Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Amedai mbona Lipumba aliwai kuwa mshauri wa Museni Uganda yeye kuwa RC Kilimanjaro ndo iwe nongwa?
Anauwezo wa kuwa RC na kuwa mwenyekiti wa ACT
Kwa hiyo mkutano wa Act wazalendo kesho atahudhuria? Kuna nafasi za utumishi wa umma ukiteuliwa unatakiwa kujiuzulu vyeo vya kichamaMkuu mpya wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, amesema yeye bado ni mwenyekiti wa ACT-Wazalendo na ataendelea kushika wadhfa huo kama kawaida. Mghwira aliyeapishwa Jumanne kuanza kazi, ametoa maelezo hayo katika mahojiano mahsusi na mwandishi Jamal Hashim wa Azam TV. Fuatilia taarifa ya habari ya Azam TV leo saa mbili usiku, ili kupata undani zaidi.
Siyo la Lowassa?ACT ni tawi la ccm.
Kwa hiyo mkutano wa Act wazalendo kesho atahudhuria? Kuna nafasi za utumishi wa umma ukiteuliwa unatakiwa kujiuzulu vyeo vya kichama
Mkuu mpya wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, amesema yeye bado ni mwenyekiti wa ACT-Wazalendo na ataendelea kushika wadhfa huo kama kawaida. Mghwira aliyeapishwa Jumanne kuanza kazi, ametoa maelezo hayo katika mahojiano mahsusi na mwandishi Jamal Hashim wa Azam TV. Fuatilia taarifa ya habari ya Azam TV leo saa mbili usiku, ili kupata undani zaidi.
Vice versa is trueInamaana Kimwili anaitumikia Ccm ila kiroho yupo ACTWazalendo!? Kama in hivyo basi hongera
No Fit For Kiundu
Acha uvivu wa kufikiri mamboInamaana Kimwili anaitumikia Ccm ila kiroho yupo ACTWazalendo!? Kama in hivyo basi hongera
Ukiwa unazungumzia maendeleo ya nchi, uwezi kuiepuka ACT wazalendo.ACT ni tawi la ccm.