Bundala Nyawa
Member
- Nov 2, 2017
- 80
- 48
Kama kawaida yao trafiki hivi sasa wanaendelea kutunyanyasa na kudai faini kwa makosa mbambali mengi y kiwa kubambika kabisa.
Mfano mimi jana nipo barabarani na eneo hilo hakuna watu kabisa nikaikuta ZEBRA na kipindi hicho hakukuwa na mtu yeyote ambae anahitaji kupita ama ambaye yupo jirani nikapita kufika mbele kidogo nikamkuta Trafiki akanisimamisha, akaomba leseni nikampa akakagua gari akaniambia kosa lako ni kwanini hukusimamama kwenye ZEBRA.
Nikamjibu hakukuwa na mtu yeyote ambaye anataka kupita na hakukuwa na watu jirani hapo. Akaniambia ni kosa kupita kwenye ZEBRA bila kusimama.
Jamani wataalamu na naombeni kuelimishwa ili tusionewe.
Jana
Mkuu Bujibuji Kaweka Sheria Ya Usalama Barabarani
Wakuu hii kitu inatuumiza kweli. Na siyo Mbeya tu mpaka Songwe. Walinikula 30 yangu kwa upuuzi kama huo pale Mlowo halafu kipindi cha sikukuu. Na mjini naona watu wengi kweli wanaziabudu hasa hapa Mwanjelwa mpaka Uyole. Unakuta hakuna watu wa kuvuka kushoto na kuliaMbeya wanatutesa Sana kwa hii sheria, utakuta foleni ndefu kwa sababu ya zebra na mara nyingi hakuna mtu wa kuvuka.
Upo mkoa gani? Mbeya hii ni adhabu kubwa sana....
Pole sana mkuu. Siyo kwamba ulisimqma kwenye Zebra.Kama kawaida yao trafiki hivi sasa wanaendelea kutunyanyasa na kudai faini kwa makosa mbambali mengi y kiwa kubambika kabisa.
Mfano mimi jana nipo barabarani na eneo hilo hakuna watu kabisa nikaikuta ZEBRA na kipindi hicho hakukuwa na mtu yeyote ambae anahitaji kupita ama ambaye yupo jirani nikapita kufika mbele kidogo nikamkuta Trafiki akanisimamisha, akaomba leseni nikampa akakagua gari akaniambia kosa lako ni kwanini hukusimamama kwenye ZEBRA.
Nikamjibu hakukuwa na mtu yeyote ambaye anataka kupita na hakukuwa na watu jirani hapo. Akaniambia ni kosa kupita kwenye ZEBRA bila kusimama.
Jamani wataalamu na naombeni kuelimishwa ili tusionewe.
Sheria inataka kusimama kwenye Zebra kisha uangalie kuakikisha kuwa hamna anayevuka ndio uendelee na safari yako. Hii sharia ukienda nchi nyingi za SADC wanaitumia sana. Tusilalamike bali tutii sharia bila shuruti kumbuka kutojua sheria hakukupi msamaha wa kosa
siku ukikamatwa ndio utajua sheria inasemajehiyo sheria inayolazimisha mimi kusimama kwenye zebra iko kifungu gani unachokijua wewe??
kifungu cha 65 cha sherea za usalama barabarani hazilazimishi dereva kusimama kama hakuna mtu anayevuka! Tatizo madereva wengi wakisimamishwa hawafahamu hizi sheria na haki zao!
Hakuna sheria inayokulazimisha kusimama kwenye zebra kama hamna mvukaji. Labda kuwe na traffic lights. Naomba nikuulize swali kama inabidi nisimame hata kama hamna mtu (hamna taa hapo) nini kitaniruhusu niende?! Usisahau inabidi nisimame hata kama hamna mtu.Sheria inataka kusimama kwenye Zebra kisha uangalie kuakikisha kuwa hamna anayevuka ndio uendelee na safari yako. Hii sharia ukienda nchi nyingi za SADC wanaitumia sana. Tusilalamike bali tutii sharia bila shuruti kumbuka kutojua sheria hakukupi msamaha wa kosa
sasa kwa nini ukikamatwa unalipa faini?Hakuna sheria inayokulazimisha kusimama kwenye zebra kama hamna mvukaji. Labda kuwe na traffic lights. Naomba nikuulize swali kama inabidi nisimame hata kama hamna mtu (hamna taa hapo) nini kitaniruhusu niende?! Usisahau inabidi nisimame hata kama hamna mtu.
link plizJana
Mkuu Bujibuji Kaweka Sheria Ya Usalama Barabarani