Makubwa ya iringa mmhh???

Mkuu huyu jamaa simpendi kweli anatafuta umaarufu jf kitoto
Nilidhani ni jukwaa huru ambalo kila mmoja anatoa mawazo yake kwa uhuru. Pia nadhani si vema ukamchukia mtu ambaye anamawazo tofauti na yako. Sote tuna nia njema ya kuboresha maishayetu ya sasa na ya vizazi vyetu baadae Tatizo kubwa ni njia ya kufika huko ndio kuna migongano. Ninaamini kumchukia mtu ni Dhambi
 
Mlima mkubwa sana unamaanisha nini, em tutajie basi jina la huo mlima manaake ss wengine ukitaja mlima mkubwa sna ni Kili....

Mkuu sio wewe tu hata sisi wenyeji hapa Iringa ukisema mlima mkubwa ni kitonga si zaidi.
 
Eneo hilo ni la mbunge Mch. Mhe.Msigwa wa CDM, kama kuna mwenye mawasiliano nae au kama yumo humu Jf atupe ukweli wa mambo.
 
mh ule mlima na mimawe yote ile huyo mnunuzi anataka kuweka sehemu ya kutambikia au?
 

Kweli kabisa na jamaa wanavyojua kutumia muda basi ndo kasheshe tupu. Anajua akija hapa atakaa siku 4 na atapata kila anachotaka iwe kigamboni, plots za madini ya uranium, n.k. Atatumia sekunde 3 kutia saini wakati mwenziwe kkwete atumia dk nzima sijui ni panic kwamba anajua anachofanya si kizuri au anawaza utajiri ulio mbele yake kwa mgao wa rushwa iliyotolewa, etc etc etc.... Bongo!
 
Kwani hata mlima ikonda makete nao uko kwenye list ya kuuzwa?
 
Hujui nchi kama imeuzwa?Bora ameuza amechukua chake.Mi nasubiria jero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…