying his boys and girls are ready to defend the territorial integrity of the nation.To him, we say time has come to make good of that assurance to Malawians.

Lake Malawi belongs to Malawi in its whole entirely and this is backed by historical records that emanated from the Partition of Africa. It is our only crown in jewel and no amount of intimidation should be entertained to give it up and satisfy dangerous ambitions of bloodthirsty leaders like Kikwete who thinks his country’s triumph over a twisted mind like Ugandan Idi Amini many years ago should be used as a launch pad for aggression against Malawi over what truly belong to her.

The die is cast and the country must fight to the bitter end. Tanzanian fire must be met with fire.


Tanzania fire must be met with fire on Lake Malawi row: Editorial | Malawi Nyasa Times - Malawi breaking news in Malawi
Ignore the comments with the contempt it deserves! An editorial of a tabloid with a daily circulation of 1000 does not warrant any form of consideration from any Tanzanian worthy a name, poor Malawians are at war with their concsiences not Tanzania, JK fulfilled his olbligations as head of state and commander in Chief at a national ceremony; not once did he mention any country by name, let them dare us and they heard him, they will face the music, Uwezo wa kuwapiga tunao, let them give us a reason and we shall wip up the determination to clobber them hard they will never forget!
 
Kikwete amesababisha Tanzania iwe na ugomvi na jirani zake Malawi na Rwanda.

Kwa mara ya kwanza tumekuwa na maadui dhidi ya jirani zetu.

Sasa mkuu swala la malawi unamuonea muheshimiwa rais.. au ulitaka aseme sawa ziwa lote ni lenu.. ..
 
Kikwete amesababisha Tanzania iwe na ugomvi na jirani zake Malawi na Rwanda.

Kwa mara ya kwanza tumekuwa na maadui dhidi ya jirani zetu.
Kikwete janga la taifa...amesababisha majanga mengi sana.
 
Majina ya matusi na maneno mabaya hayasaidii. Iddi Amin alimtukana Mwalimu na alipigwa vizuri tu!
Tanzania itaendelea kuwa Tanzania na majirani hawatahama au sisi kuhama.
Tunahitaji kujipanga na kuona jinsi ya kutatua changamoto tulizonazo. Rais wetu aendelee kuwa na diplomasia na sijaona kama alitoa tusi kwa nchi yoyote ile bali alitoa hotuba ambayo kiongozi yeyote anaweza kuitoa siku ya mashujaa.
Kuhusu mahusiano na majirani, kwa kipindi hiki, naona tumekuwa na wakati mgumu. Ukiacha Malawi na Rwanda, hata nchi nyingine kama Uganda maelewano si mazuri. Ingawa JK anajaribu kujisogeza karibu ili asiwe na maadui wawili (Ug and Rw).
Ukizungumza na wachambuzi wa kisiasa na diplomasia, hata majirani zetu wengine Burundi, Kenya, Mozambique, na Zambia mambo siyo mazuri kama zamani. Hili nalo linatakiwa kufanyiwa kazi. Tunaweza kulaumu wenzetu kumbe na washauri wa mkuu wetu nao wana matatizo yao.
Ushauri kwa wanadiplomasia wetu ukianza na Mgombea urais mtarajiwa Bernard Membe;
1. Si kila mnayeongea naye mmpe kila kitu mwisho wa siku wanapeleka kwa majirani mlichowaeleza.
2. Maneno au hotuba zenu zizingatie vigezo vizuri tusikwaruzane na majirani bila sababu. Sisi tuendelee kuwa mfano.
3. Nchi za magharibi sawa na za mashariki zinatamani mali mungu aliyotujalia. Tusibweteke tukadhani wanatupenda na kuwaeleza hata udhaifu wetu. Hawatupendi ila wanapenda tulivyonavyo.
Mungu ibariki Tanzania na asanteni kwa kusoma na kuelewa.
 
Kikwete amesababisha Tanzania iwe na ugomvi na jirani zake Malawi na Rwanda.

Kwa mara ya kwanza tumekuwa na maadui dhidi ya jirani zetu.

Tatizo lako unalala sana hujui kinachoendelea, wewe kupiga kelele hapa JF unajiona mjanja sana wakati kuna wanaume hawalali ili wewe upate usingizi mnono wewe na familia yako, kuwa na heshima kidogo na watu wanaofanya kazi ambazo wewe unaziona za kijinga..
 
we ndo mjinga wa kwanza tena ungekuwa karibu ningekupiga makofi. wewe mwanaume kweli?? kosa la kikwete lipo wapi?? lazima tulinde interest za nchi hii sio za mama yako.

nenda kachukue mgawo ikulu sasa............. maana hiyo kwenye red inalipiwa bei ghali na serikali yako
 
