Malalamiko: Tigo Tanzania

Sijajua TCRA wanasubiri watu waende ofisini kwao wapeleke karatasi ndio wajue kuwa ni malalamiko?
hawa watu wanaolalamika hapa wanaweza kuwa contacted na kusaidia uchunguzi ili kujua mbivu na mbichi

Maskini Tanzania …
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom