Unaelewa kwamba hujaelewa hoja yangu?
Nakuuliza kwa nini Mungu kaumba ulimwengu ambao ugonjwa wa akili unawezekana kuwepo?
Unaniambia ugonjwa wa akili una dawa.
Unaelewa hujajibu swali nililouliza, na swali ulilojibu sijauliza?
Naona mnazidi kupuyanga. Mbona hujiulizi kwanini kuna magonjwa na kwanini kuna tiba ?Kuwepo kwa matatizo ya akili duniani ndio kuna zidi onyesha kama mungu hayupo
Mungu mwenye hekima na busara hawezi kuumba ulimwengu halafu akawapa aliowaumba wengine awape akili nzuri na wengine akawapa matatizo ya akili
Hiyo hekima na busara kufanya fair katika aliowaumba iko wapi? mfano mzuri mtoto mchanga anazaliwa tu ana Cerebral Palsy amemkosea nini mungu mpaka amuumbe na CP
Kuwepo kwa matatizo ya akili duniani ndio kuna zidi onyesha kama mungu hayupo
Mungu mwenye hekima na busara hawezi kuumba ulimwengu halafu akawapa aliowaumba wengine awape akili nzuri na wengine akawapa matatizo ya akili
Hiyo hekima na busara kufanya fair katika aliowaumba iko wapi? mfano mzuri mtoto mchanga anazaliwa tu ana Cerebral Palsy amemkosea nini mungu mpaka amuumbe na CP
Hapa natakiwa kucheka bro....!Wanaosema Mungu yupo hawajibu maswali kama haya.
Kwa sababu hawawezi.
Kwa sababu Mungu hayupo.
Unakumbuka kuna siku niliweka masharti kadhaa tulijadili jambo la Uwepo wa Mola muumba,ukapita wima ?Wanaosema Mungu yupo hawajibu maswali kama haya.
Kwa sababu hawawezi.
Kwa sababu Mungu hayupo.
Watakuambia mungu ametoa mtihani,Sasa najiuliza kitoto kimezaliwa leo unampa mtihani unampima kitu gani?
Lengo la mtihani ni kujua kama mtu ameelewa kwa yale aliyofundishwa
Sasa kitoto kichanga kina uelewa gani mpaka ukipe mtihani?
Unaelewa kwamba hujajibu swali langu bado?Bro kuwa serious aisee,tunachoshana kwa mambo madogo sana,usiwe mvivu wa kufikiri aisee.
Wewe ndio maana nakuona muongo na hauko serious sababu unafikiri kwa mlengo mmoja.
Wewe unapo lalamika kuhusu mabalaa na matatizo inabidi ujue kwamba kuna sababu,tiba na kinyume chake yote hayo yapo.
Kadhalika hujaonyesha kosa alilolifanya Mola katika uumbaji na hauta weza.
Lazima ujiulize mbona kuna magonjwa na kuna tiba. Hapa ndipo jibu la swali lako lilipo
Bro nakudai ujue swali langu kuhusu MUDA.
Ukiwa huna utashina upevu wa kuelewa matatizo, utacheka sana tu.Hapa natakiwa kucheka bro....!
Turudi katika mada bro,nilikuuliza MUDA ulianza lini ?Ukiwa huna utashina upevu wa kuelewa matatizo, utacheka sana tu.
Hata nyumba ikiwa inaungua moto, utacheka tu.
Utaona kichekesho.
Kwa sababu ya uzuzu.
Usipojibu hilo swali nitakuja nikuonyeshe ni jinsi gani ya kuthibitisha jambo.Ukiwa huna utashina upevu wa kuelewa matatizo, utacheka sana tu.
Hata nyumba ikiwa inaungua moto, utacheka tu.
Utaona kichekesho.
Kwa sababu ya uzuzu.
Unakumbuka kuna siku niliweka masharti kadhaa tulijadili jambo la Uwepo wa Mola muumba,ukapita wima ?
Halafu nina kudai maswali mengi sana.
Mimi kuna muda huwa nakuuliza maswali sio kwamba natarajia unijibu la hasha,sababu najua huwezi kunijibu. Ila lengo langu ni kuwafikishia habari wale wasemaji mengine waone madhaifu yenu.
Hili swali la kuhusu MUDA ulianza lini najua huna huwezo wa kulijibu hata wakubwa zako ukiwapa swali hawawezi kulijibu.
Nafanya hivi kuwaonyesha wasomaji ya kuwa nyinyi ni waongo na mnakariri hoja ndio maana maswali na hoja zenu ni hizi hizi,yaani mkitegwa kidogo mnapoteana mazima.
Sasa swali la kuhusu MUDA nimekuuliza zaidi ya masaa matatu nyuma mpaka muda huu hujalijibu.
Usinioneshe jinsi ya kuthibitisha jambo.Usipojibu hilo swali nitakuja nikuonyeshe ni jinsi gani ya kuthibitisha jambo.
Ndio nataka nikufundishe sasa,ili hata wewe ukiambiwe uthibitishe kukuwepo kwa Mola uthibitishe kweli,sio unasema "Mola hayupo kwa sababu hayupo". Hii inakuwa ni kuikosea elimu na watu na watu wake.Usinioneshe jinsi ya kuthibitisha jambo.
Thibitisha Mungu yupo.
Nikikwambia sijui, hilo linathibitishaje Mungu yupo?Turudi katika mada bro,nilikuuliza MUDA ulianza lini ?
Hujanijibu swali hili.
Donot flatter yourself.Ndio nataka nikufundishe sasa,ili hata wewe ukiambiwe uthibitishe kukuwepo kwa Mola uthibitishe kweli,sio unasema "Mola hayupo kwa sababu hayupo". Hii inakuwa ni kuikosea elimu na watu na watu wake.
Bro kiukweli sina mamlaka,ila kaa ujue na uwakumbushe wenzio ukweli huu,Elimu haina mwenyewe bali elimu ina watu wake.Wewe una mamlaka gani wa kuweka masharti? Masharti gani? yana mantiki gani? Yako wapi? Kwa niniunayatajasasa?
Hujamalizia kuelezea ya masharti usharukia maswali mengi sana?
Una matatizo ya akili wewe?
Mimi nikishindwa kukujibu swalilolote hilo si la ajabu.
Unanielewa?
Katika ulimwengu ambao haujaumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, watu wengi tu tutakuwa hatujui majibu ya maswali mengi tu.
Hivyo, nikikwambia sijui jibu la swal lolote, si kitu cha ajabu.
Cha ajabu ni pale, wewe unayesema ulimwengu huu umeumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, halafu ukashindwa kujibu swali lolote.
Hapo utakuwa unatupacontradiction, ulimwengu ulioumbwa na Mungu huyo unatakiwakuwa na watu wenye ukamilifu wa elimu kw amaswali yote wanayoweza kuulizana.
Kutokuwa na majibu kwa baadhi ya maswali ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Nikishindwa kulijibu swalihili, huo ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo asingekuwa mchoyo hivyo kuninyimajibu, kwa sababu uwezo wa kunipa jibu anao, upendo wa kunipa jibu anao, ujuziwa kunipa jibu anao, kwa nini aninyime jibu?
Mungu wako mchoyo?
Mtu yeyote kuwa na swali lolote asilo na jibu lake ni ishara kwamba huyo Mungu hayupo. Inabidi tutafute majibu wenyewe.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Nikikwambia sijui jibu, hilo halithibitishi Mungu yupo.
Linathibitisha Mungu hayupo.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Suala la masharti nilishalielezea kitambo sana na nikayaweka masharti hayo,ila hapa narudia kwa faida yangu na wengine.Wewe una mamlaka gani wa kuweka masharti? Masharti gani? yana mantiki gani? Yako wapi? Kwa niniunayatajasasa?
Hujamalizia kuelezea ya masharti usharukia maswali mengi sana?
Una matatizo ya akili wewe?
Mimi nikishindwa kukujibu swalilolote hilo si la ajabu.
Unanielewa?
Katika ulimwengu ambao haujaumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, watu wengi tu tutakuwa hatujui majibu ya maswali mengi tu.
Hivyo, nikikwambia sijui jibu la swal lolote, si kitu cha ajabu.
Cha ajabu ni pale, wewe unayesema ulimwengu huu umeumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, halafu ukashindwa kujibu swali lolote.
Hapo utakuwa unatupacontradiction, ulimwengu ulioumbwa na Mungu huyo unatakiwakuwa na watu wenye ukamilifu wa elimu kw amaswali yote wanayoweza kuulizana.
Kutokuwa na majibu kwa baadhi ya maswali ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Nikishindwa kulijibu swalihili, huo ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo asingekuwa mchoyo hivyo kuninyimajibu, kwa sababu uwezo wa kunipa jibu anao, upendo wa kunipa jibu anao, ujuziwa kunipa jibu anao, kwa nini aninyime jibu?
Mungu wako mchoyo?
Mtu yeyote kuwa na swali lolote asilo na jibu lake ni ishara kwamba huyo Mungu hayupo. Inabidi tutafute majibu wenyewe.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Nikikwambia sijui jibu, hilo halithibitishi Mungu yupo.
Linathibitisha Mungu hayupo.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Wewe ndiye hujuikujadiliana.Bro kiukweli sina mamlaka,ila kaa ujue na uwakumbushe wenzio ukweli huu,Elimu haina mwenyewe bali elimu ina watu wake.
Niliwahi kuododosa kidogo elimu ya majadiliano kama wewe huna elimu hiyo,inabidi ukubali kosa kwamba unaingia sehemi ambayo hukupaswa uingie mpaka uwe na elimu busika.
Bro suala la masharti umuhimu wake uko wazi sana na maarufu kiasi aambacho ikawa si lazima kielezea maana ya masharti.
Kaka mkubwa leo bila masharti usingekuwepo jf,bila masharti mambo mengi yasingeenda sawa.
Ina maana hujui umuhimu wa masharti mpaka leo ?
Wewe ni pungueni ngumbaru.Suala la masharti nilishalielezea kitambo sana na nikayaweka masharti hayo,ila hapa narudia kwa faida yangu na wengine.
Sijarukia maswali mengi bali nimekukumbusha juu ya maswali ninayo kudai,sasa hapa utaona kati yangu na wewe nani baradhuri.