Sasa wewe, hivi
ugomvi wa Kikwete uko wapi hapo? Yeye anatetea maslai ya nchi ya Tz,
kwahiyo hawezi kuka kimya! Kwako we ni bora ziwa liende Malawi
sio?


unajitoa ufahamu jamaa analinda maslahi yake na ccm si ya wa TZ amka wewe
 
Mkuu Mungi
kuna mambo huwa nakubaliana na wewe hasa kuhusu ukombozi wa nchi yetu hasa kwa masuala ya ndani "siasa mbaya za ndani" kwa suala la ushauri wa Kikwete kwa PK sijaona kosa la Kikwete kama rais na jirani wa Rwanda kuwa akipata na waasi amani itapatikana na sie kwa upande wetu tutatulia kama nchi! je hauoni madhara tunayopata baada ya PK kuwa madarakani - wakimbizi, ujambazi. Hivi mbona haulizi imekuwaje SA, Malawi na nchi zingine zimepeleka majeshi huko? Mbona wanajeshi wetu wengine wapo Sudan,Lebanon na Siela Leon hatuhoji? sidhani kama PK/Rwanda ina mgogoro na sisi kwa sababu ya majeshi yetu kuwa DRC isipokuwa PK hakupendezwa na ushauri wa Kikwete kuwa aketi chini na waasi wakubaliane na wenzake, hapo kosa li wapi?
Ni sawa... kwa hili la Malawi naweza kubaliana na point yako so far uadui ni kwa ajili ya kulinda maslahi ya Taifa.
Lakini kulikuwa na ulazima gani kwa Kikwete kuwa na uadui na Kagame?
Kulikuwa na ulazima gani kwa Kikwete kuwapeleka wanajeshi wetu kwenda kuwapiga wakongo wanaopigana na wakongo?
Mediation ya mtutu wa bunduki sijaufahamu. Imagine yule anayempiga akifika mahali akawa rais wa Kongo unadhani nini kitatokea?
Kikwete amekuwa na maadui wengi ndani ya nchi, mmojawapo waalimu, ndiyo maana waalimu wakatuhukumu collectively kwa upuuzi wa mkuu wa nchi. division 0 kama sala...............
 
Kikwete amesababisha Tanzania iwe na ugomvi na jirani zake Malawi na Rwanda.

Kwa mara ya kwanza tumekuwa na maadui dhidi ya jirani zetu.


Acha woga! Hii vita imekuwa inaahirishwa kwa miaka mingi sana, inabidi tu itokee ili tuheshimiane! Hakuna njia nyingine ni kumpiga tu huyu banda na yeyote atakaye fanya kama huyu!
Big-up Kikwete, u've 100% support!
 
Pheeeew! At least Kagame can have a couple of days sleep without hearing tanzanians whinning. When more than one man says you have a problem then probably you do. Huku mnagombana na Malawi, huku mnagombana na Rwanda, huku Wakenya mara Wazanzibari...c'mon i mean doe it mean all these countries ndio wakorofi? You need to check yourself before you break yourself.

Sema upendavyo Tz tutabaki wamoja na kamwe hatutateteleka kwa lolote lile !!
 
Sitaki kuamini kuwa tupo kivyetu vyetu, ina maana kikiwaka sasa rafiki yetu anaweza kuwa Comoro, ila bado nashukuru kuwa Mtanzania kwa kila kitu, tunawezaje kujiokoa hapa?
Majina ya matusi na maneno mabaya hayasaidii. Iddi Amin alimtukana Mwalimu na alipigwa vizuri tu!
Tanzania itaendelea kuwa Tanzania na majirani hawatahama au sisi kuhama.
Tunahitaji kujipanga na kuona jinsi ya kutatua changamoto tulizonazo. Rais wetu aendelee kuwa na diplomasia na sijaona kama alitoa tusi kwa nchi yoyote ile bali alitoa hotuba ambayo kiongozi yeyote anaweza kuitoa siku ya mashujaa.
Kuhusu mahusiano na majirani, kwa kipindi hiki, naona tumekuwa na wakati mgumu. Ukiacha Malawi na Rwanda, hata nchi nyingine kama Uganda maelewano si mazuri. Ingawa JK anajaribu kujisogeza karibu ili asiwe na maadui wawili (Ug and Rw).
Ukizungumza na wachambuzi wa kisiasa na diplomasia, hata majirani zetu wengine Burundi, Kenya, Mozambique, na Zambia mambo siyo mazuri kama zamani. Hili nalo linatakiwa kufanyiwa kazi. Tunaweza kulaumu wenzetu kumbe na washauri wa mkuu wetu nao wana matatizo yao.
Ushauri kwa wanadiplomasia wetu ukianza na Mgombea urais mtarajiwa Bernard Membe;
1. Si kila mnayeongea naye mmpe kila kitu mwisho wa siku wanapeleka kwa majirani mlichowaeleza.
2. Maneno au hotuba zenu zizingatie vigezo vizuri tusikwaruzane na majirani bila sababu. Sisi tuendelee kuwa mfano.
3. Nchi za magharibi sawa na za mashariki zinatamani mali mungu aliyotujalia. Tusibweteke tukadhani wanatupenda na kuwaeleza hata udhaifu wetu. Hawatupendi ila wanapenda tulivyonavyo.
Mungu ibariki Tanzania na asanteni kwa kusoma na kuelewa.
 
