Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,238
- 18,414
Kuna vipub ukienda asubuhi wanakataa kukuuzia bia eti muda bado!!Kiukweli Dodoma kwetu hapa customer care ni mbovu mnoo sio huko bar, lounge, Hotel, cafe kote huduma ni mbovu..
Kama hapo bambalanga mameneja ndani wanakuforce ununue vinywaji vingi wakati nachagua ninywe kiasi gani..
Kuna siku nilikuwa sehemu moja hapa nikaagiza msosi dakika 40 ndio wakaleta na wakati wanadai wana fast food..!
Waiters wenyewe wamekariri matajiri fulani ndio wanahudumia vizuri. Ukiwa wewe hakujui anakupita kama hakuoni..
Mimi huwa nawanyandua tu ndio utapata service vizuri,
Halafu wanachagua sana watu wa kuwahudumia, kama hawakujui wanakupotezea, ndo maana nikiingia bar za Dom nakaa kaunta tuDawa ndo hiyo kuwa kauzu, huduma wakupe mbovu na bado uwaachie tip hata ya 200 ..! Itakuwa ujinga dai..
Hao wanataka faida ya haraka. Mfano wanapoingiza madada poa wao ndani ili tununue, sasa mmeo akija na wewe atanunuaje? Si wanapata hasara?
Pia akiwa na wewe atapunguza matumizi tofauti na akienda mwenyewe atawanunulia wale Dada poa mpka basi..
Lakini hivi wanavyofanya sio powa Mimi nilijua pale capital watakuwa na huduma nzuri kumbe..
Aseeeh Njerees' Bistro ishakufa?! Palikua pazuri sana pale,...nini shida?!Huyo mmiliki amuulize Pikinini mwenye Njeree'z Bistro iliyopo Leganga-Arusha. Imekuwa gofu kwa sababu ya pigo kama hizo.
Dj's wao wabovu sana, watafute dj's hata dar
kwa hiyo watu wa fupi hawaruhusiwi Kuingia hiyo Bar?Nafikiri lengo lake ni kupata wateja hadhi ya wabunge wakurungenzi walioko dodoma.
Sema ni tabia mbovu bora ata waweke entrance ata ya laki 1 au 50 elfu.
Nakumbuka siku moja niko na jamaa yangu mfupi huyo tume toka kuuza dhahabu sehemu. Tuna jiwe la kutosha kufika pale si mlinzi anamzuia jamaa. Jamaa alitema shit afu akachomoa vibunda 3 huku anatema shiti tuu
Bora twende huku tuKanisai au msikitini usingezuiliwa.
Pale kwa mandason,biashara imeshakufa pale mana hana ubunifu halafu wafanyakazi hawalipiIce Age club kwa jamaa wanamwita Rainford
Juzi nilikuwa natembea tembea mjini mara nikajikuta maeneo ya picnic nikasema ngoja nijikumbushie ujana wangu nikaingia bana, Dah wale madada sio, wale itakuwa kwa siku wanaingiza laki, maana sio kwa maumbo yale. Wengine hadi kutembea hawaweziPale kwa mandason,biashara imeshakufa pale mana hana ubunifu halafu wafanyakazi hawalipi
Pale ni noma mimi nkiwa mjini chakula cha mchana nakula hapo wanajua kupika...hao wadada wako kibiashara vijana ndio humalizia pesa hapo hasa wa utaliiJuzi nilikuwa natembea tembea mjini mara nikajikuta maeneo ya picnic nikasema ngoja nijikumbushie ujana wangu nikaingia bana, Dah wale madada sio, wale itakuwa kwa siku wanaingiza laki, maana sio kwa maumbo yale. Wengine hadi kutembea hawawezi
Menyu yao iko bomba sana, pale ukimaliza kula msosi unakula na mtu.Pale ni noma mimi nkiwa mjini chakula cha mchana nakula hapo wanajua kupika...hao wadada wako kibiashara vijana ndio humalizia pesa hapo hasa wa utalii
Yaas dear nipo km 6 months now kuna project imenileta huku nafikir mwakani February ntarudi DARKumbe uko Dom?
Thank you...mnitoe out jamani nilivo mvivu hapa nimelala tuu!!!since morningOkey karibu sana Idodomyaaa
Picnic wacha kabisa nikiwa ziarani hapo ndipo huwa nashindia huku nafurahia uumbaji wa Mungu wale wahudumu na zile nguo zao wacha kabisa nakumbuka siku moja nilikuwa mbwii nikachukua goma moja hapo asikuambie mtu kama siku ile sikupata UKIMWI basi ndio sipati tena nilisugua ile kitu kuja kushtuka Ring ndio imebaki katika mashine 😆😆Pale ni noma mimi nkiwa mjini chakula cha mchana nakula hapo wanajua kupika...hao wadada wako kibiashara vijana ndio humalizia pesa hapo hasa wa utalii