Makosa hatari yanayomgharimu Tundu Lissu!

naunga mkono hoja kwa 100% hata JK aliwahi kusema ni mara 100 Slaa awe Rais kuliko Lisu kuwa mbunge huko ccm wakimsikia Lisu hubanwa na tumbo la kuendesha.
Alisema wapi weka clip basi
 
Niliwahi kumpigia chapuo Ndugu Tundu lisu kuwa ni mmoja wa wanasiasa waliotakiwa kushika Uongozi waTaifa hili mwaka 2015 kama kijana na kama mtu mwenye msimamo ulio thabiti..sikukosea bali yeye mwenyewe ameshindwa kujitambua na kujipanga na hatimaye kuipoteza sifa hiyo adimu kwa sababu zifuatazo na ambazo zitaendelea kujitanabaisha kadri muda unavyojiri.

1-Tundu lissu hajawahi kumkubali Mwalimu Nyerere...na mbaya zaidi amewahi kumtusi hayati mwalimu Nyerere.

2-Tundu lissu haamini katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar na huu ni uvunjifu mkubwa wa katiba.

3-Tundu lissu alikosea sana kukubali kuwa mmoja wa wanachadema waliompokea mtuhumiwa mkuu wa ufisadi lowassa na hatimaye kugeuka kuwa mtetezi wake...leo hii lowassa hii lowassa amempinga kuhusu swala la hatua za Rais dhidi ya makanikia.

4-Tundu lissu amekosea tena kutokana na hulka yake ya jazba na arrogance kwa kukinzana na swala la kitaifa la juhudi za Magufuli katika kuliondoa Taifa kutoka mikono ya wizi wa mabepari.

5-Tundu lissu ameshindwa kuwa na msimamo thabiti na wa kiadilifu dhidi ya viongozi wa chama chake mfano Mbowe ambao ametuhumiwa kwenye ukwepaji kodi,madawa ya kulevya na uzinzi.

Kwa hayo machache nasikitika kumuona Tundu lissu akipoteza talanta na fursa adhimu ya kuwa Rais wa nchi hii.

Pengine Tundu lissu angekuwa ndani ya CCM ingewezekana kufichwa kama hazina ili asiingie kwenye makosa ya kijinga ambayo yamemgharimu.

Iam sorry my broda TL but these are bitter medicines and we all have to swallow!

Niliwahi kuandika juu ya Tundu lissu....mwaka 2015 kabla ya gia za angani....Tofauti yangu mimi na yeye kwa sasa imekuja kwenye msimamo aliouchukua dhidi ya fisadi mkuu kwani naamini ndicho kilichombadilisha Tundu Lissu na ambacho kimembadilisha forever and ever!

Again sikukosea kutokana na muda niliokuwa nikiandika thread ile lakini pia kutokana na aina ya wagombea waliokuwa wakipigiwa upatu ndani ya CCM(Ukimuondoa Magufuli) na ndani ya Ukawa Original.

Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)
tundu boy ulaku wa hela ndio umemfichua kama sio mzalendo au mtetezi wa maslahi ya umma. kazi yake siku hizi ni kufoka na kudisplay msimamo mkali utafikiri al khaeda. bungeni kazi kufoka na kupiga deski la bunge karibu kuvunja. kimsingi kwa sasa ni sold out to economic thieves and exploiters of tha nation.
 
Ameangukia njia ya Zito?
 
Unalingamisha malonya lonya na Tundu lissu ? we acha upuuzi
 
naunga mkono hoja kwa 100% hata JK aliwahi kusema ni mara 100 Slaa awe Rais kuliko Lisu kuwa mbunge huko ccm wakimsikia Lisu hubanwa na tumbo la kuendesha.
Alisema wapi weka clip basi
 
Labda definition yako ya uzalendo ni ya tofauti
Sijaona Mzalendo TZ kama Tundu Lisu
Nikikumbuka harakati zake za kupigania haki za wanaoishi maeneo ya migodini
Harakati zake za kupinga Mikataba ya kupitishwa kwa hati za dharura
Harakati zake za kupigania Bunge lisimame kama mkosoaji na mshauri wa serikali na sio mshangiliaji.
Tundu Lisu ni mzalendo wa kweli.
Tundu lissu aliyafanya hayo akitetea ajira yake.hebu msikilize tundu lissu wa leo.huwez kuamini km ni yeye.lkn uzalendo wa mrema hauwez kufanana na wa tundu lissu.mrema ni mzalendo wa kweli kweli.wala c mnafki km lissu.cjui umezaliwa lini,lkn mrema amewahi kukamata dhahabu za mke wa rais bosi wake aliempa uwazili.na akaamua kuacha uwazili kw sbbu ya uzalendo.tundu lissu hawezi kufanya hivyo.ndio maana leo anatetea mambo ya hovyo,kisa tu yeye mpinzani.Lissu hana uzalendo wowote.
 
Kwani Mwalimu Nyerere ni Mungu? Huo muungano una uhalali gani? Acha mawazo mgando wewe
 
Niliwahi kumpigia chapuo Ndugu Tundu lisu kuwa ni mmoja wa wanasiasa waliotakiwa kushika Uongozi waTaifa hili mwaka 2015 kama kijana na kama mtu mwenye msimamo ulio thabiti..sikukosea bali yeye mwenyewe ameshindwa kujitambua na kujipanga na hatimaye kuipoteza sifa hiyo adimu kwa sababu zifuatazo na ambazo zitaendelea kujitanabaisha kadri muda unavyojiri.

1-Tundu lissu hajawahi kumkubali Mwalimu Nyerere...na mbaya zaidi amewahi kumtusi hayati mwalimu Nyerere.

2-Tundu lissu haamini katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar na huu ni uvunjifu mkubwa wa katiba.

3-Tundu lissu alikosea sana kukubali kuwa mmoja wa wanachadema waliompokea mtuhumiwa mkuu wa ufisadi lowassa na hatimaye kugeuka kuwa mtetezi wake...leo hii lowassa hii lowassa amempinga kuhusu swala la hatua za Rais dhidi ya makanikia.

4-Tundu lissu amekosea tena kutokana na hulka yake ya jazba na arrogance kwa kukinzana na swala la kitaifa la juhudi za Magufuli katika kuliondoa Taifa kutoka mikono ya wizi wa mabepari.

5-Tundu lissu ameshindwa kuwa na msimamo thabiti na wa kiadilifu dhidi ya viongozi wa chama chake mfano Mbowe ambao ametuhumiwa kwenye ukwepaji kodi,madawa ya kulevya na uzinzi.

Kwa hayo machache nasikitika kumuona Tundu lissu akipoteza talanta na fursa adhimu ya kuwa Rais wa nchi hii.

Pengine Tundu lissu angekuwa ndani ya CCM ingewezekana kufichwa kama hazina ili asiingie kwenye makosa ya kijinga ambayo yamemgharimu.

Iam sorry my broda TL but these are bitter medicines and we all have to swallow!

Niliwahi kuandika juu ya Tundu lissu....mwaka 2015 kabla ya gia za angani....Tofauti yangu mimi na yeye kwa sasa imekuja kwenye msimamo aliouchukua dhidi ya fisadi mkuu kwani naamini ndicho kilichombadilisha Tundu Lissu na ambacho kimembadilisha forever and ever!

Again sikukosea kutokana na muda niliokuwa nikiandika thread ile lakini pia kutokana na aina ya wagombea waliokuwa wakipigiwa upatu ndani ya CCM(Ukimuondoa Magufuli) na ndani ya Ukawa Original.

Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)

Kamwambie aliekutuma aje mwenyewe hapa ,mwambie wana JF wanataka kuongea na mwenye dog
 
Tundu lissu aliyafanya hayo akitetea ajira yake.hebu msikilize tundu lissu wa leo.huwez kuamini km ni yeye.lkn uzalendo wa mrema hauwez kufanana na wa tundu lissu.mrema ni mzalendo wa kweli kweli.wala c mnafki km lissu.cjui umezaliwa lini,lkn mrema amewahi kukamata dhahabu za mke wa rais bosi wake aliempa uwazili.na akaamua kuacha uwazili kw sbbu ya uzalendo.tundu lissu hawezi kufanya hivyo.ndio maana leo anatetea mambo ya hovyo,kisa tu yeye mpinzani.Lissu hana uzalendo wowote.
vijana wanatakiwa kukumbushwa historia
 
Hili la udini na ukabila halitamuacha salama
 
Niliwahi kumpigia chapuo Ndugu Tundu lisu kuwa ni mmoja wa wanasiasa waliotakiwa kushika Uongozi waTaifa hili mwaka 2015 kama kijana na kama mtu mwenye msimamo ulio thabiti..sikukosea bali yeye mwenyewe ameshindwa kujitambua na kujipanga na hatimaye kuipoteza sifa hiyo adimu kwa sababu zifuatazo na ambazo zitaendelea kujitanabaisha kadri muda unavyojiri.

1-Tundu lissu hajawahi kumkubali Mwalimu Nyerere...na mbaya zaidi amewahi kumtusi hayati mwalimu Nyerere.

2-Tundu lissu haamini katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar na huu ni uvunjifu mkubwa wa katiba.

3-Tundu lissu alikosea sana kukubali kuwa mmoja wa wanachadema waliompokea mtuhumiwa mkuu wa ufisadi lowassa na hatimaye kugeuka kuwa mtetezi wake...leo hii lowassa hii lowassa amempinga kuhusu swala la hatua za Rais dhidi ya makanikia.

4-Tundu lissu amekosea tena kutokana na hulka yake ya jazba na arrogance kwa kukinzana na swala la kitaifa la juhudi za Magufuli katika kuliondoa Taifa kutoka mikono ya wizi wa mabepari.

5-Tundu lissu ameshindwa kuwa na msimamo thabiti na wa kiadilifu dhidi ya viongozi wa chama chake mfano Mbowe ambao ametuhumiwa kwenye ukwepaji kodi,madawa ya kulevya na uzinzi.

Kwa hayo machache nasikitika kumuona Tundu lissu akipoteza talanta na fursa adhimu ya kuwa Rais wa nchi hii.

Pengine Tundu lissu angekuwa ndani ya CCM ingewezekana kufichwa kama hazina ili asiingie kwenye makosa ya kijinga ambayo yamemgharimu.

Iam sorry my broda TL but these are bitter medicines and we all have to swallow!

Niliwahi kuandika juu ya Tundu lissu....mwaka 2015 kabla ya gia za angani....Tofauti yangu mimi na yeye kwa sasa imekuja kwenye msimamo aliouchukua dhidi ya fisadi mkuu kwani naamini ndicho kilichombadilisha Tundu Lissu na ambacho kimembadilisha forever and ever!

Again sikukosea kutokana na muda niliokuwa nikiandika thread ile lakini pia kutokana na aina ya wagombea waliokuwa wakipigiwa upatu ndani ya CCM(Ukimuondoa Magufuli) na ndani ya Ukawa Original.

Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)

Namba 3-4 zinaonyesha wewe unaishi kwa assumptions. Alikubali kuwa miongoni mwa waliompokea mtuhumiwa wa ufisadi, mbona JPM anatuhumiwa ufisadi wa kuuza nyumba za serikali na ile meli, hivyo hafai kuwa Rais?

Hiyo namba 4 kuwa Tundu Lissu ana hulka ya arrogance, vipi huyu anayesema yeye haambiwi wala hashauri maana hakushauri kuchukua form za kugombea Urais is he not arrogant? hoja zako ni mfu
 
Hilo unaloliita "fisadi kuu"ni lipi hilo?Kwa nini fisadi hilo msilitupe korokoroni katika ile mahakama yenu ya mafisadi iliyogeuzwa makazi ya popo mbwa,vimbulu na mapaka shume?

Bahati mbaya kwako unajaribu kuihadaa nafsi yako mwenyewe!Hivi kiongozi wa chini anawezaje kuwa " fisadi kuu"kwenye uchafu uliojadiliwa na kupitishwa na Cabinet iliyo chini ya uenyekiti wa Rais wa nchi?Kwa nini "fisadi kuu" asiwe yule mwenye maamuzi ya Mwisho juu ya mambo yote yahusuyo nchi na ambaye ndiye aliyesimamia maamuzi yote ya kipumbavu yanayoligharimu Taifa letu hadi leo?

Nafikiri "fisadi kuu"ni lile lililojianzishia ACACIA yake na kujimilikisha mgodi wa kiwira kinyume na sheria za nchi,kupitia fisadi hilo ndimo kulimozaliwa uchafu wote ambao wagonga meza wa wakati huo na ambao pia walikuwa sehemu ya Cabinet,leo wanatulazimisha tuwaone wazalendo kwa kutuhadaa kuwa wanapambana na wahujumu uchumi wakati mikono yao ilishiriki 100% katika kuwapokea majambazi wa kiuchumi wanaopora Rasilimali zetu.

Eti leo mtu anakurupuka kwa mwendokasi wa ukilaza wa " permanent head disorder" ya mazao ya korosho na kutuuliza nani aliyeturoga huku akijuwa fika tumerogwa na ccm na serikali yake na yeye alishiriki kuitikia "tawile" katika vikao vya kishirikina vya kuiroga nchi yetu kiuchumi,kutuuliza tumerogwa na nani wakati wewe ni sehemu ya wachawi wenyewe yaweza kuwa ni kejeli ya kiwango cha lami!

Eti kuna watu wanashangilia na kusifia kuwa ........,hivi hamjuwi kuwa hao mnaowavika ushujaa leo mikono yao imejaa damu za hatia kwa kuunyonga utajiri wetu kupitia chama na serikali ileile ya ccm?Wapumbavu wanawageukia kina TL na kuwasakama utadhani TL ndiye aliyelifikisha Taifa hapa lilipo,ajabu zaidi tukihoji na kuomba katiba ibadilishwe ili ituruhusu kuwapiga mawe hadi kufa viongozi wakuu wawili walioshiriki,kusimamia na kubariki Wizi huu,anatokea kiongozi mwingine ambaye pia alikuwa mgonga meza na mwana cabinet anafura na kuliagiza bunge liwafurushe wote watakaohoji uadilifu wa viongozi wastaafu na yeye atahitimisha kwa kuwadhibiti ndani ya dk5 pale watakapojaribu kupaza sauti zao nje ya bunge.

