Malaria Haikubaliki

Malaria Haikubaliki

anzia THT na clouds mkuu, wamelamba pesa za kutosha tu
 
na kweli, hapa malaria itatuskia nyavuniii!
attachment.php
 

Attachments

  • IMG_3875.JPG
    IMG_3875.JPG
    1.5 MB · Views: 110
mh!!! mheshimiwa kwa staili hii? Photo-0219.jpg Photo-0219.jpg kwa kuweka net za mbu hadi viwanjani!!!??
 
Tujitahidi sana kuzuia mazalia ya mbu.
 
CCM haikubaliki, tushirikiane kuitokomeza...

Anne Makinda hakubaliki, tushirikiane kumtokomeza...

Jaji Werema hakubaliki, tushirikiane kumtokomeza...

Selina Kombani hakubaliki, tushirikiane kumtokomeza...

Pindi chana hakubaliki, tushirikiane kumtokomeza...
 
sera ya tanzania sii elimination ya malaria bali kuituliza tuu malaria control programme
 
Tena ile Malaria iliyo Sugu ndio kabisaa isipewe nafasi yoyote ile ya kujitanua!!
Mods, katika kufanikisha hili popote uonapo chochote kutoka kwa Malaria Sugu piga BAN tu!!!!
 
Tena ile Malaria iliyo Sugu ndio kabisaa isipewe nafasi yoyote ile ya kujitanua!!
Mods, katika kufanikisha hili popote uonapo chochote kutoka kwa Malaria Sugu piga BAN tu!!!!

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Na hizi net za THT.........!!!! Kwani sitaki watoto, mimi rijalio.nukta
 
Na hizi net za THT.........!!!! Kwani sitaki watoto, mimi rijali.nukta
 
Back
Top Bottom