Malawi paper calls Kikwete a 'Bloodthirsty Leader'

Malawi paper calls Kikwete a 'Bloodthirsty Leader'

Status
Not open for further replies.
Wewe na hao waliolike na wengine wote WENYE UPEO WENU ni HAMNAZO... TOTAL ZERO ...YOU ARE COWARDS...CLOSE TO BECOME TRAITORS

Tanzania took peaceful step to accept foolish discussion suggested by Malawi claiming Lake Nyasa as theirs 100%...If I was in power JWTZ would be making patrols heavily and any sign of crossing our borders would have been met with heavy hand....

Cost of Patrols will be catered by Malawi in one way or another....yes I am that bloody thirsty, our borders are non negotiable

President JK has been mvumilivu kupita kiasi....Malawi should be thankful my likes are not in power yet

Yeah, that is the spirit! Ukicheka na nyani utavuna mabua! Umchekee mtu anataka kuimega nchi yako! Tena....we ngoja tu!
 
Kama wadau mmekuwa wafuatiliaji wa vyombo vya Malawi ni wachokozi kuliko kawaida. Raia wa kawaida, wanavyuo, wahadhiri, na hata wahubiri wamezidi kutoa kauli chafu na ya matusi kwa Tanzania, k.m warafi, wachoyo, madictator n.k. Watanzania tusi laumu Lugha ya kawaida ya ya Matumaini aliyo itoa Rais Kikwete. Tumwunge mkono maana wanatuchokoza wakijua tumevunjika vunjika vipande. Vipi Banda alipotangaza nayeye kuwa mazungumzo yatakuwepo lakini si ya kutoa hata chembe ya sehemu ya ziwa! Mazungumzo gani sasa. Tanzania viva, wakituchezea tuwachape!
Hakuna kitu kama hicho. Hatuwezi kuunga mkono 'upumbavu' unaofanywa. Akabiliane na muziki huo, si-aliutaka mwenyewe na kuchekacheka kama mwanamke. Yeye anadhani kwenda ulaya au marekani ndiyo atapata msaada 'subutu yake'. sasa subili aone, kaskazini magharibi 'Kagame' hit him, na kusini magharibi 'Banda' drag him out. Hakuna kuunga mkono ujinga ujinga tu!
 
Sisi tuliruhusu jeshi likachezewa kwa kuingizwa kwenye biashara ya kifisadi ya power tiller na migodi ya meremeta. Hapo, ndo tulipopotoka, matokeo yake jeshi letu pia limekuwa dhaifu kama ilivyo serikali. Si ajabu wanajeshi wetu hawajawi kufa kwenye operation za nje baada ya vita vya kagera kama wanavyokufa kipindi hiki.

Hizo power taller etc walikua wanazizengea wakubwa, hawa wachapakazi wapo imara mtindo mmoja! Tangu chokochoko zianze kuna mambo lukuki yamekwisha brushiwa. Na askari wetu wana uzoefu wa mechi za kimataifa, we hujui wanacheza mpira wa kulipwa (ala siyo mpira, UN peace keeper)!
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Africa!
 
Kwa vile malawi ni cowards wanaweza wasi challenge rants zako hapa.Malawi wenyewe wana Give in kirahisi na hivyo uwezekano wa vita si mkubwa,ila wakianzisha kaskazini kuzunguka hadi magharibi,nao watapiga ngumi za uoga.Subiri usikie Ziara ya Uhuru itakuwa wapi tena.Ila wangekuwa wanaume,kweli kwa jinsi watanzania mnavyopenda jidai ktk ujinga,wangeyaoga maji.
Nani kakuambia kuwa Malawi ni waoga. Usipime kina cha bahari kwa mguu. Tatizo lenu na raisi wenu mnafikiri Malawi na Rwanda ni kama Uganda ya mwaka 1978 wakati wa Amin. Nyakati zilisha badilika. Kikwete na udhaifu wake ajichunge sana kuitumbukiza nchi kwenye vita ya pili.
 
