Kimbesa11
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 4,652
- 2,696
Ndo zinazotufanya tuseme OCTOBER TUNATIKI ✅hizi point zako i give you 0.7/15
Ndo zinazotufanya tuseme OCTOBER TUNATIKI ✅hizi point zako i give you 0.7/15
Tatizo majibu mepesi sana..Samia anaungwa mkono na Watanzania wote kwasabu
1. Amepandisha madaraja na kuongeza mishahara Watumishi ambao walikaa miaka 7 bila daraja Wala nyongeza
2. Aliondoa VRF ya HESLB
3. AMEONGEZA AJIRA, Samia anaajir tuwe wakweli
4. Ameweka mifumo ya kiutumishi ambayo imeondoa urasmu kwenye kuhama na manunuzi
5. Samia amejenga kituo Cha afya kila kata
6. Samia ameweka mazingira mazuri ya biashara hakuna biashara inayofungwa Hadi Sasa.
OCTOBER TUNATIKI ✅✅✅
Hakuna mpinzani wa Samia na lazima atakuwa Rais ila usikuze mambo na usiwe chawa kuwa mzalendoNasema hivi hatukupandshwa mishahara kwa miaka7 hatukuongezwa mishahara kwa miaka 8 Samia mtu wa Mungu ametuongeza na kutupandisha mishahara kwahyo Tanzania inasema
OCTOBER TUNATIKI ✅ ✅ ✅
Umesahau ujenzi wa miundombinu mipya ya elimu kuanzia msingi Hadi sekondari. Sina deni na mama Mimi binafsi na kama Kuna mapungufu ni ya kawaida ambayo kila mja anayoSamia anaungwa mkono na Watanzania wote kwasabu
1. Amepandisha madaraja na kuongeza mishahara Watumishi ambao walikaa miaka 7 bila daraja Wala nyongeza
2. Aliondoa VRF ya HESLB
3. AMEONGEZA AJIRA, Samia anaajir tuwe wakweli
4. Ameweka mifumo ya kiutumishi ambayo imeondoa urasmu kwenye kuhama na manunuzi
5. Samia amejenga kituo Cha afya kila kata
6. Samia ameweka mazingira mazuri ya biashara hakuna biashara inayofungwa Hadi Sasa.
OCTOBER TUNATIKI ✅✅✅
OCTOBER TUNATIKI ✅Hakuna mpinzani wa Samia na lazima atakuwa Rais ila usikuze mambo na usiwe chawa kuwa mzalendo
Kuongeza mishahara Watumishi si majibu mepesi haya ndo yanayotufanya tuseme OCTOBER TUNATIKI ✅Tatizo majibu mepesi sana..
Jamaa katoa hoja nzito sana hazitakiwi kukurupuka kuzijibu
EwaaaaUmesahau ujenzi wa miundombinu mipya ya elimu kuanzia msingi Hadi sekondari. Sina deni na mama Mimi binafsi na kama Kuna mapungufu ni ya kawaida ambayo kila mja anayo
Kufungia kanisa letu HII PEKE YAKE MIE AMENITOKA KABISA MOYONIKiufupi hayo i baadhi ya mambo ninayoyaona yamepelekea Samia kuchukiwa na kukosa ushahwishi wa umma kwa kiwango kikubwa sana.
Samia amefungua fursa nyingi za kibiashara kwa sasa, Haogopi kupanda ndege kwenda Brazil kwenda New York kwenda popote pale kwa manufaa ya Tanzania ya leo na kesho.Samia anaungwa mkono na Watanzania wote kwasabu
1. Amepandisha madaraja na kuongeza mishahara Watumishi ambao walikaa miaka 7 bila daraja Wala nyongeza
2. Aliondoa VRF ya HESLB
3. AMEONGEZA AJIRA, Samia anaajir tuwe wakweli
4. Ameweka mifumo ya kiutumishi ambayo imeondoa urasmu kwenye kuhama na manunuzi
5. Samia amejenga kituo Cha afya kila kata
6. Samia ameweka mazingira mazuri ya biashara hakuna biashara inayofungwa Hadi Sasa.
OCTOBER TUNATIKI ✅✅✅
Utiki usitiki jua mwisho wa ubaya ni aibu and nature has always never lost its address, tetea uovu kwa uwezo wako wote but karma haitawaaacha salama .Kuongeza mishahara Watumishi si majibu mepesi haya ndo yanayotufanya tuseme OCTOBER TUNATIKI ✅
Aibu utapata ww maana Taifa limesema OCTOBER TUNATIKI ✅Utiki usitiki jua mwisho wa ubaya ni aibu and nature has always never lost its address, tetea uovu kwa uwezo wako wote but karma haitawaaacha salama .
Hakika brotherSamia amefungua fursa nyingi za kibiashara kwa sasa, Haogopi kupanda ndege kwenda Brazil kwenda New York kwenda popote pale kwa manufaa ya Tanzania ya leo na kesho.
Bandari inaingiza mabilioni ya shilingi kila makusanyo yanapofanyika pesa zinazokwenda kuinua sekta nyingine nyingi tu.
Hivi sasa anashughulikia suala la LNG yupo katika michakato ya kuliweka sawa kisheria ili liweze kuwa chanzo imara cha mapato ya kitaifa.
Kafungua bandari ya Bagamoyo anatafutwa mwekezaji wa uhakika asimamie bandari hiyo. Kule Tanga zimepelekwa bilioni 500 kwa ajili ya kuipandisha hadhi bandari ile.
Samia yupo njema sana kwenye masuala ya kiuchumi kuliko watangulizi wote watano waliomtangulia. Kakipokea kijiti alichoachiwa na RIP Magufuli na anakimbia mbio kitaalam sana.
Deni la taifa likitamkwa kwa US DOLLAR ni dogo sana,ila likitajwa kwa Tsh linakuwa kubwaaaaa aaa.Kauli zake zisizo na staha ... (1)kifo ni kifo tu (2) katiba si ni kijitabu tu . (3) ku deal na wanaomkosoa (4) utekaji kupotea na mauaji kwa Raia .
Ni hoja nyepesi sana Kuna mtu aliwanyima watu mafao yao kabisa wazee wa watu
- Kuhalalisha mawaziri kula kwa urefu wa kamba
- Kupora ardhi ya wamasai ngorongoro