Hujaweza kuthibitisha Mungu yupo.Mola anaumba kwa ukamilifu,huko unakofikiri wewe si ukamilifu ndio maana Allah akaumba mambo mengi kwa uwili.
Yaani ukiambiwa Mola ni mbora wa kuumba ndio hivi sasa.
Ameleta ugonjwa na akaleta na dawa,akaleta huzuni halikadhalika akaleta raha.
Akaleta usiku na kadhalika mchana. Sasa ukiwa unafikiri kwa kuhisi udhaifu bali fikiri kwa kinyume chake,kwani ukweli uko ndani yako kama ukiwa wewe ni mpembuzi wa mambo kweli kweli.
Huu utoto ndio huwa siupendi bro,usicheze na akili za watu.Wapi umethibitisha?
Wweka link hapa tujadili uthibitisho wako.
Kaka tuweke masharti ili tudhibiti mjadala usikimbie maswali kaka mkubwa.Hujaweza kuthibitisha Mungu yupo.
Unahubiri.
Sharti moja la mjadala ni kujibu maswali. Hata kama jibu ni "sijui jibu" tu.Kaka tuweke masharti ili tudhibiti mjadala usikimbie maswali kaka mkubwa.
Yafuatayo ndio masharti yangu.Hujaweza kuthibitisha Mungu yupo.
Unahubiri.
Nimekuwekea masharti hapo yasome kwanza ili tuingie kwenye mjadala.Sharti moja la mjadala ni kujibu maswali. Hata kama jibu ni "sijui jibu" tu.
Wewe nakuuliza maswali, badala ya kujibu, unahubiri.
Hatuwezi kuwa na mjadala hapo.
First things firts. Kwani wapi tulikuwa hatujakubaliana kuhusu rejea?Nimekuwekea masharti hapo yasome kwanza ili tuingie kwenye mjadala.
Bro usipoteze muda,nani amesema hivyo ?First things firts. Kwani wapi tulikuwa hatujakubaliana kuhusu rejea?
Kuna mahali nilikukataza kutumia rejea yoyote?
Haya ndio niliyoysema jana kuwa hatuwezi kujadili. Ona sasa unaniuliza masuala ya kuhusu Mungu nakujibu unakataa jibu kwa kusema Mungu hayupo,kwahiyo lolote ambalo ningejibu usingelikubali hata iweje.Hiyo si sababu.
Hapo umekubali hujui sababu.
Hujui sababu kwa sababu hakuna sababu.
Hakuna sababu kwa sababu Mungu huyo hayupo.
Mungu huyo hayupo kwa sababu dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe.
Dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe kwa sababu upande mmoja ana ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote, na upande mwingine kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana.
Hivyo hawezi kuwepo katika uhalisi.
Ndiyo maana huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo?Mungu na akusamehe, binadamu anawezaje kuhukumu, tena kumhukumu muumba wake "MUNGU", uhuru, utashi na neema ya Mungu tuitumie vizuri kwa kweli.
Unaweka masharti ambayo hayahitajiki.Bro usipoteze muda,nani amesema hivyo ?
Ninapoweka masharti ujue naweka utaratibu mzuri endapo tukiuka tunakumbushana kurudi katikaasharti ili mjadala uende vyema,hapa haijalishi ilisemwa huko nyuma au la !
Soma masharti yangu useme kama kuna sharti unalikataa ili tujadili mada kielimu kuliko kupoteza muda.
Hoja hupingwa kwa hoja, thibitisha kutokuwepo kwake kwa kuwa pasi na shaka umekili kwamba nimedhihirisha ya kwamba MUNGU yupo.Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo?
Hujajibu swali.Haya ndio niliyoysema jana kuwa hatuwezi kujadili. Ona sasa unaniuliza masuala ya kuhusu Mungu nakujibu unakataa jibu kwa kusema Mungu hayupo,kwahiyo lolote ambalo ningejibu usingelikubali hata iweje.