Naomba makamanda na wanajeshi wa Jeshi la Wananchi kufikiria tena kama Chama Tawala kina mipango madhubuti ya kuimarisha Jashi letu na hivyo kuimarisha usalama wa Taifa letu?Nawaomba makamanda na wanajeshi CHADEMA wana mipango mizuri ya kuliboresha Jeshi letu na hata kurudisha heshima iliyopotea kwasababu ya Chama Tawala kuingiza siasa katika mambo ya kiutendaji ya Jeshi letu.Imefikia wakati Jeshi letu linadharaulika na Watanzania kwasababu ya kutumika kisiasa na Wanasiasa kwa manufaa yao binafsi.Sasa tumefikia hatua ya kudharaulika na hata majirani zetu.Tunawaomba Jeshi CHADEMA ndio Chama pekee kilichopata baraka za Mwalimu Nyerere kwamba siku moja kitakuja kuwa Chama chenye nguvu sana kisiasa,CHADEMA hakiishii tu kuwa Chama chenye nguvu kisiasa bali kimekuwa Chama kilichokuwa tayari kuongoza Nchi,Labda Marehemu Nyerere aliogopa kuyamalizia hayo maneno na utabiri wake kwasababu ya mapenzi yake kwa Chama alichokiasisi.Ukweli Makamanda na Wanajeshi ni kwamba Nyerere alivutiwa na mitizamo ya kiUzalendo ya CDM.
 
Sijawahi kuwa mwanajeshi, ila kwa kuangalia gwaride zao wakati wa sherehe za uhuru na Muungano, natamani ningekuwa mwanajeshi,naipenda nchi yangu na bendera ya nchi yangu, sipendi nchi yangu itukanwe sina namna, hivi utaratibu wa kujiunga jeshi upoje? am ready kuliko kuwa mkimbizi...let's go, go tz go, sisi ni wamoja
Acha woga! Hii vita imekuwa inaahirishwa kwa miaka mingi sana, inabidi tu itokee ili tuheshimiane! Hakuna njia nyingine ni kumpiga tu huyu banda na yeyote atakaye fanya kama huyu!
Big-up Kikwete, u've 100% support!
 
Kikwete janga la taifa...amesababisha majanga mengi sana.

Mnaom beza Kikwete na Tanzania mmeshaambiwa chokozeni muone! Mbona mnaongelea jikoni tu juku mkikata vitunguu. Utotoni tukigombana mi nilikuwa nachora mstari chini kisha namwambia mwenye maneno mengi vuka uone. Ndicho Kikwete alichowaambia wenye maneno maneno mengi!
 
uwanja wa vita uwe wapi wadau? Ili raia waanze kupisha uwanja. Au tuwajengee makazi kama Mabwepande. Tunahitaji confirmation ya baraza la usalama la umoja wa mataifa kabla ya kuzichapa au wakwanza kupiga ndiye mjanja ili wasije kutuanza. Wasiwasi wangu vita hii itachukua muda gani maana tunauchaguzi 2015 na jamaa wanatengeneza mitandao ya kwenda magogoni wakati kuna situation hapa.
 
Pheeeew! At least
Kagame can have a couple of days sleep without hearing tanzanians
whinning. When more than one man says you have a problem then probably
you do. Huku mnagombana na Malawi, huku mnagombana na Rwanda, huku
Wakenya mara Wazanzibari...c'mon i mean doe it mean all these countries
ndio wakorofi? You need to check yourself before you break
yourself.

ficha ujinga wako mbele za watu.kwahiyo ulitaka kikwete atangaze kua mipaka iko wazi kila mtu aingie anavyotaka?we chizi nini?
 
Wewe na hao waliolike na wengine wote WENYE UPEO WENU ni HAMNAZO... TOTAL ZERO ...YOU ARE COWARDS...CLOSE TO BECOME TRAITORS

Tanzania took peaceful step to accept foolish discussion suggested by Malawi claiming Lake Nyasa as theirs 100%...If I was in power JWTZ would be making patrols heavily and any sign of crossing our borders would have been met with heavy hand....

Cost of Patrols will be catered by Malawi in one way or another....yes I am that bloody thirsty, our borders are non negotiable

President JK has been mvumilivu kupita kiasi....Malawi should be thankful my likes are not in power yet
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom