Makosa ya watetezi wa CCM hapa JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makosa ya watetezi wa CCM hapa JF

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CAMARADERIE, Jul 4, 2011.

 1. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Sasa imekubalika kuwa wengi wa wana JF hawaipendi CCM (na haimaanishi kuwa wote in turn ni wana CHADEMA kama inavyodhaniwa). Kutokana na hili wamekuwa wakiiandama serikali ya CCM kiasi kwamba imebidi nao CCM watume watetezi. Ila wengi wa watetezi hawa wana mapungufu yafuatayo:
  1. ID zao zina majina ya kiajabu sana (Malaria Sugu; Faizafoxy etc)
  2. Hoja zao nyingi ni za mzahamzaha ili kuifanya JF ionekane ya mzaha pia
  3. Wengi wapo kwa kutumwa zaidi kuliko kujituma na hivyo kutoweza kuitetea serikali ya CCM ipasavyo
  4. Wagumu kukubali kuwa CCM imeshindwa hata katika mambo yaliyo wazi
  5. Ukiacha Nape na Mzee wa @NYC wengine wote waoga wa kutoa true IDs zao tofauti na viongozi wa CHADEMA ambao wengi wametoka wazi na true identities.
  6. Wakizidiwa hoja hufanya haya:
   • kuzamia kwenye defence za kidini kwa kutumia uislam
   • kuingia mitini
   • kutukana na kukashifu
   
 2. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa, ni watu waliotumwa, si kujituma!
   
 3. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,437
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kingine ni kwamba wengi wao wameingia JF kwa ajili ya kutetea CCM tu. Hawana interest na JF na wala hawapendi kujifunza mambo mengine nje ya siasa ya CCM..
   
 4. n

  niweze JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hawataki dialog na utawaona na maneno ya low class na kutukana tuu bila majibu. Sidhani kama wanachama ccm hapa kweli ni mahali pao. Wanaccm yeah, Tanzania imebadilika na huu utaratibu wa kutaka kuwaongoza watu kama watumwa na wanyama umekwisha, nendeni mkadanganye wale waliowajinga na ndugu zenu. This generation refuse to be drag like dogs.

   
 5. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,160
  Likes Received: 1,162
  Trophy Points: 280
  Hakuna mtu hapa dunian awezaye kuitetea ccm imechafuka mnoooooo! Sijui kwann hawalion?.
   
 6. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,549
  Likes Received: 4,675
  Trophy Points: 280
  Wenzetu wa magamba ni wakorofi na wabishi, hawataki kukubali makosa na siku zote usipokiri kosa huwezi kujirekebisha.HUWEZI KUMLAUMU DOBI KWA WEUSI WA KANIKI, JAMANI CCM IMEOZA NA LA KUVUNDA HALINA UBANI
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,260
  Trophy Points: 280
  Ninachowasikitikia zaidi ni kwamba hata wakae miaka 10 ndani ya JF lakini hawatonufaika na faida tunazozipata sisi wengine, mfano majina ya pro ccm karibu wote sijawahi kuwaona kwenye jukwaa la Tekinolojia, wao ni jukwaa la siasa basi, kumbe kuna majukwaa yana elimu ya kutosha sana.
  Kwahiyo hawa ni sawa na kasuku licha kutumia internet kwa muda mrefu lakini hawatonufaika na tekinolijia hii, maana wao wanachojuwa ni JF 24/7 kwa ajili yakuvuruga mijadala.
  Wao wanachujuwa ni facebook, google, JF. basi.
   
 8. Ziada Mwana

  Ziada Mwana JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  basi hata wewe ni mwana ccm kwa kuwa ID yako pia ina utata, au kwa kuwa umeiandika kizungu na malaria sugu ameandika kiswahili?
   
 9. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Usione vya ng'ara ujue vimeundwa.ukija kwa lengo la kujifunza na ukatumia akili yako utapata mambo mengi sana ya kuelimisha na kukujuza mwenendo wa nchi yetu,but ukija kwa lengo la kukosoa,kukejeli na kutukana ujue hutumii akili na matokeo yake ni kudhalaulika kama ndugu zangu hapo juu.jf ni nguzo ya habari,ufahamu na utafiti hapa nchini kwani inahitaji akili katika majibizano ya maneno humu ndani.wengine tunafaidika sana na jf.magamba acheni itikadi za kidini,uchama na ukabila leteni hoja watu wazijibu.
   
 10. N

  Nzogupata Member

  #10
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nalikubali hili. Wakikosa point utaona threads zao kama tz ijitenge na vatican, mara padre na upuuzi mwingine. Lakin kwan nape unawatuma vijana wako kuleta uislam hapa kwa kudhani ndo maslahi ya watz? kama huwatumi uislamu wao hautusaidii chochote hapa wamsaidie ngeleja na wanakamati waliohongwa kwa ishara yakukosa uzalendo wao kupitisha bajeti ya nishati na madini. Lakin nape kwani hyu ngeleja na malima ni lazima sana waendelee kuwa mawaziri wa wizara hii?
   
 11. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ona hata hapa ni kama hawapo kabisa. Umewashika pabaya.
   
