Hapo kashapigwa kwa logic na fact sana, mpaka kakosa cha kuandika.ukiwa hujui kitu ndo unaishia kauli kama hizo ''UNASIKITISHA KWELI'' ndo mwisho wa ufikiri wake yaani hata kujituma kuutuma ubongo uchakarike upate fahamu hataki kabisaa!!
SWALI: SAMBI SANGU SINAKUJAJE HAPOO kama maisha yalishapangwa yawe/yapitie humo?Hapo kashapigwa kwa logic na fact sana, mpaka kakosa cha kuandika.
mkuu nadhani unajua kuwa utakufa je unajua utakufaje na lini?Hapo kashapigwa kwa logic na fact sana, mpaka kakosa cha kuandika.
Mimi nishasema Mungu hayupo, kwa hiyo habari zozote za Mungu kuwepo, waulizwe wanaosema yupo.SWALI: SAMBI SANGU SINAKUJAJE HAPOO kama maisha yalishapangwa yawe/yapitie humo?
mkuu Kiranga CHARMILTON hebu tusaidiane hili hapa mie nimekwama na kukosa mwelekeo
Sijui.mkuu nadhani unajua kuwa utakufa je unajua utakufaje na lini?
Mshana Jr upooo? hebu tiririka hapa tuweze kupata neno huenda nawe tukajua uko upande upi hapa1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa. Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ugomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.
2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony? Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure. God come from your hidings and reveal yourself to your people.
3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he did, sasa waovu wa leo wametoka wapi? mbona aliuwa watu wengi bila huruma? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini? It seems he fought effects instead of causes.
4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao? mbona Gadaffi aliweza? Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi? WE HAVE TO BE FAIR!
5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi? je kuna muda wa kutosha? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati?
6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao? au hakujua?
7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwanini kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko. Kwanini anawauwa watu kikatili hivi? au haya nayo tumsingizie shetani?
8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani? Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina?
9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu? Kwani hajui kusamehe? Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani? Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATED THEM. So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.
10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani?
TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!
===================
"Mimi nipo duniani kwa sababu mama na baba yangu walikutana kimwili kibaiolojia katika muda ambapo niliwezekana kuwa conceived"Ili iweje?
Mjadala ni njia ya kufika Kilimanjaro kutoka Dar, unauliza bei ya nguruwe China.
Kwa minajili gani?
Ukiambiwa bei ya nguruwe elfu tano au elfu kumi, haikusaidii kujua njia ya kwenda Kilimanjaro kutoka Dar.
Swali lako lina mantiki gani?
Nakuonesha kwamba swali lako ni hanithi, halina mantiki katika mjadala, halina mazao, halina watoto, jibu lolote nitakalokupa halita prove chochote katika mjadala.
Wwewe tatizo lako si tu huwezi kujibu maswali yangu, hujui hata maswali mazuri ya kuuliza katika mjadala huu!
Unaelewa kwamba nikikwambia siwezi kuthibitisha, kutoweza kwangu kuthibitisha hakuthibitishi kwamba Mungu yupo?"Mimi nipo duniani kwa sababu mama na baba yangu walikutana kimwili kibaiolojia katika muda ambapo niliwezekana kuwa conceived"
Hapo umesema kuwa sababu ya wewe kuwepo duniani ni kukutana kimwili baba na mama ako,sasa nimekuomba uthibitishe hilo kuwa ni kweli wazazi wako walijamiana.
Kama hauwezi kuthibitisha ila bado unasema walijamiana iweje akili hiyo hiyo ikatae kuwepo kwa Mungu kisa hakuna uthibitisho?
Nilishamjibu siwezi kuthibitisha ila bado anaendelea kuniambia nithibitishe.si uthibitishe ili umsaidie huyu aliyepotea
Hujaona muendelezo wa hoja, kwa sababu hutaki kuona.Nilishamjibu siwezi kuthibitisha ila bado anaendelea kuniambia nithibitishe.
Ungekuwa wewe ungefanyaje hebu nisaidie.
Yeah ni kweli kabisa kutoweza kwako kuthibitisha hakuthibitishi kuwa Mungu yupo ila kunatoa jibu la kwamba kushindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu hakufanyi kuwa hakuna Mungu.Unaelewa kwamba nikikwambia siwezi kuthibitisha, kutoweza kwangu kuthibitisha hakuthibitishi kwamba Mungu yupo?
Unaelewa kwamba hujathibitisha Mungu yupo?
Mungu anasema kila kiumbe kitakufa,wewe hayo ya kusema Mungu hayupo kwa sababu ya kifo na kwamba angekuwepo kusingekuwa na kifo umeyatoa wapi? Thibitisha.Sijui.
Kwa sababu Mungu hayupo.
Angekuwepo sio tu kifo kisingekuwepo, hata wazo la kifo lisingekuwepo.
Yeah ni kweli kabisa kutoweza kwako kuthibitisha hakuthibitishi kuwa Mungu yupo ila kunatoa jibu la kwamba kushindwa kuthibitisha uwepo wa Mungu hakufanyi kuwa hakuna Mungu.
Awali ya yote, kabla ya kuandika "Mungu anasema..." thibitisha Mungu yupo.Mungu anasema kila kiumbe kitakufa,wewe hayo ya kusema Mungu hayupo kwa sababu ya kifo na kwamba angekuwepo kusingekuwa na kifo umeyatoa wapi? Thibitisha.
Unaposema kuwa Mungu mwenye upendo asingeumba ulimwengu wenye maovu,unajua kuwa hapo unazungumzia habari za uwepo wa Mungu?Mimi nishasema Mungu hayupo, kwa hiyo habari zozote za Mungu kuwepo, waulizwe wanaosema yupo.
Unaposema kuwa Mungu mwenye upendo asingeumba ulimwengu wenye maovu,unajua kuwa hapo unazungumzia habari za uwepo wa Mungu?