Makubaliano yamefanywa Muungano umevunjwa rasmi bila maandishi wala tangazo na Zanzibar inaruhusiwa kujifanyia kila kitu isipokuwa kuwa na jeshi

Tanganyika ni makubwa jinga
Taifa lenye watu milion 60, litaingana vipi na kanchi kenye watu milion 1.

Nyerere Huwa naona Kwa huu muungano aliyumba mno
Wazanzibar wamekuwa viongozi wa kuuendesha muungano Kwa mlango wa nyuma (indirect way) Kwa kile kinacho fahamika kama kero za muungan,ziliwapa nafasi ya kuingia sehemu nyeti kimkakati huko wabara wakiona wamewashika.

Leo hii vilio bara ni vikubwa sana kuhusu muungano huku kule upande wa pili wakisukuma kete Kwa utulivu maana wanajua viongozi wa Tanganyika Bado Wana fikra za kuenzi mawazo na maono ya bwana yule na hapo ndo wanapo tumia fursa.
 
Nashangaa sana kwamba Watanzania wengi, hasa watu wa bara, hawajagundua kwamba awamu ya sita imevunja muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar bila maandishi au matangazo.
Mkuu swala la kuvunja muungano lilishafanywa tokea awamu ya kwanza na ikaendelea awamu zilizotangulia. Mfano:
1. Kuvunja makubaliano ya muungano
2. Kuongeza idadi ya orodha ya mambo ya muungano
3. Kuondoa nafasi ya Rais wa Zanzibar kuwa makamu wa kwanza wa Rais wa JMT
4. Kutokuitisha bunge la katiba ndani ya miezi 6 baada ya kusaini makubaliano ya muungano.

Nimeonesha haya ambayo yamefanywa na awamu zilizopita. Sasa kama ni kuvunjwa muungano katika awamu hii, swala hili lilipaswa lisemwe katika awamu zilizotangulia kwani kimsingi na kisheria huu muungano ulishauliwa zaidi ya miaka 60 iliyopita.
Kwa hiyo kila mtu akae akijua muungano haupo tena, makubaliano yamefanywa Zanzibar wajifanyie kila kitu isipokwa kuwaja jeshi, lakini makubaliano haya hayatatangazwa rasmi.
Ni kweli huu muungano haupo na lililopo ni Tanganyika
kujaribu kuidhibiti Zanzibar kimabavu, ila kwa bahati Zanzibar ipo na itaendelea kuwepo iwe ndani ya muungano au nje ya muungano.
Tukichukua mkopo wa tuseme Trilioni 10, ukawapa Zanzibar gawio lao la trilioni mbili, zile trilioni mbili zinazoenda Zanzibar ni fedha nyingi sana kufanyia mambo mengi sana,
Na haya makubaliano yalifanywa Zanzibar? Tuliungana nchi mbili kwa hiari ya viongozi wa nchi hizi huru zenye mamlaka. Awamu ya sita imeyakuta.

Ni kweli kwa mfano uliotoa fedha zinafanya mambo mengi lkn jee zinapelekwa kama unavyodai? Jawabu ni hapana. Jee ulitaka zisifanye mambo mengi? Ubinafsi.

Mkuu huu muungano, kwa mujibu wa Karume senior, ni kama koti; ukiona linakubana unalivua. Fanyeni hivyo ili tupumue. Mukiendelea na fikra za kuidhibiti Zanzibar, hii nchi itakushindeni kwani ilishawashinda wengi.
 
Mkuu swala la kuvunja muungano lilishafanywa tokea awamu ya kwanza na ikaendelea awamu zilizotangulia. Mfano:
1. Kuvunja makubaliano ya muungano
2. Kuongeza idadi ya orodha ya mambo ya muungano
3. Kuondoa nafasi ya Rais wa Zanzibar kuwa makamu wa kwanza wa Rais wa JMT
4. Kutokuitisha bunge la katiba ndani ya miezi 6 baada ya kusaini makubaliano ya muungano.

Nimeonesha haya ambayo yamefanywa na awamu zilizopita. Sasa kama ni kuvunjwa muungano katika awamu hii, swala hili lilipaswa lisemwe katika awamu zilizotangulia kwani kimsingi na kisheria huu muungano ulishauliwa zaidi ya miaka 60 iliyopita.

Ni kweli huu muungano haupo na lililopo ni Tanganyika
kujaribu kuidhibiti Zanzibar kimabavu, ila kwa bahati Zanzibar ipo na itaendelea kuwepo iwe ndani ya muungano au nje ya muungano.

Na haya makubaliano yalifanywa Zanzibar? Tuliungana nchi mbili kwa hiari ya viongozi wa nchi hizi huru zenye mamlaka. Awamu ya sita imeyakuta.

Ni kweli kwa mfano uliotoa fedha zinafanya mambo mengi lkn jee zinapelekwa kama unavyodai? Jawabu ni hapana. Jee ulitaka zisifanye mambo mengi? Ubinafsi.

Mkuu huu muungano, kwa mujibu wa Karume senior, ni kama koti; ukiona linakubana unalivua. Fanyeni hivyo ili tupumue. Mukiendelea na fikra za kuidhibiti Zanzibar, hii nchi itakushindeni kwani ilishawashinda wengi.

Kwanini ninyi ambao mmeshika mpini kupitia chura kiziwi msivunje sasa?kinachowashinda kufanya hivyo ni nini hasa?
 
Kumbe kutokana na hayo ndio maana wazalendo wanataka ku destabilize awamu Kwa kuja na operation TFF!!? Yaani wameona Hali ni mbaya!!?

Au!!?

Coz hata TFF inaonekana no kikundi Cha siri kilichojipanga kupoka udhibiti wa Tanganyika au!!?

Nauliza miye!!

Niliwahi andika mahala "je comrade samiah ndio Abood jumbe wa zama hizi"
Hamkunielewa!!
 
Mzenji kila siku analalamika kwanini rais wa zenji aamuliwe dodoma, watanzania bara (au kwasasa tanganyika imepamba moto) tulikua tunachukulia poa na kujimilikisha kimabavu koloni dogo la zenji.

2030 itakua tamu sana pande zote zitakua na marais wapya
Ni aibu watu milioni 70 kutawaliwa na watu milioni 2.
 
Nashangaa sana kwamba Watanzania wengi, hasa watu wa bara, hawajagundua kwamba awamu ya sita imevunja muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar bila maandishi au matangazo. Hadi sasa kuna makubaliano kwamba Zanzibar watajifanyia kila kitu ambacho nchi rasmi inafanya isipokuwa hawatakuwa na jeshi la ulinzi.

Na kuna makubaliano kwamba serikali ya muungano haitaingilia jambo lolote au kutoa maelekezo yeyote upande wa Zanzibar kwa sababu sasa wamekuwa kama serikali kamili. Hata ziara za viongozi wa serikali ya muungano kule Zanzibar zimedhibitiwa. Na pia mabalozi wa nje wanapewa nafasi zao, na nadhani raisi wa Zanzibar ndie anateua watu wake na raisi wa Tanzania kutangaza rasmi.

Haya yote yamefanyika kimya kimya, na naweza kudiriki kusema yamefanikiwa kwa kiwango kikubwa katika mazingira ya kuwa na raisi wa Tanzania kutoka Zanzibar. Hiyo imeonekana ni zile nafasi zinaitwa "it is now or never".

Ila jambo la kusikitisha ni kwamba katika hali hii Zanzibar ni kama imepewa fursa kubwa ya kujiendeleza haraka hasa katika miundo mbinu kwa sababu yajayo hayajulikani. Kama umeangalia vizuri, kuna miradi mikubwa ya miundo mbinu inayoendelea huko visiwani, pamoja na kubadilisha majengo ya shule karibu yote. Umewahi kujiuliza Zanzibar wanapata wapi fedha za kufanya haya mambo makubwa?

Ni kwamba, mbinu iliyotumika ni Tanzania kuchukua mikopo ya nje, ambapo sehemu kubwa sana ilienda Zanzibar kama gawio lao. Ile mikopo haikuwa kwa ajili ya maendeleo ya Tanzania bara, mlengwa alikuwa Zanzibar. Ndio maana baadhi ya wanasiasa wa bara, walipogundua hilo walikasirika sana. Na tukumbuke kuwa daraka kubwa la kulipa hii mikopo liko Tanzania bara.

Ni kweli kwamba kuna fedha zinabaki Tanzania bara lakini faida kubwa ya ile mikopo ilikuwa ni kwa ajili ya Zanzibar. Tukichukua mkopo wa tuseme Trilioni 10, ukawapa Zanzibar gawio lao la trilioni mbili, zile trilioni mbili zinazoenda Zanzibar ni fedha nyingi sana kufanyia mambo mengi sana, wakati trilioni nane zinazobaki bara impact yake kuona zimefanya nini ni kidogo sana kwa sababu ya ukubwa wa nchi. Na ukweli ni kwamba mfumo wa gawio ulitengenezwa kwa kupendelea upande wa Zanzibar.

Sasa jambo ambalo limeanza kuwaamsha watu wa bara ni hili la meli za nje kusajiliwa Zanzibar. Kwa kiburi kabisa, pamoja na skendo zilizolikumba jina la Tanzania, Zanzibar wanadai tulishakubaliana tunajiendesha kama nchi kamili, na tuna haki ya kusajili meli. Wanadai kama hatutaki watumie jina la Tanzania basi mabadiliko yafanywe wazisajiri kwa jina la Zanzibar.

Na pia kuna baadhi ya wanasiasa wanahoji, kama Zanzibar wanaruhusiwa kujifanyia kila kitu kama nchi na kutoingiliwa, kwa nini bado wanateuliwa kwenye nafasi zinazohusu muungano au hata mambo ya bara peke yake? Baadhi ya majibu wanayopewa ni kwamba raisi ana uhuru wa kuteua timu yake ambayo itaona itamsaidia, na anaweza kuchukua watu bara au visiwani katika nafasi yeyote.

Kwa hiyo kila mtu akae akijua muungano haupo tena, makubaliano yamefanywa Zanzibar wajifanyie kila kitu isipokwa kuwaja jeshi, lakini makubaliano haya hayatatangazwa rasmi.
Sawa

Ushauri wako kwa watanganyika ni upi !?
 
Licha ya kujitutumua Zanzibar Haina capacity hiyo ya kucolonjze Tanganyika, wasiwasi wangu ni kwa WaZanzibar wanaoishi bara siku Tanganyika ikifufuka watajificha wapi, maana itakuwa kilio na kusaga meno.
 
1. Money - sasa hivi wameshika uchumi wote, na wanaamua wao
2. Nguvu ya Hii Triangle- Qatar, Oman, UAE na Iran - ukiondoa Irani, hao wote ni puppets wa Uinested States
3. Third factor- China- anapitia hao Evil Triangle kuwekeza kukwepa West Condemnation- ie kama wakati ule Merchant Company ya China + Oman kujenga Bandari ya Bagamoyo
4. They have taken Loliondo
5. They havae take more than 8million hecters of land ati wanapanda miti kwa kulinda mazingara

Majority waTanganyika someni mpate kazi-haaaa
Understand that US inao top 1% ndiyo wana control wealth wengne wote middle class
 
Mkuu swala la kuvunja muungano lilishafanywa tokea awamu ya kwanza na ikaendelea awamu zilizotangulia. Mfano:
1. Kuvunja makubaliano ya muungano
2. Kuongeza idadi ya orodha ya mambo ya muungano
3. Kuondoa nafasi ya Rais wa Zanzibar kuwa makamu wa kwanza wa Rais wa JMT
4. Kutokuitisha bunge la katiba ndani ya miezi 6 baada ya kusaini makubaliano ya muungano.

Nimeonesha haya ambayo yamefanywa na awamu zilizopita. Sasa kama ni kuvunjwa muungano katika awamu hii, swala hili lilipaswa lisemwe katika awamu zilizotangulia kwani kimsingi na kisheria huu muungano ulishauliwa zaidi ya miaka 60 iliyopita.

Ni kweli huu muungano haupo na lililopo ni Tanganyika
kujaribu kuidhibiti Zanzibar kimabavu, ila kwa bahati Zanzibar ipo na itaendelea kuwepo iwe ndani ya muungano au nje ya muungano.

Na haya makubaliano yalifanywa Zanzibar? Tuliungana nchi mbili kwa hiari ya viongozi wa nchi hizi huru zenye mamlaka. Awamu ya sita imeyakuta.

Ni kweli kwa mfano uliotoa fedha zinafanya mambo mengi lkn jee zinapelekwa kama unavyodai? Jawabu ni hapana. Jee ulitaka zisifanye mambo mengi? Ubinafsi.

Mkuu huu muungano, kwa mujibu wa Karume senior, ni kama koti; ukiona linakubana unalivua. Fanyeni hivyo ili tupumue. Mukiendelea na fikra za kuidhibiti Zanzibar, hii nchi itakushindeni kwani ilishawashinda wengi.

zanzibar ni mali ya english monarchy, tanganyika ilitumiwa na inatumiwa tu ktk indirect rule ya zanzibar, hawataki (english monarchy) kudili na hao muslims ( ~98% ya zanzibar ni muslim) moja kwa moja hivyo wanatusukumizia sisi lkn zanzibar inabakia english monarch’y property sisi (tanganyika) ni gatekeeper tu.

imposing Anglikan Church - Zanzibar …

1772186811157.jpeg
 
1. Money - sasa hivi wameshika uchumi wote, na wanaamua wao
2. Nguvu ya Hii Triangle- Qatar, Oman, UAE na Iran - ukiondoa Irani, hao wote ni puppets wa Uinested States
3. Third factor- China- anapitia hao Evil Triangle kuwekeza kukwepa West Condemnation- ie kama wakati ule Merchant Company ya China + Oman kujenga Bandari ya Bagamoyo
4. They have taken Loliondo
5. They havae take more than 8million hecters of land ati wanapanda miti kwa kulinda mazingara

Majority waTanganyika someni mpate kazi-haaaa
Understand that US inao top 1% ndiyo wana control wealth wengne wote middle class
Hizo hoja zako zinamake sense lakin haziifanyi Zanzibar kuwa na capacity ya kuitawala Tanganyika, issue hapo ni Samia, In fact anaweza kuingia Rais mtanganyika akamantain the same interests lakini akawatelekeza Zanzibar. Labda kama Tanzania itatawaliwa na Marais waZazanzibar mpaka kihama.
 
Kwa ujumla sasa hivi hela ya Tanganyika inatumika kuijenga Zanzibar kwa kiwango cha pekee. Mikopo mikubwa inachukuliwa, mingine kwa 100% yote inapelekwa Zanzibar, wa kulipa ni Tanganyika.

Tunafanyiwa hayo yote kwa sababu Tanganyika ina majitu punguani mengi sana yasiyojitambua. Yatazame majitu kama Mwashambwa, Tlaatlaah, Choicevariable, and the like, ndugu zao wanauawa yenyewe yanashangilia na kumsifia muuaji, sasa unadhani majitu kama hayo hata kama rasilimali za Tanganyika zikawa zinaibiwa kwaajili ya kuijenga Zanzibar, yatafanya nini, zaidi ya kusifia?

Zanzibar kwa sasa, kwa kumtumia huyi bibi muuaji, inataka kunufaika kwa kuiba pesa ya Tanganyika kwa kiwango cha kutisha ili kujiandaa Zanzibar kuwa Taifa huru. Katika kuhakikisha wanaiba pesa nyingi kadiri iwezekanavyo, yule muuaji kila eneo linalohusiana na fedha amewapachika wazanzibari ili kurahisisha wizi.

Wa kulaumiwa siyo Wazanzibari wala hiyo bibi muuaji, bali ni yale matanganyika punguani yanayojali matumbo yao kwa gharama ya kuliuza Taifa lao. Yule mwingime amepewa uPM kwa sababu alipokuwa wuzara ya fedha aliridhia pesa ya Tanganyika kuibiwa na kupelekwa Zanzibar, kwa malipo kuwa naye anaruhusiwa kuiba kuifadhili timu yake ya mpira! Huo ndio ujinga wa Watanganyika!!

