Kakuua wewe na vibaraka wa ccm!Mleta mada ni fundi wa kejeli wa kiwango cha juu sana. Anakwambia kundi la mwisho la bendera hufuata upepo lipo kule facebook, kaua kabisa.
Kama hayo makundi yangekuwa hatarishi kwa uhai wa CHADEMA basi chama hicho kisinge endelea kukua na kuongeza uwingi wa wawakilishi bungeni na kutwaa majiji makubwa nchini toka kwa CCM, labda sema lingine tukuelewe, au anzisha chama chako utengeneze makundi yasiyo hatarishi tuone utafika wapi. Sidhani kama utaweza kupata kura zile ambazo CHADEMA walipata kwenye uchaguzi mkuu uliopita, kamuulize Mrema ambaye hana makundi hatarishi chamani kwake au Cheyo. Kazi za siasa ni ngumu sana usizichukulie juu juu zinahitaji kujitoa. Tukifuta hayo makundi tukakukabidhi wewe hiyo kazi pengine hata balozi wa nyumba kumi hatutapata.1. CHADEMA MADARAKA
Hili ni kundi la watu wanaoneemeka ndani ya chama kutokana na nyadhifa zao. Kundi hili lina wapambe wengi ambao wamejazana kila kona. Kundi hili linatawala vyombo vyetu vyote kama BAVICHA, BAWACHA na hata Baraza la Wazee. Ndio maana vyombo hivyo vimekaa kimya kupotea kwa Ben Saanane kwa vile vimeamrishwa na Mwenyekiti, Mbowe vikae kimya. Wapi alipo Halima Mdee na makeke yake yale? Wapi Patrick Ole Sosopi? Wapi Patrobas Katambi? Wote wapo kimyaaaa.
2. CHADEMA WAVAMIZI
Hili ni kundi la wahamiaji halali na haramu ndani ya chama chetu. Hawa kwa sasa wanaonekana kuwa na nguvu na wapo busy kupanga mikakati ya kuiteka CHADEMA ili ifikapo 2019 wawe na mamlaka kamili ndani ya chama. Kundi hili halikuguswa kabisa na kupotea kwa Ben. Kundi hili linaundwa na Edward Lowasa na wahamiaji wengine wakiwemo 4U MOVEMENT, wale wa Ulipo Tupo. Kundi hili kwa sasa wapo busy kuzunguka mikoani kuandaa mazingira ya 2019 na hatimaye 2020.
3. CHADEMA MASALIA YA USALITI
Kundi hili ni la wafuasi wa chama ambao hawana nafasi ya uongozi chamani kwa sasa. Kwa kiasi kikubwa kundi hili linaundwa na wafuasi ambao walikuwa loyal kwa Dr. Wilbroad Slaa. Katika kuhalalisha kile wanachofanya, kundi hili likatengeneza umoja wao wanaouita Umoja wa Kizazi Cha Kuhoji (UTG) ambao umepongezwa na kiongozi wao Kamanda Dr Slaa ambaye anawawezesha kimali na kimbinu. Miongoni mwa waliomo kwenye kundi hili ni MALISA GODLISTEN, ELIZABETH EBEN au ELIZA BETH au KKK na YERIKO NYERERE.
4. CHADEMA BENDERA FUATA UPEPO
Kundi hili lipo sana kule facebook. Limekuwa likibadirika mara kwa mara kutegemea hali halisi ya wakati huo. Mwanzoni walikuwa loyal sana kwa chama ila kwa sasa hali imekuwa tofauti. Nashuhudia mnyukano mkubwa sana kule facebook hali inayohatarisha ustawi wa chama chetu.
Hahahaaaaa,wapi hiyoView attachment 449311
kesho ni ijumaa buku 7 zenu natumaini yasitokee haya lumumba kupigania pesa bila mpango
majambazi yamedhurumiana.
swissme
Wewe una moyo mgumu sana, mpaka leo hii bado unamtetea mtu ambaye anatafuta uhalali wa kisiasa na anashindwa kuupata. Mtu ambaye taifa lilionywa na hekima za wazee kwamba tumkwepe kama ukoma, kweli wewe unaumwa ugonjwa wa kupenda.Kakuua wewe na vibaraka wa ccm!
Kwani wewe ni Lumumba? mbona umechangia?Lumumba bwana!! wanaanzisha uzi wao na kutoa koments wao.
Lizaboni toka lini akawa kada wa CHADEMA? Kajipachika jina kuendeleza kazi zenu za Lumumba. Kamdanganyeni juma ponda mali tu .Hivi nyie ndugu zangu mna tatizo gani?? CDM ni chama kilicho katika harakati za kujijenga na kujiimarisha lakini kwa nn mmekuwa wapuuza kiasi hiki?? Kwanini kila anaejaribu kunyanyua kinywa kuyasema mabaya ya CDM hata kama ni kada mwenzenu mnamuita msaliti,mara katumwa na ccm,vijana wa lumumba? Huo mlengo wenu hauwezi kufanikiwa ndugu zangu,katika kipindi hiki mbapokijenga chama iweni wenye kusikiliza maoni ya watu na pale mnapoona wana hoja tofauti msiwakebehi wala kuwadhihaki,yachukueni yafanyieni kazi yakifaa yapitisheni.
Si mngepongezana mnapopangiana majukumu "ofisini" kwenu?Mkuu ubarikiwe sana wewe unajua vizuri kutupa vitu motomoto kutoka ndani ya chadema bila kutafuna maneno.
Maelezo mengine,yanayoonyesha juhudi za ccm na mipango yao.Sasa mmetangulia kuhalalisha kama wale wachumi wanaokuja na maelezo ya kuhalalisha serikali kutaka kombolewa na mabenki kwa kudanganya watu kwamba serikali kukopa ndio kutaleta hela mitaani.CCM mna akili fupi sana.1. CHADEMA MADARAKA