Makutano ya kiroho

Makutano ya kiroho

Mimi nimeandika kinachotokea automatically kiroho ila wachawi ni sehemu ya kutengeneza yani wanakuwa na utashi na utayari kufanya hivyo

Jr
.
Hizi ndoto ni hiari ya mtu ama ni kulazimishwa?
Nauliza hivi maana kila mtu anapenda yaliyo mema na hakuna anaetaka ubaya umpate. Sasa inakua je akutanishwe na ubaya katika ulimwengu wa roho bila hiari yake? Na lawama atabeba nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoto si kitu cha hiari, hakuna mwenye hiari juu ya ndoto ama roho, ni kama tu kwenye ulimwengu wa mwili hakuna mwenye kupenda ajali ama mambo mabaya lakini yanatupata bila hiari yetu

Jr
 
boss hayo makutano ya kiroho kwenye meditation ndo kama alivyowahi toa maelezo mkuu Rakims ?
 
Niliambiwa pia ni muhimu kunywa maji kabla ya kulala, ukilala na Kiu roho hutoka kwenda kutafuta maji.
 
mkuu, tunasubiri hoja zako na wewe utuambie kuhusu hizi imani zilizozuka tz za kuegemea kwenye masula ya kiroho ili kutatua baadhi udhalili unaofanywa na wasiojulikana , je kwenye ndoto unawezaje kukutana nao.
 
Niliambiwa pia ni muhimu kunywa maji kabla ya kulala, ukilala na Kiu roho hutoka kwenda kutafuta maji.
Ha ha haaaa.. Kwa sisi wazee wa vilauli, ukilala bila kunywa ukilala roho itatoka kwenda kutafuta mvinyo?
 
Back
Top Bottom