makovu mwilini

makovu mwilini

kwnye mguu wa kulia,, bodaboda hiyo
kitu cha exost (cjui km niko sahihi hapo) kilinilalia ..lol.!
sitasahau hilo
 
mimi nachojua ni kuwa kila mwanamke anakovu la kudumu wengine wanaliita papuchi,kitumbua mbunye eti eeeh.
 
Mie langu liko kwenye maungio ya mguu na paja kwa nyuma limeleta dimposi kasheshe nikivaa kimini inabidi niwe jasiri tu.....
 
helo team tusiokuwa na viburudisho ! hebu kujeni hapa tupige story leo wkend kama unaona haikuhusu naomba upotezee!
najua wengi wetu tuna makovu kwenye miili yetu madogo kwa makubwa! wengine waliungua udogoni..wengine wamepigwa mapanga kwa ujambazi wengine mafumanizi nk!
leo naomba tupige story kila mtu amwage kisa cha kovu lake hapa
mimi ninalo kwenye bega sema kwa ajili ya unene huu na kukua naona limeishia ishia limebaki kwa mbaali sana ila linanikumbusha mbali sana
story yangu ilikuwa hivi
nikiwa mdogo kuna siku mama yangu akanituma buchani nyama nusu kilo! akanipa elfu kumi ndo zimetoka toka nadhani nilikuwa sijawai kuiona tena! sio hii ya sasa hivi ....nusu kilo ya nyama nadhani ilikuwa elfu au mia tano hivi.
sasa kule buchani yule muuza bucha akanipa nyama na chenji wakati mimi nilikuwa sijampa hata hela huyooo nikaishia zangu... so ile elfu kumi ya mama ikawa yangu mi nikampa mama chenji yake .
kuna ndugu yangu tumefatana ila kanizidi miaka 4 nikamueleza jinsi nilivopata hilo zali asubuhi asubuhi hao tukaenda kufunga mtaa kwa pipi gololi na biscuit za bibi!ila kumbe mwenzangu roho ilimuuma ..so ikatokea sasa mama akitaka kumtuma mtu buchani anagombania sana na mimi sikubali ikawa ni vita vita! siku moja katika kupigana na akanibamiza ukutani ule ukuta una chuping sijui mafundi wanaita wenyewe ukanichumbua ndo source ya kovu langu!

mbona jana sikuliona tulipokuwa pamoja? au ulililalia na kulificha?
 
Kovu mkono wa kulia..Nilingàtwa na tumbili nilipokuwa na miaka 6 akaondoka na mnofu...ikabidi ichukuliwe ngozi kwenye paja iwekwe hapo..Mengine yamefifia nilipata ajali ya pikipiki pia umri huohuo n.k
 
Mtoto wa kiswazi nilikuwa natafuta makopo ya kujipikilisha kwenye shimo la taka
shimo ndo kwanza limechimbwa siku si nyingi, kwenye kingo bado lina vipande vya chupa
nishaokota makopo kaka angu ananivuta ili nitoke
ile kanishika mkono nikateleza nkadondoka tena ndani ya shimo
kuja kutoka hapo nashangaa damu tu kumbe chupa imechana kuanzia gauni hadi pichu
hadi leo hii nna kovu kwenye kalio....nilichanwa na chupa!!!!!!
 
Kovu mkono wa kulia..Nilingàtwa na tumbiri nilipokuwa na miaka 6 akaondoka na mnofu...ikabidi ichukuliwe ngozi kwenye paja iwekwe hapo..Mengine yamefifia nilipata ajali ya pikipiki pia umri huohuo n.k

so paja lina upungufu wa nyama?
 
sijui ni lyk kuoneshwa kuguswa mana i am a boy from uswazi either, na unavyoongea umenikumbusha mbali sana ....pole
mara uko jajalani moto umekuunguza dah mungu yani katusaidia mpaka leo tuko ofisi kubwa hivi na heshima tunapewa
 
nnalo la paja nilikuwa napasi sket ya shule nikiwa nimevaa duh std 6 kitambo
 
Kovu mkono wa kulia..Nilingàtwa na tumbiri nilipokuwa na miaka 6 akaondoka na mnofu...ikabidi ichukuliwe ngozi kwenye paja iwekwe hapo..Mengine yamefifia nilipata ajali ya pikipiki pia umri huohuo n.k

Tumbili? sema vizuri wewe?
 
Aisee mbali sana

Goti la kulia,nilikimbizwa na mbwa mida ya jioni nikitoka kuchukua maziwa...nilianguka kwenye kokoto...iliuma sana,kukunja mguu ikawa shughuli
 
Back
Top Bottom