wade kibadu
Senior Member
- Apr 3, 2012
- 102
- 5
wapendwa wana jf ni zaidi ya miezi miwili sasa toka nipate habari za tetesi kwamba ina semekana kuna mlima mkubwa sana umeuzwa kwa jamaa moja wa kimarekani ambalo limepewa na hati ya umiliki na hapohapo kuna watu wanaishi humo wamejenga makazi yao.
Aliye uza mlima huo haieleweki na kama ni kweli umeuzwa tunakoelekea kubaya tutauzwa na watu.
Je, ni Kitonga? Au mlima magome au ni kule ikonda makete? Funguka basi.
Mlima mkubwa sana unamaanisha nini, em tutajie basi jina la huo mlima manaake ss wengine ukitaja mlima mkubwa sna ni Kili....
Je, ni Kitonga? Au mlima magome au ni kule ikonda makete? Funguka basi.
Je, ni Kitonga? Au mlima magome au ni kule ikonda makete? Funguka basi.
Uwekezaji ni muhimu kwa taifa lolote duniani!
Mkuu huyu jamaa simpendi kweli anatafuta umaarufu jf kitotoAlways nimekua nikifuatilia comment zako bt napata shda kuelewa kama wew ni mtz au laa evn though wanadai wew ni mpemba bt haitoi ruhusa kwako kuwa na mawazo finyu kama hayo yote ambayo huwa unayatoa humu! if it was a live interview i could say you've a mental problem,bt when it become umeshika botton za simu/pc ukagoogle jf na kusign in peke ako......napata tabu kwel kujua hw stupid u are
mambo ya tz hayo. Kama ni kweli basi ni kasheshe tupu. Unaweza kuishi mahali kumbe wewe na ardhi mmeuzwa! Ukitaka kuhama unaambiwa hauwezi kwani umenunuliwa na inabidi utumikie 'tajiri/master' kwa miaka kadhaa kabla ya kujipatia 'uhuru' wako. Sishangai kwa mambo ya nchi hii jinsi yanavyopelekwa. Inakuwa kama vile viongo-zii ni mazezeta au vipofu au wamepagawa au wamepigwa juju... Ah!!!