Malalamiko juu ya king’amuzi cha continental

Malalamiko juu ya king’amuzi cha continental

Hili likifaaa aroo linasumbua , sijui ni king’amuzi kipi kifaacho
 
Kumbe hivi ving’amuzi vinadaiwa
Continental na Ting
 
Hahaha labda wamezimiwa na TCRA hawalipii ada stahiki. Ule mtambo unaweza kuzima hata JF mwaka mzima
 
Nikafahamu kua unazoefu nacho

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sikushauri Mkuu.
Nimewahi kukitumia kinasumbua sana.
Unaweza ukashangaa kimekata hata wiki au zaidi na umelipia.
Unaweza kukaa unaangali mara ghafla kimekata mpaka kesho yake au masaa kadhaa huko baadae.
In short kama una hasira unaweza kukivunja.
Labda kama wamebadilika na sidhani mana kampuni yenyewe inapumulia mashine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mi natumia dstv lkn local channel hakuna huku,il wanasema star times ndo local channels zipo.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kweli StarTimes ina Local Channels lakini binafsi sina furaha nacho na ninataka kununua king'amuzi kingine ila sijajua ni kipi sasa, maana naona vyote vina matatizo japokuwa yapishana pishana kati ya kimoja na kingine
 
Back
Top Bottom