Naona leo issue ni CCM... Jamaa mwingine nae kaja na hii; [h=1]Watetezi wa ccm ndani ta jf wanakosea[/h]
10000000
Ndugu yangu,
Naona umekuja kwa hasira sana....na hukunisoma vizuri pamoja na kujitahidi kwangu nkuandika machache iwezekanavyo:
Si vizuri kufanya general observations na kudraw conlusions:Mimi nimezungumzia watetezi na si wanachama kama wewe. Kama hujajua basi elewa kuwa wako watu wameagizwa kuja kuchafua hali hapa kwa niaba ya chama chako.
Pili jina langu ni Lole Gwakisa na ni halisia si la kama lako, therefore your observation is in error na conclusion is illogical. Again mimi nimezungumzai viongozi wa CCM kuingia hapa na tru identities kama wenzao wa CHADEMA ili tujadiliane nao moja kwa moja. Nadahani ni Nape peke yake kaweza hili. Wewe Lole sijui kama ni kiongozi wa CCM ila najua ni commoner tu.
Kama observation yako kuwa wana CCM hapa JF ,wote ni kama MS na bibie FF, then that also reflects your nascent observatory instincts.Kwa hilo ni kukupa pole tu. STILL NI MTAZAMO WAKO LAKINI NDIO WATETEZI WAKUU HAPA WA CCM PENGINE KULIKO WEYE NA TUNAENDELEA KUHOJIANA NAO MPAKA TUELEWANE
Naona wengi wao wanaingia na kutimka kwenye thread hii
yesu ni mtume wa mungu na sio mwanawamungu
WATETEZI WA CCM NDANI TA JF WANAKOSEANi matumaini yangu ya kwamba wapenda maendeleo na wanaharakati wan chi hii wanajisikia vibaya sana na uchungu pale wanapoingia ndani ya Jamiiforum ili kupata habari na kuchangia baadhi ya makala. Tangu vijana wa CCM waingie kwenye JF kwa lengo moja tu la kuhakikisha wanawachanganya watumiaji au wanaotegemea kupata habari toka JF, kwa sasa JF imekuwa kama uwanja wa fujo na kutupiana maneno ya kila hali. Kwa upande wangu nilijua kwamba wangekuja na majibu yenye maantiki toka ndani ya chama lakini cha kushangaza wamekuja na vioja toka ndani ya chama. Kwa mtazamo wangu naomba wajipange upya na waje na majibu yenye tija katika kuendeleza taifa letu na si kile wanachoendelea kufanya sasa.Pia imeonekana dhahiri kwamba kuna makala zingine Watetezi wa CCM hawazigusi hata kidogo na wakija na yao wanatoa kioja kwa kuleta mada ambayo itahakikisha inawachanganya wanaopata habari toka ndani ya JF. Ukiangalia kwa makini kama wewe ni mchunguzi zaidi wao hawajali wamepost nini na hawajui kama makala zao zimeangaliwa na zimejibiwa na watu wangapi, utakuta ni watu wachache sana wamesoma na kujibu hiyo inadhihirisha kwamba majibu yao hayana maana kwa wanaharakati au wazalendo.Msimamo wangu ningependa wana CCM wajipange na kutafuta majibu yanayostahili kwa faida ya taifa hili na kuweka post zenye maana na ambazo zitachangiwa kwa urefu na mapana pia wasione aibu kukubaliana na ukweli na huo ndio uungwana. Kipindi cha nyuma nilisoma makala ambayo kwa undani ilieleza kwamba CCM wanachanganya maana ya wanaharakati na wanasiasa. Kwa watanzania wa sasa wengi wamekuwa wanaharakati na si wanasiasa wameamua kuikomboa nchi yao tafadhali wajifunze hilo kwanza.Pia kuna usemi mmoja ulikuwa unasema kwamba CCM WAKISHINDWA HOJA WANAANZA VIOJA sasa tafadhali wajifunze na wawe waangalifu wanaweza kufikiria kwamba wanaeleweka kumbe wananchi wameamua kuwapuuza maana hata sasa mtu kuvaa T-shirt au kanga ya CCm anajiona kama anawasaliti Watanzania. Pia tusiangalie sana hizi posho ambazo tunalipwa kulingana na idadi ya posti zetu bali tuangalae ni watanzania hawa ndio tunawafanyia kazi kwa kuwaelimisha. Wakati wa uhuru nchi yetu ilikuwa inahitaji vitu vine ili iweze kuendelea:a) Watub) Siasa safi hapa kuna mashaka na siasa zetu zimekuwa za viojac) Uongozi bora hapa ndipo kuna tatizo la msingi kabisad) ArdhiUkiangalia kwa makini namba b na c ni vitu ambavyo binadamu anavitengeneza na kuvifuata na hapo ndio mpaka sasa panatushinda.Ukiangalia kwa makini nchi yetu haisonge mbele kwa sababu watawala wetu wanatafuta sababu za kushindwa kutimiza wajibu wao kwa kuondoa matatizo ya msingi au kutoa njia za kuyatatua.Tuache watu waseme yaliyo ndani ya mioyo yao na sio kuwafumba na kuwachanganya. Inavyoonyesha CCM hawataki kupata mrejesho wanataka kusifiwa na wanatakiwa kuichukulia michango ya JF kama changamoto na wafanye mambo kwa uzuri zaidi kuliko kuongea mambo yasiyo na tija kwa wakati huu.
KUMBUKA SISI SOTE NI WATANZANIA NA TNAIJENGA TANZANIA
Mkuu hujajibu hoja, mimi SI kiongozi ni mwana CCM, kwani hoja zote hapa against CDM zinajibiwa na DR kama kiongozi?
Kama ni hivyo basi JF ni jopo la viongozi na si jopo la kila mtu kutoa maoni yake!!
Tupo sena kwa sana tu , jibu hoja , na la matusi je?
wewe mwenye elimu nasikia mpaka kibatari mnatengeneza kenya. sijui elimu yenu ni ipi?
wewe mwenye elimu nasikia mpaka kibatari mnatengeneza kenya. sijui elimu yenu ni ipi?
Sasa baruwa ya kuomba radhi tuiadress wapi? tuipeleke Bakwata au Lumumba! maana siku hizi huwezi kumjuwa msemaji wa ccm ni Nape au Bakwata? maana wote wanapiga tarumbeta la magamba.Walianza cdm. Ssm wanajf tukaka kikao na tukapanga tufanye hivi kama wanavyofanya cdm. Labda mutuombe radhi
yesu ni mtume wa mungu na sio mwanawamungu
Ina maana unajifanya hujui kwamba mkuu wa Majeshi ni Mkatoliki? Au Davies Mwamunyange ni Mujahedeen?mtalishawishi jeshi liasi? maana jeshi letu linasubiri mkifanya fujo CDM mabomu ya machozi na pilipili
Sasa imekubalika kuwa wengi wa wana JF hawaipendi CCM (na haimaanishi kuwa wote in turn ni wana CHADEMA kama inavyodhaniwa). Kutokana na hili wamekuwa wakiiandama serikali ya CCM kiasi kwamba imebidi nao CCM watume watetezi. Ila wengi wa watetezi hawa wana mapungufu yafuatayo:
- ID zao zina majina ya kiajabu sana (Malaria Sugu; Faizafoxy etc)
- Hoja zao nyingi ni za mzahamzaha ili kuifanya JF ionekane ya mzaha pia
- Wengi wapo kwa kutumwa zaidi kuliko kujituma na hivyo kutoweza kuitetea serikali ya CCM ipasavyo
- Wagumu kukubali kuwa CCM imeshindwa hata katika mambo yaliyo wazi
- Ukiacha Nape na Mzee wa @NYC wengine wote waoga wa kutoa true IDs zao tofauti na viongozi wa CHADEMA ambao wengi wametoka wazi na true identities.
- Wakizidiwa hoja hufanya haya:
- kuzamia kwenye defence za kidini kwa kutumia uislam
- kuingia mitini
- kutukana na kukashifu
- Duh!
Willie @ NYC, USA.
Ustaadhi una ID ngapi?
mzee inaonesha umeamua kula sahani moja na ms
Usione vya ng'ara ujue vimeundwa.ukija kwa lengo la kujifunza na ukatumia akili yako utapata mambo mengi sana ya kuelimisha na kukujuza mwenendo wa nchi yetu,but ukija kwa lengo la kukosoa,kukejeli na kutukana ujue hutumii akili na matokeo yake ni kudhalaulika kama ndugu zangu hapo juu.jf ni nguzo ya habari,ufahamu na utafiti hapa nchini kwani inahitaji akili katika majibizano ya maneno humu ndani.wengine tunafaidika sana na jf.magamba acheni itikadi za kidini,uchama na ukabila leteni hoja watu wazijibu.