tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,318
Waathirika wa madawa ya kulevya aina ya Heroin walioamua kuacha na kuingia Katika tiba mbadala ya Methadone Katika hospitali za Mwananyamala, Temeke na Muhimbili wamekuwa wakilalamika kuhusu dawa hiyo ya methadone kuwa nguvu yake imepungua sana kwa wiki moja au mbili Sasa kiasi cha kufanya kukosa usingizi na wengine kuingia ktk uhatatishi wa kutumia vitu kama pombe ili kufidia gap hilo na wengine kurudi kabisa vijiwenu kutafuta unga kabisa kutoka na kujisikia vibaya kabisa kwa upungufu wa methadone mwilini.
Na Kuna wengine wanadai hata kuongezewa dose za kila siku ili kufikia kiwango ambacho hawezi tena kukosa usingizi au kwa ujumla zile withdrawal signs symptoms.
Bado hawajaelewa kimetokea nini Katika dawa hiyo ambayo wamekuwa wakiitumia vizuri tu toka ilipoanzishwa kwa mara ya kwanza nchini ktk hospital ya Muhimbili
Kwasababu ile ladha yake imebadilika na madaktari wamekuwa wakiwasihi wasijekutumia vilevi vingine ni hatari kwa Afya zao.
Labda wajuzi wa methadone wanaweza kuwa na majibu yoyote Katika hilo.
Kumbuka Janga la madawa ya kulevya kubwa sana na linazidi kuangamiza nguvu kazi ya Taifa.