Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,437
- 4,828
Pole sana ndugu yake mimiKovu mkono wa kulia..Nilingàtwa na tumbiri nilipokuwa na miaka 6 akaondoka na mnofu...ikabidi ichukuliwe ngozi kwenye paja iwekwe hapo..Mengine yamefifia nilipata ajali ya pikipiki pia umri huohuo n.k