Makutano Show: Alichokisema Mhe January Makamba

January Makamba ni jembe; uchukie au usichukie, jamaa ana uwezo mkubwa zaidi ya wabunge wetu wengi.

I hate watu wasio na vision kwenye maisha yao; Makamba hata akishindwa lakini anajua anataka nini. Endelea Makamba hasa huo upande wa Bumbuli.
 
Mimi majibu yake yalinikera, huyu dogo MAKAMBA ni msanii, mfano :jana wakati fina anatoa shukrani kwa JF kwa kutuma maswali yeye january alidai eti haijui jamii forum na hajawahi kuisikia akawa anauliza hivi , i quote "inaitwa jamii forum au JAMBO FORUM"
Huu ni usanii na uongo kujidai haijui Jf ,na binafsi alinikera.

Makamba hakusema haijui JF. Alisema hajaangalia siku .... hakumalizia, huenda alikuwa anataka kusema hajaangalia siku nyingi.

Watu wengi hasa walioanza kusoma JF toka zamani bado wanachanganya kati ya Jamiiforums na JamboForums. Kumbuka huko nyuma JF ilikuwa inaitwa JamboForums.
 
Pengine amesema haijui JF, akiwa na malengo maalum. Maana majuzi ulipowekwa uzi humu jamvini kuhusu mabilionea walioficha mapesa Uswisi, jina lake na la babaake Yusuph, yalikuwemo!! Pengine aliongea hivyo, kwa kuwa hulka wa binadamu,hupenda kusemwa kwa mazuri tu. Pengine ameamua kuihate, JF, baada ya kudisclose hiyo information!! Lakini nadhani atakuwa amepoteza fursa muhimu na adimu, maana angetumia nafasi hiyo kukanusha,habari hiyo,kama anaona siyo ya kweli!!
 
January Makamba ni jembe; uchukie au usichukie, jamaa ana uwezo mkubwa zaidi ya wabunge wetu wengi.

I hate watu wasio na vision kwenye maisha yao; Makamba hata akishindwa lakini anajua anataka nini. Endelea Makamba hasa huo upande wa Bumbuli.
Hii blog imeshehena pundits ... kwa hiyo kama utasema mtu fulani ni jembe, itabidi utoe data/vielelezo andishi other than that, utakuwa unampigia mbuzi gitaa.
 
Pengine amesema haijui JF, akiwa na malengo maalum. Maana majuzi ulipowekwa uzi humu jamvini kuhusu mabilionea walioficha mapesa Uswisi, jina lake na la babaake Yusuph, yalikuwemo!! Pengine aliongea hivyo, kwa kuwa hulka wa binadamu,hupenda kusemwa kwa mazuri tu. Pengine ameamua kuihate, JF, baada ya kudisclose hiyo information!! Lakini nadhani atakuwa amepoteza fursa muhimu na adimu, maana angetumia nafasi hiyo kukanusha,habari hiyo,kama anaona siyo ya kweli!!

Sad to say this but, kweli nchi imeoza na Mungu Aingilie kati if thi's true. Most of the times anaonekana ndie sie so kama ndie sie ni ndiye basi wakina ndio ni sio!
 
Makamba hakusema haijui JF. Alisema hajaangalia siku .... hakumalizia, huenda alikuwa anataka kusema hajaangalia siku nyingi.

Watu wengi hasa walioanza kusoma JF toka zamani bado wanachanganya kati ya Jamiiforums na JamboForums. Kumbuka huko nyuma JF ilikuwa inaitwa JamboForums.

Better he meant otherwise but, to say he didnt know JF? would be PATHETIC!, and I guess he's in here somewhere!
 
soon ataijua na kuinyenyekea JF pengine andhani blog yake imemshapick kihivyo.
 
smart as always Fina, January Makamba ni mbinafsi na nilijua atamtaja Zitto Kabwe ila alipoongeza Prof. Lipumba? Kwa lipi kwa Lipumba kudanganywa na akina Seif Shariff Hamad na Hemed Sharid kwa maslahi yao na yeye kuwa kama bendera inayofuata upepo, Zitto kwa kipi kwa kutangaza nia ili hali wenzake wanajenga chama?

Huko karatu alikuwa anajenga nyumba au chama?chuki binafsi hazina tija kwa taifa hili.
 
aisee CHADEMA wamepata mtu lol
chezeya talaka lol

:lol:...yaani tena nina hasira naweza kunywa hata lita ya wese...lol!, chezea talaka tatu:A S 20:
( as you can see am crying and laughing at the same time...lol)
 
Sasa huko CHADEMA kuna heart breakers wengi pia
usije hamia CUF tu lol

LOL!, yani ushaniona mie wa kuzimia wanasiasa sio...lol!, this time I mean business hun, am in for REAL!, ni kazi tu kwa kwenda mbele. Mi na Tz, Tz na mimi...sivai gamba, wala gwanda, navaa kanda...or UZALENDO to be precise!
 
smart as always Fina, January Makamba ni mbinafsi na nilijua atamtaja Zitto Kabwe ila alipoongeza Prof. Lipumba? Kwa lipi kwa Lipumba kudanganywa na akina Seif Shariff Hamad na Hemed Sharid kwa maslahi yao na yeye kuwa kama bendera inayofuata upepo, Zitto kwa kipi kwa kutangaza nia ili hali wenzake wanajenga chama?

Nadhani hapo nilipo-bold ni mtazamo wake kama January Makamba akaona yeye awataje hao au ulitaka awataje kina nani?nadhani na wewe ukipata muda wa kuhojiwa na fina utawataja unaowaoona
 
Back
Top Bottom