Mwenye akili timamu hawezi kuchukuliwa na hadaa hii ya kiwango cha lami,atahoji na kudadisi ujasiri huu wa kilaghai umetoka wapi na utatufikisha wapi ikiwa anayeusimamia ujasiri huo ameshajiapiza kutofukua makaburi?

Nitakuwa wa Mwisho kuimba na kusali sala za "litania ya watakatifu" ili kumtukuza mtakatifu wa ccm aliyeshiriki kulihujumu Taifa,lakini leo anajifanya yeye ni "malaika wa nuru" aliyeletwa kuja kulitoa Taifa letu gizani.Mimi si sehemu ya wanafiki na sidanganyiki kipumbavupumbavu.

waliobanwa wasipate hela utawajua tu

akili ndogo zinadhani ukiwa criminal lazima uende mahakamani

ccm chafu, lowassa mchafu, ukiwaza mahakama akili zako na ulichoandika utumbo mtupu

be real
 
Unasema TL unamfananisha na Mandela wa wapi? Labda Mandela wa kijijini kwenu.
MANDELA wa Afrika Kusini hakuwa MPUMBAVU kama huyu wa kwenu.
MANDELA wa Afrika Kusini alipinga kila aina ya ubaguzi lakini huyu wa kijijini kwenu anachochea ubaguzi.
Naomba usimchafue MANDELA wa Afrika Kusini kwa kumlinganisha na huyu mandela wa kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kumpigia chapuo Ndugu Tundu lisu kuwa ni mmoja wa wanasiasa waliotakiwa kushika Uongozi waTaifa hili mwaka 2015 kama kijana na kama mtu mwenye msimamo ulio thabiti..sikukosea bali yeye mwenyewe ameshindwa kujitambua na kujipanga na hatimaye kuipoteza sifa hiyo adimu kwa sababu zifuatazo na ambazo zitaendelea kujitanabaisha kadri muda unavyojiri.

1-Tundu lissu hajawahi kumkubali Mwalimu Nyerere...na mbaya zaidi amewahi kumtusi hayati mwalimu Nyerere.

2-Tundu lissu haamini katika muungano wa Tanganyika na Zanzibar na huu ni uvunjifu mkubwa wa katiba.

3-Tundu lissu alikosea sana kukubali kuwa mmoja wa wanachadema waliompokea mtuhumiwa mkuu wa ufisadi lowassa na hatimaye kugeuka kuwa mtetezi wake...leo hii lowassa hii lowassa amempinga kuhusu swala la hatua za Rais dhidi ya makanikia.

4-Tundu lissu amekosea tena kutokana na hulka yake ya jazba na arrogance kwa kukinzana na swala la kitaifa la juhudi za Magufuli katika kuliondoa Taifa kutoka mikono ya wizi wa mabepari.

5-Tundu lissu ameshindwa kuwa na msimamo thabiti na wa kiadilifu dhidi ya viongozi wa chama chake mfano Mbowe ambao ametuhumiwa kwenye ukwepaji kodi,madawa ya kulevya na uzinzi.

Kwa hayo machache nasikitika kumuona Tundu lissu akipoteza talanta na fursa adhimu ya kuwa Rais wa nchi hii.

Pengine Tundu lissu angekuwa ndani ya CCM ingewezekana kufichwa kama hazina ili asiingie kwenye makosa ya kijinga ambayo yamemgharimu.

Iam sorry my broda TL but these are bitter medicines and we all have to swallow!

Niliwahi kuandika juu ya Tundu lissu....mwaka 2015 kabla ya gia za angani....Tofauti yangu mimi na yeye kwa sasa imekuja kwenye msimamo aliouchukua dhidi ya fisadi mkuu kwani naamini ndicho kilichombadilisha Tundu Lissu na ambacho kimembadilisha forever and ever!

Again sikukosea kutokana na muda niliokuwa nikiandika thread ile lakini pia kutokana na aina ya wagombea waliokuwa wakipigiwa upatu ndani ya CCM(Ukimuondoa Magufuli) na ndani ya Ukawa Original.

Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)
Mdomo wa Lissu utamponza miaka siyo mingi hawa members wanaomtetea na kumsifia humu jukwaani watakuja kumpinga. Bahati mbaya hamna dawa ya arrogance.
 
Back
Top Bottom