Malaika walitoa wapi panga huko Mbinguni?

Hivi ilikuwaje malaika wakawa na majina yaliyotengenezwa na watu wakati wao waliumbwa kabla ya binadamu
 
mambo ya kishoga yamekuchanganya ubongo wako mzee
 

Usishangae sana.

Ndio maana kuna mtu hapa JF anaanzisha dini yake alafu anahusisha Technology na falsafa.

Ni sawa sawa na hao mitume wa zaman kwa zama zao.

Wao kwa zama zile walioona kuwa Panga ndio silaha kubwa zaid na farasi ndio usafiri wa haraka zaidi.

Is God created Man au ni Binadamu tu anajiamulia kujitungia kuwa kuna Mungu?.
 
Mkuu huu uzi umepost au umejipost wenyewe?
Kwa nini Muhammad mbinguni kila kitu alikuwa anaona dhahabu, lulu na nguo za hariri tu ? Kwa nini alikuwa haoni Almasi, Tanzanite, nguo za pamba au otus silk?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…