Hakuna kitu kama hicho. Hatuwezi kuunga mkono 'upumbavu' unaofanywa. Akabiliane na muziki huo, si-aliutaka mwenyewe na kuchekacheka kama mwanamke. Yeye anadhani kwenda ulaya au marekani ndiyo atapata msaada 'subutu yake'. sasa subili aone, kaskazini magharibi 'Kagame' hit him, na kusini magharibi 'Banda' drag him out. Hakuna kuunga mkono ujinga ujinga tu!

Sasa ukitaka kujua Tz ni kijogoo wa Africa, na zaidi ya Israel wa middle East, wache waanze, tutawamaliza wote na kuongeza eneo la Tz! Mungu yupo nasi kwa hili, tumewahifadhi na kuwahudumia afu mnatuletea za kutuletea, Mungu hawezi kutuacha, yupo upande wetu! Malawi hao kwanza ni ma-apertheid sijui wanataka kutuambia nini!
 
Kweli hujakosea...hata ugonvi na vyama jirani.Vyama pinzani JK kasababisha.Serikali na raia....kw aujumla huku jamaa sijui hata km alikuwa waziri wa mamabo ya nje mzuri.Hakuna diplomasia ni poroje na hasira za kumlinda akishindwa toa kiitu ya maana.

Na bado, Museveni naye yuko mbioni kuungana na Rwanda. Maana Kikwete anatolea mfano eti 'tuliipiga Uganda'. mseveni halijamfurahisha neon hilo. kwa mantiki hiyo tutakuwa engaged kaskazini, magharibi na kusini. Halafu unakurupuka kuropoka eti 'jeshi liko imara' subutu. JK ni kilaza sijapata kuona.
 
Sasa ukitaka kujua Tz ni kijogoo wa Africa, na zaidi ya Israel wa middle East, wache waanze, tutawamaliza wote na kuongeza eneo la Tz! Mungu yupo nasi kwa hili, tumewahifadhi na kuwahudumia afu mnatuletea za kutuletea, Mungu hawezi kutuacha, yupo upande wetu! Malawi hao kwanza ni ma-apertheid sijui wanataka kutuambia nini!
Huyo Mungu ni wako peke yako siyo? Labda huyo Mungu ni wa Bagamoyo, aa huyo atakuwa nanyi. Nakutuma kamwambie mjomba JK asiianzishe wala kuthubutu kuleta vita ya pili. Amalize kwanza hii ya kwanza aliyo ianzisha ndani ya nchi. vinginevyo atavuna mabua. mwenye masikio na asikie!
 
Taratibu Malawi nao wanapa ujasiri kuwa wanaweza...CCM hii iliyotolewa ulimi na CDM hata bila silaha.CCM iliyotumia mabomu ya kivita na aya machozi,risasi etc ili kupigana na watu wanaoshangilia mambao yao.bado ikashindwa.Ndipo itapigana na malawi wenye uwezo wa kujieleza wakati CC inatukana.Wenye kusoma na kuzumia prncipal kuandaa mipango y akufany amamabo tofauti kabisa na yale yanafanana na walichosoma.KM watanzania wasiojua kuchanganya principles na fact za masomo husika kupata kitu tofuati cha kusolve problem mpya at hand.Ndio maana wanaweza kuja wageni kusoma chin ya wakufunzi wa kijeshi wa kitanzania.Ila ktk utendaji wakafanya makubwa sna kuliko watanzania.

Anyaway malawi ni corwards ila wakiamka watapiga ngumi ya uoga hadi tuanguke...JK abaki akilala ni CDM waliosababisha, sijui atasemaje tena kuhusu Taifa Stars.

