Makutano Show: Alichokisema Mhe January Makamba

Naibu waziri January Makamba amesema huu si muda muafaka kuzungumzia masuala ya URAIS na badala yake watu wajikite katika shughuli za maendeleo.
Akihojiwa katika kipindi cha Makutano Show Makamba alisema kamwe hafikirii kugombea URAIS kwa sasa na badala yake amejikita kuwatumikia wananchi katika nafasi aliyo nayo ya unaibu waziri na kuimarisha chama chake cha CCM.
[h=3][/h]
January Makamba alipokuwa Studio kwenye kipindi cha makutano ​
 
Ndio wale wale .... hana mpya huyo ....
 
Back
Top Bottom