Malalamiko juu ya king’amuzi cha continental

Malalamiko juu ya king’amuzi cha continental

Startimes 99,000/ (decoder, antenna na cable. ) kina chaneli za bure baada ya kifurushi kuisha.
Startimes 150,000/ (decoder, dish na cable. ) kina chaneli za bure baada ya kifurushi kuisha.
Startimes 106,000/ (decoder, dish na cable. ) kina chaneli za bure baada ya kifurushi kuisha.
 
Naungana na mleta uzi ni kweli continental hawapo hewani na kumbuka kile kinachoendelea kule Sahara Media ni majanga. Wameshindwa kuwajali walaji ni muda sasa hawatoi taarifa kuna nini na ni lini watarejesha channels hewani tupo gizani.
Kwangu mmi kuwa na kingamuzi hiki hakujanipa tabu maana continental wako tofauti na wengine, kimuundo hakijabanwa kama vilivyo vingamuzi vingine, napata channels nyingine nje ya channel za malipo, CNN,bbc,aljazeera napata na mbc 2 na nyingine nyingi tu na pia nakitumia kama flash reader kusikilizia music basi.
Kila kama wee ni mpenda soka mambo yote ni dstv tu hapo ndio mwisho wa habari, dstv hakuna longolongo wao kama kuna tatizo unapata notification hakuna kubahatisha wako vzri kuliko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtumishi mimi napenda sana kwaya hasa channel ya religion ndio ilinipelekea kununua hiki king’amuzi
 
images (1).png
Continental decodar usijaribu wala hata kuuliza bei yake hata kama ukipewa bure usijaribu kabisa
Kwanza,chanel zao kila mda zinakata na zinaweza kata siku mbili
Pili ukilipia unamaliza hata wiki ndo unapata channel
Tatu namba yao ya huduma kwa wateja yaani haipokelewi hata ukipiga wiki hutapokelewa ila inaita tu
Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana wataalifu na ndugu zako wasije nunua huu upuuzi mm nafikilia cha kwangu jniwape watoto watakachokifanya kitafaa kwa hiyo kopo
 
Hahaha hawa jamaa wamesha feli, wana ofisi yao fulani kwenye ile mall maarufu kule Mwanza yani ilisha telekezwa muda mrefu.
 
"Rudini kwenye satellite receiver kama zamani. Achaneni na hivi ving'amuzi. Tafuta Mediacom, Strong, Tiger, Freesat, HomeTech ule machanel kibao including local channels ndani ya dish kubwa"
 
Kwakweli Hivi Ving’amuzi ni pasua kichwa sana
 
Back
Top Bottom