 12. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  CCM haiteteeki mbele ya watu wanaujua kufikiri! ndiyo mana haya jamaa wanabaki kutukana na kutoa kashfa. Jamani sie wote tumeona ndugu zao mjengoni, wakisimama wanapotoa hoja hazieleweki kabisaa kwa sababu ya kuitetea ccm! Wachache sana wanaoweza kuongea mambo ya kimsingi mjengoni, na ili uongee jambo la kimsingi unatakiwa kuongea ukweli kama Lowasa alivyowajeuka na kuwaambia ukweli. Ukiwafananisha na wasemaji wa upande wa upinzani kweli utaona tofauti kubwa sana kati ya watu wanaofikiri na wavivu wa kufikiri
   
 13. M

  Michelle Hilton Senior Member

  #13
  Jul 4, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mnayoongea sidhan km yanaukweli hata kidogo sababu hizo sifa hapo juu zinalingana na wanacdm na si wana ccm na hata mkibisha hamna watu wanaopanic wakiambia ukwel km cdm hapa jamvin na matusi wengi ni km profession zao,na mnapenda sana kusema wametumwa nadhan ni ktk hali ya kujishuku kuwa na wao pengine wanatumwa na kutumika km nyie
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,260
  Trophy Points: 280
  Hebu twende taratibu kwanza nione kama unaweza kujenga hoja, naomba unjibu maswali haya:
  1. Ni kwa nini miaka 50 baada ya uhuru Taifa lipo gizani?
  2. Maisha bora kwa kila Mtanzania yako wapi?
  3. Zile siku 90 za magamba ndio zinayoyoma je mlikuwa mnabeep watu mnadhani siku hizi Watanzania wanalishwa porojo?
  Hebu nijibu hayo machache kwanza nitarudi.
   
 15. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Kwangu mimi naomba waendelee kuwepo kwani mapungufu yao ni mtaji wa upinzani na utetezi wao dhaifu unaikandamiza CCM zaidi .Hongera sana MS, Faiza foxy, na wengine wazalendo wazuri kama nyie . karibuni na point less zenu mchangie kuiuwa CCM na kisha mkapokea mshiko wenu kwa Nepi mpelekee familia zenu zipate ugali .Unyonge wenu wa kukubali kutumiwa ili mpate ugali na ufananisha na utayari wa kuachia mke/mume au mtoto atembeze bakora kinamna ili ugali upatikane. Lakini nawapongeza kwa kuwa wazalendo na kuja na point mbofumbofu ili kukidhoificha chama cha magamba. Hongereni sanaaaaaa na karibuni zaidi na zaidi kwenye jukwaa
   
 16. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,694
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Wanajidharirisha wao na chama chao.
   
 17. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,549
  Likes Received: 4,675
  Trophy Points: 280
  Waoga wa hoja hawa, uwaambie udini na matusi hapa watatoa mchango kutwa nzima si unajua mambo ya mihadhara mkuu?
   
 18. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu ili kuwa merited na U Great Thinker ni muhimu kufikiri kwanza kabla ya kupost.
  Si vizuri kufanya general observations na kudraw conlusions, kwa sababu mfano mmoja tu unakumaliza katika conclusion yako.
  Kwanza tofautisha kati ya mwana CCM na mtetezi wa CCM.
  Mimi ni mwana CCM lakini si mtetezi wa yote ya CCM .
  Kuna ambayo yana kera na hata CDM imefanya mengi kuyasahihisha.
  Pili jina langu ni Lole Gwakisa na ni halisia si la kama lako, therefore your observation is in error na conclusion is illogical.
  Kama observation yako kuwa wana CCM hapa JF ,wote ni kama MS na bibie FF, then that also reflects your nascent observatory instincts.
  Kwa hilo ni kukupa pole tu.
  Nchi hii lazima uelewe kuwa haiko devided between CDM na CCM .
  Hizo divisions ni katika akili yako.
  Observer mzuri atafuatilia mijadala na kuelewa ile logic inayotelewa na kutetewa na kila upande-na kama ina mantiki kwa maisha ya Mtanzania.
  Na hii ndio multi-party democracy, and in fact, KAMA sera za CDM zitaleta manufaa kwangu, basi kura yangu wanaweza kuivuna, kitu ambacho hawajaweza so far.
  Kwa suala la matusi, fuatilia kwa makini post zote na utaona mwenyewe nani mkali kwa matusi humu JF.
   
 19. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Unafikiri atarudi ndiyo umemfukuza hawana wanalolijua zaidi ya ubishi.
   
 20. M

  Michelle Hilton Senior Member

  #20
  Jul 4, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi huoni yaliyofanyika ndani ya miaka hamsini au ni upofu wa akili,mfano mdogo tu angalia tumesonga kiasi gan kielimu,Hivi unaweza kufananisha miaka mitano iliyopita na sasa,kuhusu maisha bora mfano mwingine mdogo tu ni watz wangapi wamenufaika na mikopo yenye riba ndogo au mnataka watu wapewe kila kitu bure?hilo galiwezekana watu wanawezeshwa na wao wajiwezeshe sio mnataka hadi kazi mtafutiwe!na kuhusu kujivua gamba nijibu kwanza leo ni cku ya ngap alaf ntakujibu hilo?!
   
Loading...