ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,370
- 3,007
Hapa ndio napochoka kabisa,hivi kwa nini jeshi lisipewe budget ya kutosha kuliboresha...Siasa nyingi sana,na ufisadi pia mwisho wa siku hadi malawi anatutisha!!!
Hapa ndio napochoka kabisa,hivi kwa nini jeshi lisipewe budget ya kutosha kuliboresha...Siasa nyingi sana,na ufisadi pia mwisho wa siku hadi malawi anatutisha!!!
Hawa jamaa kiukweli wamejitayarisha na tutapigwa...Kwanini??? compare and contrast on CIA figures
Tanzania Military expenditure
Military expenditures:
0.2% of GDP (2005 est.)
country comparison to the world: 169
[see also: Military expenditures country ranks ]
Malawi Military Expenditure
Military expenditures:
1.3% of GDP (2006)
country comparison to the world: 112
[see also: Military expenditures country ranks ]
To.me I think it is high time Malawi is beaten once and for all and make them behave and respect neighbours. Surely Malawi is a neighbour from hell. What is wrong with their woman president? She should be advised to.deal with her opposers and leave us alone. Currently we have enough on our plate.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Ni sawa... kwa hili la Malawi naweza kubaliana na point yako so far uadui ni kwa ajili ya kulinda maslahi ya Taifa.
Lakini kulikuwa na ulazima gani kwa Kikwete kuwa na uadui na Kagame?
Kulikuwa na ulazima gani kwa Kikwete kuwapeleka wanajeshi wetu kwenda kuwapiga wakongo wanaopigana na wakongo?
Mediation ya mtutu wa bunduki sijaufahamu. Imagine yule anayempiga akifika mahali akawa rais wa Kongo unadhani nini kitatokea?
Kikwete amekuwa na maadui wengi ndani ya nchi, mmojawapo waalimu, ndiyo maana waalimu wakatuhukumu collectively kwa upuuzi wa mkuu wa nchi. division 0 kama sala...............
Kama vp bunge lipitishe bonge la budget kuimarisha jeshi kama Kenya naona uko tuendako tanzania itakuwa na maadui kama israeli
Kikwete amesababisha Tanzania iwe na ugomvi na jirani zake Malawi na Rwanda.
Kwa mara ya kwanza tumekuwa na maadui dhidi ya jirani zetu.
Wazungu hugombanisha ng'ombe(bulls)kwa ajili ya burudani.Wauza silaha ni hao hao wazungu,sitashangaa wakitugombanisha ili wauze silaha(si wameona gesi!)Kama akili yetu itazidi kidogo tu ya wale ma bulls,naamini hatutapigana lakini zikilingana basi itakuwa ubabe ubabe tu wa kishenzi usio na maslahi kwa nchi hata kidogo isipokuwa kwa kundi dogo litakalokuwa likivishuhudia vita hivi kupitia Runinga wakifaidi pesa zetu huko ulaya!Nitakuwa wa mwisho kuunga mkono huu upuuzi unaochochewa na vyombo vya habariI am 100 percent supporting president kikwete on use of fire for aggressors like malawi. tanzanians let us be united on this and people alike
Kwa teknolojia gani waliyonayo hadi watupige?
Usidanganyike na hizo written figure mkuu, ukweli ni kwamba Rwanda hawatuwezi kwa kila nyanja kivita achilia mbali udogo wao na uchache ambao ni advantage kwetu kulingana na teknolojia zetu za kizamani
Hivi mkuu ikitokea malawi wanachukua ziwa lote kwa nguvu unafikiri tz ifanye nini?Wewe hutakuwa unaishi Tanzania!Unataka watanzania wapigane na majirani ukishuhudia kwenye runinga yako?vita unavyotaka tupigane ni vita vya kishenzi visivyo na maslahi kwa nchi!Na nina shaka sana na madalali wa silaha huenda wameshaona gesi ya kulipia silaha ipo ndo wanataka kuchochea vita!God forbid!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Ni sawa... kwa hili la Malawi naweza kubaliana na point yako so far uadui ni kwa ajili ya kulinda maslahi ya Taifa.
Lakini kulikuwa na ulazima gani kwa Kikwete kuwa na uadui na Kagame?
Kulikuwa na ulazima gani kwa Kikwete kuwapeleka wanajeshi wetu kwenda kuwapiga wakongo wanaopigana na wakongo?
Mediation ya mtutu wa bunduki sijaufahamu. Imagine yule anayempiga akifika mahali akawa rais wa Kongo unadhani nini kitatokea?
Kikwete amekuwa na maadui wengi ndani ya nchi, mmojawapo waalimu, ndiyo maana waalimu wakatuhukumu collectively kwa upuuzi wa mkuu wa nchi. division 0 kama sala...............
Hawa jamaa kiukweli wamejitayarisha na tutapigwa...Kwanini??? compare and contrast on CIA figures
Tuta mpiga Joyce Banda na underware yake tuta iweka kwenye makumbusho ya taifa