Malalamiko ya bar ya Bambalaga, Dodoma

Keshatajirika huyu naona hapo leo anatoka dubai kula bataView attachment 2054539
Biashara zile mzee hua wanachezesha tu Asset Vs Liability...ila kiukweli net asset hua ni ndogo au -ve kabisa. Ila kwakua biashara inaendelea hakosi yela ya kula ila leo akidaiwa paaap usishangae akajiua au akapata uchizi. Bar ni utajiri kichaa asikwambie mtu
 
Sure..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahahs
 
Muwe mnaenda chako ni chako chimbo kongwe sana na pametulia japo mara chache vurugu hazikosekani, unapiga vyombo na mziki laini pembeni kuku choma ukichoka unajichagulia mtoto unaehitaji unaondoka nae bila tatizo, hakuna kubaguliwa wala Nini.
Pale nliendaga nliienjoy sana,daah tuombe uzima ntarudi one day,Ila wabongo wanajua kutumia
 
Mtei sio mtu wa mchezo mchezo
 
Unayoyasema ni ya kweli ila Mtei kwenye hii biashara amei-win sana Dodoma na anafanya vitu vingine vikubwa.

Wakija washindani ambao sio washikaji zake labda watamuweza ila kwa sasa bado sana, hana wahudumu wakali kama clubs zingine wana uniformity mbayaa ila kizizi chake sijui cha wapi.
Hata Dj's wake hajatoa Dar wametoka kanda ya kati hapahapa
 
Aisee hawa jamaa ni wapuuzi, nakumbuka tulienda pale na mshikaji wangu akiwa kavaa kofia wakamzuia et ni muhuni, niliwaangalia sikuwamaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…