Makosa

kha usimtaje mi naogopa! hivi watu huwa wapo serious humu?? lol!

Alaaa....kuna watu wamekutana humu na kupeana ujauzito...kuna wengine wameoana...wengine wapo walio katika mchakato wa kuelekea huko kwenye holy matrimony.

Humu hakuna tofauti na kitaani....
 
alaaa....kuna watu wamekutana humu na kupeana ujauzito...kuna wengine wameoana...wengine wapo walio katika mchakato wa kuelekea huko kwenye holy matrimony.

Humu hakuna tofauti na kitaani....
babu nikijifungua ya triplets, niongezee nyingine kha!
 
Hehehe! NN is hear broken? Come to me, I repair broken hearts ila sina ganzi. Are you game?
 
kuna sred ya maumivu ya mapenzi, hebu katupie ekisiperince kule.

Kumbuka, jogoo hauwazi na utitiri.
 
heri kenda nenda kuliko kumi nenda rudi.pole sana nyani ngabu. lakin siku zote likukwepalo lina heri. na maji yakisha mwagika hayazoleki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…