Acha ujinga ww, kama ni mtz kweli lazima uwe +ve kwa Tz yako hasa ktk kipindi hiki ambapo wivu umewazidi sana majirani zetu, wamechoka kuvuta harufu ya pirau yetu, wanataka waje waipore! Toka usingizingi, nchi ipo vitani ebo!
 
Huyo Mungu ni wako peke yako siyo? Labda huyo Mungu ni wa Bagamoyo, aa huyo atakuwa nanyi. Nakutuma kamwambie mjomba JK asiianzishe wala kuthubutu kuleta vita ya pili. Amalize kwanza hii ya kwanza aliyo ianzisha ndani ya nchi. vinginevyo atavuna mabua. mwenye masikio na asikie!

Tunaweza kumudu zote do not worry! Wafikishie taarifa waliokutuma! Jeshi letu lipo imara sana kupita maelezo!
 
Sijuini mungu gani walie nae wao, ila Mungu wa kwetu atatuwezesha ktk jina la Yesu!
 
Sasa ukitaka kujua Tz ni kijogoo wa Africa, na zaidi ya Israel wa middle East, wache waanze, tutawamaliza wote na kuongeza eneo la Tz! Mungu yupo nasi kwa hili, tumewahifadhi na kuwahudumia afu mnatuletea za kutuletea, Mungu hawezi kutuacha, yupo upande wetu! Malawi hao kwanza ni ma-apertheid sijui wanataka kutuambia nini!
nijuavyo mimi Mungu hasaidii wasiojituma

kama tungekua serious basi tusingekua tunachekelea upuuzi unaoendelea sasa hivi ambao wauza unga, wala rushwa, na kila aina unayoijua wewe mbaya wamepiga camp ya kudumu nyumbani
 
jeshi letu kwasasa liko bize kubaka vikongwe huko Ntwara..
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1374977238.264428.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1374977238.264428.jpg
    48.1 KB · Views: 66
Sijuini mungu gani walie nae wao, ila Mungu wa kwetu atatuwezesha ktk jina la Yesu!

Mungu hawezi kuwa upande wawabakaji wanaoua wananchi wao...subirini kinuke ndiyo mtajua hasira za waliobakwa waliolipuliwa mobumu na smg za mwugulu nchemba..
 
Haya ndo majeshi yatakayopigana malawi na rwanda

ninecheka sana, ukakamavu wao uko kwa kuwa vua nguo watanzania tena bibi zetu na kuwaingizia madudu yao, waache waingie kichwa kichwa, au wanadhani hao ni tembo
 
Tunaweza kumudu zote do not worry! Wafikishie taarifa waliokutuma! Jeshi letu lipo imara sana kupita maelezo!

uimara kupambana na chadema? au na waasi wa comoro waliovamia ikulu kwa marungu kijana vita siyo kungoa waadishi wa habari meno..angalia umoja wananchi wako, uchumi sapoti kutoka mataifa jirani...
 
For this matter JK is not guilty hata kidogo,tena natamani hata sasa hivi tukachukue Nyasa yote,tanzania inanguvu na uwezo wa kijeshi hata ya kuikalia ziwa nyasa lote kama israel inavyokalia milima ya sinai,lakini ustaarabu ndo unatufanya tugawane nusu kwa nusu,so far hii habari imeandikwa tu na Gazeti ingekuwa ni msimamo wa kitaifa katangaza Banda angekuwa ameingilia masuala ya ndani ya Taifa letu(Hotuba) Angetangaziwa vita ,tungemuonyesha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Tatizo lako unalala sana hujui kinachoendelea, wewe kupiga kelele hapa JF unajiona mjanja sana wakati kuna wanaume hawalali ili wewe upate usingizi mnono wewe na familia yako, kuwa na heshima kidogo na watu wanaofanya kazi ambazo wewe unaziona za kijinga..

kama tunazungumzia vita tunahaja gani ya kuomba SADC washughulikie hlo swala? au tulikuwa na haja gani kwenda UN? tafakari acha kubwbwja...nchi yetu kwanza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom