Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,510
Hapana si love bite, ni mpenzi wangu ambae tuligombana, akaamua kuchukua kisu na kutaka kunichinja hivo nikashtuka usingizini.
Tukio hilo liliniweka kovu japo bado rohoni nina maumivu ya jambo hilo.
Kama ni Zawadi tema mate chini nikamchape.