Unatamani tuamini inashuka, haishuki bali inafanyiwa hujuma za wazi ili ionekane inashuka. Pamoja na kuwanunua kuwafanyia ukatili bado hampati uungwaji mkono wa watu wenye upinzani. Na tutawadhibitishia kwa kuacha kupiga kura ili mshinde kwa kishindo. Kisha baada ya hapo ccm itabaki inashindana kikabila na kikanda maana siasa za vyama vingi imezishindwa.
Mwenyekiti wa ccm anafanya siasa nchi nzima, Polepole anazunguka popote hakuna shida ila kiongozi wa upinzani anakamatwa. Sasa hapo unatuambia vipi graph ya upinzani inashuka? Hapo ni dhahiri inashushwa sio kushuka.