Ndiyo maana mie nataka ueleze ni vp hakuna Mungu? ila matokeo yake unakimbilia kujadili masuala ya upendo wa Mungu na ndiyo maana yanatokea haya.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aliyeuumba ulimwengu huu, hayupo. Ni dhana potofu tu.Hoja hupingwa kwa hoja, thibitisha kutokuwepo kwake kwa kuwa pasi na shaka umekili kwamba nimedhihirisha ya kwamba MUNGU yupo.
Unamlaumu asiyekuwepo? Anyways, Mtume Paulo aliyuhasa kutokuwa na mabishano ya kipumbavu hususan juu ya mambo ya kiroho, "mabishano". Kila lakheri.Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aliyeuumba ulimwengu huu, hayupo. Ni dhana potofu tu.
Ni dhana potofu kwa sababu ina contradiction. Contradiction ni kitu kujipinga chenyewe kwa namna ambayo haiwezekaniki kuwa katika uhalisi wa ukweli. Mathalani, nikisema pembetatu haiwezi kuwa duara na duara haliwezi kuwa pembetatu katika Euclidean geometry, halafu nikasema kuna pembetatu ambayo ni duara hapo hapo, katika Euclidean geometry, pembetatu hiyo ambayo ni duara hapo hapo haiwezi kuwepo, dhana ya kuwepo kwa hiyo pembetatu ambayo hapo hapo ni duara ina contradiction. Hivyo pembetatu duara hiyo haiwezi kuwepo.
Mungu naye ni kama pembetatu duara.
Upande mmoja tunaambiwa ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote (pembetatu). Upande mwingine tunaambiwa kauumba ulimwengu huu unaoweza kuwa na mabaya, licha ya ujuzi wake wote, uwezo wake wote na upendo wake wote (duara).
Kwa nini hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea? Ulimwengiu huo ungekuwa logically consistent na upendo wake. Usingekuwa na contradiction.
Huu ulimwengu tunaouona, ambao mabaya yanaweza kutokea, unam contradict huyo Mungu.
Kuamini Mungu huyo yupo, ni sawa na kuamini kwamba kuna pembetatu ambayo hapo hapo ni duara katika Euclidean geometry planes.
Haipo, haiwezi kuwepo, kwa sababu ina an inherrent contradiction.
Mungu huyo naye hayupo kama hiyo pembetatu duara.
Kwa sababu dhana ya kuwepo kwake ina an inherrent contradiction.
Bro usiwe mjinga kiasi hicho na usipende kupoteza muda,nimeweka masharti ili tukubaliane. Wewe kama huyaafiki sema sharti hili silikubali kwa sababu hii na hii,weka sharti hili. Hivi ndio wanaume tunavyo yajadili mambo.Unaweka masharti ambayo hayahitajiki.
Hakuna mtu aliyekuzuia kurejea kitabu chochote, sasa sharti la kutaka turejee vitabu lina tija gani?
Na kurejea vitabu unakuwekea sharti kwa minajili gani?
Kwamba ukiniletea aya ya Quran haipingiki kwa sababu ni ya Quran?
Hawezi kuwa shekhe sababu sisi kwetu falsafa ni haramu.Narejea namba2.Hata YESU,MUSSA,IBRAHIM,NUHU MOHAMEDI hawakumuona mungu kwa macho sembuse wewe?Charmilton lazima utakuwa msomi mzuri wa falsafa mada yako inafikirisha.Ila nina wasiwasi ilikuwa uwe padre au shehe wito ukagoma
Sasa nayajadili masharti, ili niyaelewe vizuri, nijue ninapoyakubali nakubali nini, na ninapokataa, ninakataa nini, unaniita mjinga?Bro usiwe mjinga kiasi hicho na usipende kupoteza muda,nimeweka masharti ili tukubaliane. Wewe kama huyaafiki sema sharti hili silikubali kwa sababu hii na hii,weka sharti hili. Hivi ndio wanaume tunavyo yajadili mambo.
Sasa ukileta ujinga katika mambo ya msingi unazidi kukosea sana.
Jaribu kuwa na tabia za kielimu bro mbona rahisi sana.
Sasa ukitaka kuleta mada kabla ya mada husika huu ni upumbavu wa kujitakia.