love more than100
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 2,061
- 715
Kwanza umeona wavitu wamebeba mikononi, ndio vitu wanataka sio vibamiaUbalozi wao upo mtaa upi hapa Bongo?
Tuliza kumbwaya kwani ile safari ya Eritria iliyotangazwa hivi karibuni ulienda au fujo tu?Ubalozi wao upo mtaa upi hapa Bongo?
Ahh! Jamani hii dunia ina vitu, hivi ukiishi huko utaamka kweli? Kila wakti aje yule, akitoka yule kaingia huyu. Watoto laiiiini kama halua. Ni raha tu!
Mzee usiombe wengine tuwapo shughulini!wewe una nguvu gani kwa yote hayo?
Mzee usiombe wengine tuwapo shughulini!
Ahhhah kuna walio Malaya wa kimyakimya kuliko hawa!Mbona mnawapendelea sema taifa lenye watu malaya kuliko wote duniani