tafakari kali
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 211
- 39
Tarehe 27/11/2014 niliweka vocha ya sh 3500 kwenye simu na kisha kujiunga na kifurushi cha wiki cha 3500 lakini paka leo hawajanipa huduma hiyo nimewapigia mara 2 wakiniambia subiri kidogo wanakata simu baada ya hapo napiga simu nasubiliwa kuunganishwa kwa muda wa dk 19 na sek 38 na bila kuunganishwa.
Nawashahuri wadau kuweni makin na mtandao huu. Ila hii pesa lazima warudishe hata kama itanigharimu zaidi.
Nawashahuri wadau kuweni makin na mtandao huu. Ila hii pesa lazima warudishe hata kama itanigharimu zaidi.