Kwa sasa mtu pekee anayeweza kuikomboa Tanganyika kwente ukoloni huu uliosababishwa na tamaa ya watanganyika wabinafsi ni Lisu pekee. Huyu moyoni na akilini mwake ndiye mtu pekee aliyedhihirika kuyaweka maslahi yake nyuma ya maslahi ya nchi na umma wake.
 
Hizo hoja zako zinamake sense lakin haziifanyi Zanzibar kuwa na capacity ya kuitawala Tanganyika, issue hapo ni Samia, In fact anaweza kuingia Rais mtanganyika akamantain the same interests lakini akawatelekeza Zanzibar. Labda kama Tanzania itatawaliwa na Marais waZazanzibar mpaka kihama.
Inawezekana usemalo lakini nao wemeshaamka halafu wana watu wao. JK at the centre hawezi kuachia hii fursa, na unaona wanavyo weka watu wao kama puppets, money matters kuliko mkono mtupu. Ukishakua na pesa na Jeshi basi kila kitu unaweza ku-control.

Samia kaweka precedent, kumbe ukipiga risasi wanaogopa, na hasa kama ICC hawatachukia hatua, itakua kweli, na likely itakua hivyo kwa sababu nguvu ya UAE na Qatar mbele ya US ni kubwa sana, na position ya Tanganyika Afrika inaeleweka- I meang geographical position. UAE, Qatar, Oman na hata SAudi wanapiga kote kote, Far Eas na West. China na USA wako mkononi. Tanganyika utafanya nini?

Kama matakwa yao yatakidhiwa na uwepo wa Zanzibaris kwa nini wasielekeze nguvu kwa kuipa nguvu Zanzibar over Tanganyika? They will have Congo, Zambia and all central Africa。
 
Ni kweli lakini Zanzibaris wamekuwepo kwenye positions of power even before Samia, Issue mkuu hapa ni Samia sio Zanzibaris, ndo maana nasema Kuna siku WaZanzibar watalipia makosa yanayofanyika na Samia. Zanzibaris have always been in positions of power even before Samia, we jiulize why now!? Samia, and sho won't last long, makosa yake yatawacost WaZanzibar kuliko hata Tanganyika in the future.
 
Tanganyika ni makubwa jinga
Taifa lenye watu milion 60, litaingana vipi na kanchi kenye watu milion 1.

Nyerere Huwa naona Kwa huu muungano aliyumba mno

"Unaona kama ...."

Yani huna uhakika!

Huu ndio ujuha wa Watanganyika

Haiko wazi kwamba alifanya
kitu kibovu ???

Eti aliyumba. Hakuyumba, alivurunda, ali fack up big time !

Waliokosoa aliwatukana eti wana hoja za kipumbavu. Yeye ndio alofanya uamuzi wa kipumbavu katika historia ya dunia ya nation formation.
 
Kwanini ninyi ambao mmeshika mpini kupitia chura kiziwi msivunje sasa?kinachowashinda kufanya hivyo ni nini hasa?
Mkuu; unaelekea wewe ni mchanga sana, hivyo kwanza jifunze; hatujadili kwa mihemko. Wenyewe wanaita JF home of great thinkers.

Baada ya utangulizi huo, sasa nikufahamishe. Sisi tulishajaribu nyinyi mukatuona wahaini na kutushuhulikia kinyama.
1. Kumbuka yaliyomfika Maal Seif na wenziwe miaka ya 80.
2. Kumbuka ya masheikh wa UAMSHO
3. Kumbuka ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.

Mara zote, kwa kisingizio cha kuidhibiti Zanzibar munawanyanyasa kila wanapotaka kujinasua na udhalimu. Sasa wewe/ nyinyi badala ya kuropoka ovyo uvunjeni sisi hatuuvunji kwa kuangalia kumbukumbu za nyuma.

Kinachotushinda kufanya hivyo ni ujinga wenu wa kutaka kuidhibiti Zanzibar. Sasa tupo na tutandelea kuwepo muda wa kwamba kuna JMT.
 
Back
Top Bottom